Sugu na Halima Mdee wafunika Arumeru

Ulikuwa unadanganywa na nani?
Kumbe upo upo tu!!.......Unapelekwa pelekwa tu.....

kanawe uso........
289_Image-Library-Sue-Ellen.jpg
magamba hawafai hii mikono ndo ilivyoyamwakyembe my homeboy!
 
Kanyaga twende mapambano bado yanaendelea, kama ccm wanamtegemea wasira, wamekwisha maana baada ya baraza la maaskofu kumkatalia leo sijui atasimama aseme nini jukwaani
 
Wabunge wa chadema Mr Sugu na Halima Mdee Jana wameweka kambi katika kitongoji alikotekwa mwenyekiti wa Tawi wa chadema na kufanya mkutano mkubwa pasipo mgombea wa chadema ndugu Joshua Nassari na kukonga nyoyo za watu katika kitongoji hicho hatimae wajumbe wa nyumba kumi kumi wapatao sita kukabidhi kadi zao za chama cha mapinduzi kwa Sugu na Halima Mdee na kujiunga Chadema hii inaashiria kuwa chadema ina watesa ccm katika kampeni Arumeru.

Taarifa zaidi zinasema waliokabidhi Kadi za ccm kwa CDM wanatoka familia ya NASSARI, hilo hata mimi ningefanya kwani HALIMA MDEE sasa ni mmoja wa familia ya mzee NASSARI (mkwe ) ni lazima wamuunge mkono.
 
Tangu kuanza kwa kampeni za Ubunge katika jimbo la Arumeru Mashariki, kumekuepo na Mfululizo wa Viongozi wa Chadema kwenda kuongeza nguvu kila walipogundua kuwa wanalemewa, lakini ninachojiuliza ni Kiongozi gani wa Chadema aliyepokelewa kama Mfalme Arumeru? Nauliza hivyo kwa sababu Alianza Vicent Nyerere , Tanzania Daima wakapamba gazeti lao, apokelewa kama Mfalme. Akafuatia Joseph Mbilinyi, gazeti likapamba ukurasa wa mbele tena Apokelewa kama Mfalme. Juzi tena Katibu Mkuu amekwenda naye UFO SARO kampamba kwamba amepokelewa kama Mfalme. Nani Mfalme? VICENT, MBILINYI AU SLAA?
My take: CHADEMA hatuna MALKIA naye akapokelewa Arumeru?
O k kwa hiyo unasemaje sasa ?
 
Lazima wakae!Hv unacheza na chadema wewe!?.Ni wasomi,wajanja,wanajua mambo ya siasa,wana sapoti kubwa kwa wananchi na wana high convincing power more than magamba.Mwaka huu wanakazi kubwa sana hawa si c em.Siwapendagi mimi yan yako sawa na magaidi.Tunataka true changes via chadema ambalo ni chama la ukweel bongo.Pipoz pawa ni nouma.
 
Kama JF ingekuwa ni kituo cha kupiga KURA, CDM ingepeta; Arumeru East mlie tu mwaka huu
 
Tangu kuanza kwa kampeni za Ubunge katika jimbo la Arumeru Mashariki, kumekuepo na Mfululizo wa Viongozi wa Chadema kwenda kuongeza nguvu kila walipogundua kuwa wanalemewa, lakini ninachojiuliza ni Kiongozi gani wa Chadema aliyepokelewa kama Mfalme Arumeru? Nauliza hivyo kwa sababu Alianza Vicent Nyerere , Tanzania Daima wakapamba gazeti lao, apokelewa kama Mfalme. Akafuatia Joseph Mbilinyi, gazeti likapamba ukurasa wa mbele tena Apokelewa kama Mfalme. Juzi tena Katibu Mkuu amekwenda naye UFO SARO kampamba kwamba amepokelewa kama Mfalme. Nani Mfalme? VICENT, MBILINYI AU SLAA?
My take: CHADEMA hatuna MALKIA naye akapokelewa Arumeru?

akili za chooni hizo
 
Viongozi wa CHADEMA Taifa na wabunge wote machachari chamani,

chukueni tahadhari kubwa VILE VIRUSI VYA CCM katikati yetu (ambao sote tunawafahamu na kuishi nao kihivo hivo chamani) hivi sasa wako kwenye shinikizo kubwa ajabu kwamba WAKAMDHURU MMOJA WENU.

Be warned everyone!!!

Ole wao wamdhuru kiongozi yeyote wa cdm,wataelewa kuwa hapa ni meru
 
Habari njema kwa kila mpenda amani na demokrasia ya kweli,hongera Sugu na Mdee
 
Tangu kuanza kwa kampeni za Ubunge katika jimbo la Arumeru Mashariki, kumekuepo na Mfululizo wa Viongozi wa Chadema kwenda kuongeza nguvu kila walipogundua kuwa wanalemewa, lakini ninachojiuliza ni Kiongozi gani wa Chadema aliyepokelewa kama Mfalme Arumeru? Nauliza hivyo kwa sababu Alianza Vicent Nyerere , Tanzania Daima wakapamba gazeti lao, apokelewa kama Mfalme. Akafuatia Joseph Mbilinyi, gazeti likapamba ukurasa wa mbele tena Apokelewa kama Mfalme. Juzi tena Katibu Mkuu amekwenda naye UFO SARO kampamba kwamba amepokelewa kama Mfalme. Nani Mfalme? VICENT, MBILINYI AU SLAA?
My take: CHADEMA hatuna MALKIA naye akapokelewa Arumeru?

Historia ya dunia hii inatuonesha kuwa walikuwapo wafalme wengi na wakingalipo wengi hadi sasa. Hadhi za wafalme hawa zinatofautiana. Aidha hadhi ya mtu yeyote anayeitwa mfalme inatofautiana mno na mtu wa kawaida!
Kutokana na ukweli huo waweza kuweka kichwa cha habari katika gazeti lako SUGU APOKELEWA ARUMERU KAMA MALKIA! Utauza pia! Kwani dunia bado inao Malkia wenye kuheshimika sana. Mwandishi alichagua mfalme ili auze gazeti lake HAKUNA MATATA!
 
picha zinaongeazaidi ya maneno tupieni picha kukata ngebe za magamba
 
Tangu kuanza kwa kampeni za Ubunge katika jimbo la Arumeru Mashariki, kumekuepo na Mfululizo wa Viongozi wa Chadema kwenda kuongeza nguvu kila walipogundua kuwa wanalemewa, lakini ninachojiuliza ni Kiongozi gani wa Chadema aliyepokelewa kama Mfalme Arumeru? Nauliza hivyo kwa sababu Alianza Vicent Nyerere , Tanzania Daima wakapamba gazeti lao, apokelewa kama Mfalme. Akafuatia Joseph Mbilinyi, gazeti likapamba ukurasa wa mbele tena Apokelewa kama Mfalme. Juzi tena Katibu Mkuu amekwenda naye UFO SARO kampamba kwamba amepokelewa kama Mfalme. Nani Mfalme? VICENT, MBILINYI AU SLAA?
My take: CHADEMA hatuna MALKIA naye akapokelewa Arumeru?
umekosea hapo badala ya hatuna sema hawana, kwasababu unaonekana sio wa kundini wewe.
 
Tangu kuanza kwa kampeni za Ubunge katika jimbo la Arumeru Mashariki, kumekuepo na Mfululizo wa Viongozi wa Chadema kwenda kuongeza nguvu kila walipogundua kuwa wanalemewa, lakini ninachojiuliza ni Kiongozi gani wa Chadema aliyepokelewa kama Mfalme Arumeru? Nauliza hivyo kwa sababu Alianza Vicent Nyerere , Tanzania Daima wakapamba gazeti lao, apokelewa kama Mfalme. Akafuatia Joseph Mbilinyi, gazeti likapamba ukurasa wa mbele tena Apokelewa kama Mfalme. Juzi tena Katibu Mkuu amekwenda naye UFO SARO kampamba kwamba amepokelewa kama Mfalme. Nani Mfalme? VICENT, MBILINYI AU SLAA?
My take: CHADEMA hatuna MALKIA naye akapokelewa Arumeru?

Kumbe unafuatilia kwenye magazeti; sisi tupo Arumeru field; kuna tofauti kubwa kati ya kuona kwenye magazeti hususani magazeti dizaini ya uhuru na kuwa huku kwenye uwanja wa mapambono unavyoweza kuona hisia za watu wakiona bendera tu ya chadema acha kuona kiongozi kama Mdee au Sugu, huwezi pata picha yake!
 
nadhani kwa upande wa kampeni CDM are doing fine na mwitikio wa halaiki kubwa za watu ni reflection ya mafanikio hayo. kikubwa kimkakati ni kuhakikisha halaiki hizo kubwa zinajitokeza kwenda kupiga kura na wanawapigia CDM kwa kila kura. Then kama chama kijipange sawia kulinda vituo vya kupiga kura ili hata agents wao wasije rubuniwa. wahakikishe pia majumuisho ya kura yanafanywa bila ushawishi wa dola wala CCM au TISS. vinginevyo makundi yote haya na juhudi zote hizi zitakuwa hazina maana
 
Back
Top Bottom