SUGU mahakamani leo tar.11/9/2013 DODOMA

SUGU mahakamani leo tar.11/9/2013 DODOMA

Status
Not open for further replies.

NGOWILE

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2011
Posts
454
Reaction score
258
Makamanda leo Mh.Sugu anapelekwa mahakamani mkoani Dodoma. Ikumbukwe kuwa Sugu anakabiliwa na shitaka la kumtishia kumpiga askari polisi bungeni.

Updates: Sugu karudishwa kwa RCO. RCO anasema uchunguzi haujakamilika kwa hiyo SUGU kaachiwa kwa dhamana hadi hapo atakapoitwa tena.

Updates: Katika kuongea na waandishi wa habari Lisu amesema ni mbumbu wa sheria pekee ndie atakaethubutu kuipeleka kesi hiyo mahakamani kwani inaingilia haki na madaraka ya bunge kikatiba.
 
Kinga ni ndani ya bunge sugu kampiga askari nje ya bunge haki sawa kwa wote
 
Kwani na askari si walimpiga na vp iyo kinga ya bunge inaruhusu askari kumpiga mbunge
 
Hawa vijana waangalie sana umaarufu wanaoutafuta
utawaponza; chama ongea na vijana wako.
 
Last edited by a moderator:
Ni muda mwingine jemedari wa kesi wakili tundu antipas lisu atakapowabwaga policcm,serikali magamba,dpp,werema & co. Mtajenga tu heshima na mtaacha kuanzisha kesi za kipumbavu
 
Nadhani ni maarufu siku nyingi sana....wala hawahitaji kutoka kwa yeyote, siku zote sheria ni kwa wanyonge tu, wabuge wa CDM walinusurika kuuwawa Mwanza, Mpaka leo sijasikia kakamatwa yeyote, wala kauli ya mkubwa.....kuna diwani wa CCM aliuwawa Tukuyu, mzee aliagiza wahusika wakamatwe mara moja, na ikawa hivyo..... nchi moja hiyo, na baba mmoja

Hawa vijana waangalie sana umaarufu wanaoutafuta
utawaponza; chama ongea na vijana wako.
 
Umesahaa na baadhi ya wasaliti wa ndani ya TISS

Ni muda mwingine jemedari wa kesi wakili tundu antipas lisu atakapowabwaga policcm,serikali magamba,dpp,werema & co. Mtajenga tu heshima na mtaacha kuanzisha kesi za kipumbavu
 
Hawa polisi watanzania wanapewaga kadi za magamba wakiwa ccp au maana siwaelewi hawana uchungu na nchi kabisa
 
Moto ya mbogo uko sahihi! Kwa hao Polisi Nami nasema Sugu wapige tu, hakuna nanna nyingine.
 
Sugu siyo maarufu kama unavyofikiri;
Sugu anakubalika tu kwenye kundi la vijana hasa wale
wanaopenda muziki wa hip hop;

Namfahamu sana sugu; mahali pa heshima nitampa
na akifanya tofauti nitamsema bila hata kumumunya maneno.

Sugu alikua maarufu ndani na nje ya nchi kabla hata hajawa mbunge,sasa ni umaarufu gani zaidi unaohisi wewe?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom