Sugu na Halima Mdee wafunika Arumeru

Tangu kuanza kwa kampeni za Ubunge katika jimbo la Arumeru Mashariki, kumekuepo na Mfululizo wa Viongozi wa Chadema kwenda kuongeza nguvu kila walipogundua kuwa wanalemewa, lakini ninachojiuliza ni Kiongozi gani wa Chadema aliyepokelewa kama Mfalme Arumeru? Nauliza hivyo kwa sababu Alianza Vicent Nyerere , Tanzania Daima wakapamba gazeti lao, apokelewa kama Mfalme. Akafuatia Joseph Mbilinyi, gazeti likapamba ukurasa wa mbele tena Apokelewa kama Mfalme. Juzi tena Katibu Mkuu amekwenda naye UFO SARO kampamba kwamba amepokelewa kama Mfalme. Nani Mfalme? VICENT, MBILINYI AU SLAA?
My take: CHADEMA hatuna MALKIA naye akapokelewa Arumeru?

Uyasemayo ni kweli, nakumbuka aliyepokelewa kifalme ni Mkapa peke yake; akalewa sifa akaishia kuropoka na kufyatuka kuwa Vicent Nyerere si wa nasaba ya ukoo wa Nyerere!!
 
Jamani endeleeni kutujuza habari za huko Arumeru,sisi hapa tunaendelea kwaombea kwa Mungu wetu ili dua zetu zipate kibali kwake. Wana harakati wa Shinyanga cdm mwendo mdundo!!
 
Tangu kuanza kwa kampeni za Ubunge katika jimbo la Arumeru Mashariki, kumekuepo na Mfululizo wa Viongozi wa Chadema kwenda kuongeza nguvu kila walipogundua kuwa wanalemewa, lakini ninachojiuliza ni Kiongozi gani wa Chadema aliyepokelewa kama Mfalme Arumeru? Nauliza hivyo kwa sababu Alianza Vicent Nyerere , Tanzania Daima wakapamba gazeti lao, apokelewa kama Mfalme. Akafuatia Joseph Mbilinyi, gazeti likapamba ukurasa wa mbele tena Apokelewa kama Mfalme. Juzi tena Katibu Mkuu amekwenda naye UFO SARO kampamba kwamba amepokelewa kama Mfalme. Nani Mfalme? VICENT, MBILINYI AU SLAA?
My take: CHADEMA hatuna MALKIA naye akapokelewa Arumeru?

wote wafalme
 
Wabunge wa chadema Mr Sugu na Halima Mdee Jana wameweka kambi katika kitongoji alikotekwa mwenyekiti wa Tawi wa chadema na kufanya mkutano mkubwa pasipo mgombea wa chadema ndugu Joshua Nassari na kukonga nyoyo za watu katika kitongoji hicho hatimae wajumbe wa nyumba kumi kumi wapatao sita kukabidhi kadi zao za chama cha mapinduzi kwa Sugu na Halima Mdee na kujiunga Chadema hii inaashiria kuwa chadema ina watesa ccm katika kampeni Arumeru.
Hongereni makamanda kwani huu ni mwanzo wa mwisho wa CCM.

wakuu mi Wassira namchukia sana kutokana na kutumiwa na JK+gAMbaz kinyume na maumbile, ila mnapomfananisha na uncircumcised baboon naona mnapingana na uumbaji wa Mungu, co fresh
 
Tangu kuanza kwa kampeni za Ubunge katika jimbo la Arumeru Mashariki, kumekuepo na Mfululizo wa Viongozi wa Chadema kwenda kuongeza nguvu kila walipogundua kuwa wanalemewa, lakini ninachojiuliza ni Kiongozi gani wa Chadema aliyepokelewa kama Mfalme Arumeru? Nauliza hivyo kwa sababu Alianza Vicent Nyerere , Tanzania Daima wakapamba gazeti lao, apokelewa kama Mfalme. Akafuatia Joseph Mbilinyi, gazeti likapamba ukurasa wa mbele tena Apokelewa kama Mfalme. Juzi tena Katibu Mkuu amekwenda naye UFO SARO kampamba kwamba amepokelewa kama Mfalme. Nani Mfalme? VICENT, MBILINYI AU SLAA?
My take: CHADEMA hatuna MALKIA naye akapokelewa Arumeru?
Nakushauri uwe unasoma magazeti usiishie kusoma vichwa tuu maana hiki ulichoandika inaonyesha huwa husoni habari kamili.Mfano isome vizur habar yenye Kichwa kuwa Sugu apokewa kifalme utagundua kuwa haikuwa Arumeru.
 
Back
Top Bottom