Sugu: Salaam kwa Kova; Filamu yake na Mch. Gwajima haijaeleweka, arudi Studio

Nimeamini mbunge mmoja CDM ni sawa na wabunge 20 sisiemu.

kama wanaichi tungekuwa tunajitambua ccm labda wangebaki wabunge 10 tu. kwani 98% ya wabunge wake wanatetea matumbo yao chama chao pamoja na serikali yao huku wakijua wanapaswa kuwawakilisha wanaichi, kimsingi hawafai
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Mchakamchaka wa CHADEMA unamuumiza magoti. Atasimama mara ngapi, vijana hawanyamazi hata kwa vikanuni vyao vya kichina!

Mbali ya hayo naona kaogopa kuibua mjadala zaidi.............labda kaona hizi staili zao za kushupalia ndio wanazidi kuonyesha udhaifu wao maradufu, hata hivyo ujumbe umefika loud and clear.........we ain't buyin it
 
Jamani kama ni akina MAIMUNA kwa nini ung'ang'anie lugha za watu?

Andika kiswahili tu tutakusoma.

Mnatupatia kazi kuangalia kamusi kuhusu maneno mnayoandika...

dah! sawa mwalimu mkuu wa kayumba......wats matter ni ujumbe kufika:msela:
 
Leo wakati akichangia bajeti ya wizara ya mambo ya ndani, mh Sugu amemtaka Afande Kova arudi tena 'studio' kurekodi upya 'filam' yake ya KUTEKWA KWA DK. ULIMBOKA! Hii imenifurahisha sana, cjui prodyuza wake ni nani!

Nami nimemsapoti kwa kweli bado haijaeleweka anatakiwa arudi kuiandaa upya, afu anasema eti mjadala wa Dk. Umefungwa kisa jambazi wake feki kapelekwa mahakamani
 
Ng'wanangwa nimecheka sana iyo makitu "wanawashwawashwa" dah that day sikuamini jinsi mwenyekiti alivozidiwa akajisahau mazima bunge likawa kama kilabu cha pombe iringa
 
Last edited by a moderator:
Nimefurahi sana! Pia yule dada aliyefumua chemba harufu ikaanza kutoka! Mwigulu akanuna weeeee!
 
Msimlaumu kova na chama chake huo ndio ulikuwa uwezo wao wa mwisho kufikiri,mshauri alikuwa nchemba
 
Naona lukuvi kachoshwa na mbio za vijana.

Bila shaka hata lukuvi hiyo filamu hajaielewa kabisa ndio maana kanyamaza.

Filamu mpya lakini cd ina michubuko sana!

.


Lkn pia filamu ilichukua muda mfupi sana ndiyoo maana ikawa mbofumbofu!!

Alitakiwa achukue hata kamwezi kuiandaa, huwa hazitaki haraka!


.
 
Back
Top Bottom