Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,243
- Thread starter
-
- #61
Tatizo hapa Tanzania mahakama ni chombo cha mwisho kudai haki, hapa sio kwamba sijaelewa lugha sasa sioni haja ya kufungua kamusi wakati hamna msamiati hapo ,inawezekana bado hujaelimika.
mbona sasa akina Kusaga wanang'ang'ania kilichotolewa kwa ajiri ya Umma kwa kujimilikisha kama chao??, Sugu yuko sahihi haiwezekani mali umma ikatumiwa ndovyo sivyo, nina wasiwasi na wanaotetea upuuzi unaofanywa na akina Kusaga kwa kutaka kujinufaisha wao tu huku wasanii wanaochipukia kukosa mwelekeo..
Sugu cyo kwamba hana kaz but anawasaidia wasanii wasio na upeo haki zao
Kumbe bado hujaelimika umekaa kishabiki zaidi.......Aisee consult books tena kwa umakini, usiwe na haraka sana.
An empty head is devil's workshop.
Mkuu alipokuwa anaongea hayo bungeni sikuweza msikiliza live ila nilipata ile nakala aliyoiweka DM, sasa ingekuwa vizuri kujua majibu ya serikali.
Sisi atutaki akae kimya mbona ameongea bungeni hakijabadilika kitu sasa facebook ndio nini kitabadilika, suala ni kutafuta suluhisho sio kutoa taarifa ya tatizo kila mtu anaona hali ya wasanii wetu.
Ndio maana nikasema kwanini asiende mahakamani?
Kumbe hujaelewa Facebook au Twitter hakuna anayekatwazwa kutumia na tuna encourage matumizi yake ila ujumbe uliowekwa pale unawafika watazania wachache.
Hivyo basi ikulu walitumia media nyingine za habari kama redio,tv, n.k, hili ujumbe ufike kwa watanzania wote, suala ni kwamba facebook na twitter inatumiwa na watu wachache sana na wanaotumia pia wengi sio friends au followers wa Sugu
Kwenda mahakamani huo ni mtazamo wako.
Yeye ameamua kutumia njia nyingine ya kuwaeleza wadau wa muziki na taifa kwa ujumla kwamba kuna kitu hakiko sawa. Sasa ni juu yetu wananchi kuona ni kwa namna gani tunaweza kusaidiana nae kulimaliza hili tatizo.
Si kila mara unaweza kuiambia kitu serikali ikatekeleza wakati huo huo. Hata EPA ilipotajwa kwa mara ya kwanza serikali iliziba masikio, lakini watu walivyoendelea kukomaa, hatimaye ilisikia.
Na hapa nikukumbushe kuwa watuhumiwa wamekuwa wakimuandalia sherehe ya "birthday" mwenye serikali, kwahiyo unaweza kuona ugumu wa serikali kuchukua hatua kwa haraka, inabidi kelele ziendelee kupigwa hadi isikie, bila kujali ni redioni, JF, Facebook ama twitter!!
Two wrongs do not make a right, we don't want the government to be a nanny state, we don't want either Sugu or Kusaga to freeload.
Kuna culture inaota mizizi Tanzania kila kitu "serikali this, serikali that". Sekta kama ya entertainment serikali inaweza overall strategy tu kama sheria and such framework level protection, other than that watu wajifanyie mambo wenyewe.
Sugu ana risk kuonekana analialia sasa. Nimefurahi kuona ana organize Vinega wanafanya benefit concert Mbeya. Nategemea kuona ukomavu kama huu unaendelea wasanii wanaanzisha studios zao na redio zao.
Nchimbi ni bogus, si ndiye huyu anayetaka totalitalian decrees za kulazimisha national dress?
Two wrongs do not make a right, we don't want the government to be a nanny state, we don't want either Sugu or Kusaga to freeload.
Kuna culture inaota mizizi Tanzania kila kitu "serikali this, serikali that". Sekta kama ya entertainment serikali inaweza overall strategy tu kama sheria and such framework level protection, other than that watu wajifanyie mambo wenyewe.
Sugu ana risk kuonekana analialia sasa. Nimefurahi kuona ana organize Vinega wanafanya benefit concert Mbeya. Nategemea kuona ukomavu kama huu unaendelea wasanii wanaanzisha studios zao na redio zao.
Nchimbi ni bogus, si ndiye huyu anayetaka totalitalian decrees za kulazimisha national dress?
Nchimbi kawateua kina Kusaga watuandalie vazi la taifa..Sugu kwa nafasi yake kama waziri kivuli akichallenge kuna makosa?
Mkuu, hilo suala ni serikali yenyewe inapenda liwe hivyo! Sasa uwa humsikii Kikwete akitoa ahadi za kipuuzi kwa wasanii na makundi mbalimbali ya kijamii?!? Jambo hilo ndio linapelekea kwa hiyo culture kuota mizizi. Kwani ilikua lazima kwa Kikwete kusema atawajengea studio wasanii?!? Serikali hii kwa vile inapenda kucheza na jukwaa sana, culture unayoizungumzia mkuu kamwe haitoweza kwisha!!
Wazo zima la kwamba vazi la taifa linaweza kuundiwa kamati linachekesha. Huwezi kupata utamaduni kwa kutumia nguvu ya dola.
Vazi la taifa linatoka kwa watu, halitoki kwa wanasiasa, ama sivyo watatuletea propaganda tu.
Likishapatikana hilo vazi la taifa then what's next? Mandatory wearing?
Huyo sugu tumeshamchoka kwa kutafuta huruma ya watanzania,hivi yeye kama mbunge anashindwa kumwandikia barua huyo waziri na kujua msimamo wa serikali katika hilo.
Halafu pia anamajukumu huko jimboni kwake kila siku yeye anaugomvi na watu halafu anataka raia tumsaidie vita yake? sugu fanya mambo kama mbunge.