tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,855
- 1,117
Huwa nampenda Mwakyembe tatizo kundi lake ndo linalomwangusha!
Mwakyembe yupo safi kiutendaji mpaka maadili, tatizo ni watu waliomzunguka, wengi wakiwa makada wa chama chake! Bt yote tisa, SUGU chapa kazi!
Mwakyembe yupo safi kiutendaji mpaka maadili, tatizo ni watu waliomzunguka, wengi wakiwa makada wa chama chake! Bt yote tisa, SUGU chapa kazi!
keshaingia kundini sasa anazitafuna vilivyo... zile contracts na per diem!!!Huwa nampenda Mwakyembe tatizo kundi lake ndo linalomwangusha!
yes, na nisugu kweli, kama vile tingatinga, mapacha watatu, vasco da gama, tyson, kicheche, vijisenti, nkMheshimiwa katika bunge la Tanzania anajiita SUGU....hahahah.
You missed his gesture mkuuBasi huyu Supa star wa bongo anajua atapata mishahara miwili.
Mwakyembe haeleweki kabisa siku hizi,hajatulia...Sijui wamemroga?Teh teh teh,bongo kuna mambo...Kama kweli kamkimbia sugu,basi kuna tatizo sugu hapo.
Wacha uzushi...Mwakyembe kile cheo kimemchanganya kabisa kiasi hata upiganaji wake kauweka kando! au wakati anapewa hicho cheo alipewa sharti la kukaa kimya
:A S-baby: