Naanza kufundisha watu kiswahili sasa katika wana JF mada "Sugu akabidhiwa ofisi isiyo na samani" katika kiswahili hakuna neno samani kuna neno linaitwa Thamani weka kiswahili sawa.
Nawakilisha

...Kwa mujibu wa taratibu za Bunge, kila mwezi mbunge hupokea sh 500,000 kwa ajili ya shughuli za jimbo, ikiwemo ununuzi wa vifaa mbalimbali vya ofisi.
....
Naanza kufundisha watu kiswahili sasa katika wana JF mada "Sugu akabidhiwa ofisi isiyo na samani" katika kiswahili hakuna neno samani kuna neno linaitwa Thamani weka kiswahili sawa.
Nawakilisha
Kama wewe siyo mhindi utakuwa Mpare.Naanza kufundisha watu kiswahili sasa katika wana JF mada "Sugu akabidhiwa ofisi isiyo na samani" katika kiswahili hakuna neno samani kuna neno linaitwa Thamani weka kiswahili sawa.
Nawakilisha
Kama si muuza miwa labda anauza madafu.Wewe ndiye uliyechemsha. Maneno SAMANI na THAMANI yote ni ya kiswahili na yana maana tofauti. La kwanza maana yake ni FURNITURE na la pili ni VALUE. Kwa kutojua neno samani naweza nikakadiria elimu yako na kazi unayofanya. Inawezekana elimu yako ni darasa la saba na kazi yako ni mkulima au mfanyabiashara wa maparachichi au maembe. Naomba kuwasilisha kwa heshima na taadhima.
accountability kwa wanasiasa ni alien......blah blah nyiiiingi hazitusaidii, tungekuwa tunaanzia hapa kwenye 'accountability' kuwapeleka hao wabunge waliomaliza muda wao polisi kisha mahakamani. Kila senti 'inayofujwa' inatokana na kodi yangu mimi na wewe mwananchi. Tuna kila sababu ya kuhoji matumizi yake. Laki tano kwa mwezi nyingi, ni sawa na 6,000,000/= kwa mwaka, au...30m/= kwa miaka mitano!
Mkuu, unatumia kamusi gani isiyo na neno samani? Naanza kuamini kwamba wewe kiswahili kinakupiga chenga, sasa sijui utamfundisha nani kiswahili usichookijua. Samani ni furnichers kwa kimombo, au vyombo vya kufanyia kazi nyumbani au chumbani. Kumbe nyani kweli haoni nanihii lake. Yaonekana wewe una Diploma wakati mwenzio anayo Degree, kwa hiyo kwa mtizamo wako wewe unamzidi kujua mambo mwenye degree. Tusiwe na haraka kuzuzua watu kabla hatujajiangalia wenyewe kwenye kioo.Naanza kufundisha watu kiswahili sasa katika wana JF mada "Sugu akabidhiwa ofisi isiyo na samani" katika kiswahili hakuna neno samani kuna neno linaitwa Thamani weka kiswahili sawa.
Nawakilisha
Naanza kufundisha watu kiswahili sasa katika wana JF mada "Sugu akabidhiwa ofisi isiyo na samani" katika kiswahili hakuna neno samani kuna neno linaitwa Thamani weka kiswahili sawa.
Nawakilisha
Naanza kufundisha watu kiswahili sasa katika wana JF mada "Sugu akabidhiwa ofisi isiyo na samani" katika kiswahili hakuna neno samani kuna neno linaitwa Thamani weka kiswahili sawa.
Nawakilisha
Naanza kufundisha watu kiswahili sasa katika wana JF mada "Sugu akabidhiwa ofisi isiyo na samani" katika kiswahili hakuna neno samani kuna neno linaitwa Thamani weka kiswahili sawa.
Nawakilisha
Hapa kweli wanastahili kushtakiwa. Kinachonichanganya pia ni kuwa kwa hawa wapya wasiokuwa na fenicha, wanasubiri wakurugenzi waweke fenicha ndo wakabidhiwe ofisi, issue hapa ni kuwa, kama wanapokea hela kwa kazi hiyo Je? Watazirudisha kwa Halmashauri husika pesa zilizotumika kununua hizo fenicha?...blah blah nyiiiingi hazitusaidii, tungekuwa tunaanzia hapa kwenye 'accountability' kuwapeleka hao wabunge waliomaliza muda wao polisi kisha mahakamani. Kila senti 'inayofujwa' inatokana na kodi yangu mimi na wewe mwananchi. Tuna kila sababu ya kuhoji matumizi yake. Laki tano kwa mwezi nyingi, ni sawa na 6,000,000/= kwa mwaka, au...30m/= kwa miaka mitano!