Sugu akabidhiwa ofisi isiyo na samani

Hili tatizo limetoa kwa wabunge wengi wapya kwa baadhi ya majimbo.Lakini tujiulize hivi hizi thamani kwa wabunge hununuliwa na nani?,wabunge wa mwazo walizikuta? au walinunua wenyewe?Kama walinunua wenyewe lazima na wapya wanunue za kwako huo ndiyo ukweli !Utaratibu wa kununua thamani unawekwa na nani
 
accountability kwa wanasiasa ni alien...

BTW, nani alikwambia wabunge wa ccm wanajua hata maana ya ofisi ya bunge?? kwao ofisi yao ni pale bungeni dodoma kwisha vikao vikiisha wanarudi kuendelea na hamsini zao

...naam,
nasi wananchi twasubiria hadi wabunge wa Upinzani (ambao pia ni wanasiasa!) wahoji hizo accountability na kodi zetu zinavyo 'chakachuliwa' :juggle:
 
Naanza kufundisha watu kiswahili sasa katika wana JF mada "Sugu akabidhiwa ofisi isiyo na samani" katika kiswahili hakuna neno samani kuna neno linaitwa Thamani weka kiswahili sawa.
Nawakilisha

Wewe ndiyo mwenye kutakiwa kisahihishwa kiswahili chako siyo kusahihisha. Samani ni funiture wakati Thamani ni worth!!!
 
Huo ndo uongozi bora wanaoufagilia CCM! Mwivi haji ila kuchinja na kuharibu! (Yoh. 10:10)
 
Naanza kufundisha watu kiswahili sasa katika wana JF mada "Sugu akabidhiwa ofisi isiyo na samani" katika kiswahili hakuna neno samani kuna neno linaitwa Thamani weka kiswahili sawa.
Nawakilisha



Kama wewe siyo mhindi utakuwa Mpare.

Tehe tehe tehe!!!!!!!!!! Mnanifurahisha:teeth::teeth::teeth:
 
Back
Top Bottom