Sugu ajitolea kuwa mbunge wa Kyela; Amzunguka Mwakyembe

Ukitaka kujipunguzia umaarufu wa kisiasa kyela na sehemu kubwa ya mkoa wa mbeya mzodoe Mwakyembe na Mwandosya ni sawa na kujitafutia matatizo ya kisiasa mkoani humo.
Mwakyembe na Mwandosya ni watu kama wengine,wao sio miungu ya Mby,na wao sio Mby!wana Mbeya tunamweshimu MUNGU PEKEE,
 
Kama alishindwa kupambana kwenye mradi wa malaria, sasa atawezaje kupambana na Mwakyembe? Sugu ni mwoga sana alitishwa na January nae akanyong'onyea kabisa

ndugu yangu hivi wewe ndiye yule kibabu wa shy mana naona maneno yako yanaendana naye hata jina lako ameliandika kwenye saluni yake GB Hair dressing saloon yule bwana ni shoga maarufu hapa town na anampenda january acha kabisa ila maneno yake ndo yanafanya tumchukie je ni wewe ndugu? Sugu yupo na shyrose utaumia! Shauri yako
 
Mwakyembe ni naibu waziri jamani msisahau hilo, ndo maana sisi tunataka katiba mpya itambue kuwa mbunge haruhusiwi kumwa waziri, naibu waziri au kuwa ktk position yoyote ya serikali. Kwa maana ipi, ikitokea mbunge akateuliwa kuwa waziri inabidi ajiuzulu nafasi ya ubunge na uchaguzi mdogo uitishwe kujaza nafasi hiyo, Mwakyembe anaugua unaibu waziri. HATA HIVYO NIMEPITA TU
 
[/B]
Unatuatuambia una taharifa alafu unasema hjui, nashindwa kukuelewi kama hujui ni bora ukae kimya.
Ikiwa wewe siyo mnafiki haina haja ya kusema, ukweli utajidhihirisha kuna uwezekano mkubwa ukwa ni mnafiki wa kutupwa.
Mtu mwenye akili timamu ameelewa mantiki ya Sugu, wewe ndiye unahitaji ushauri na siyo Sugu.

Tindikalikali jaribu kusoma bandiko langu vizuri ndio uje upayuke sidhani kama unamfahamu SUGU vizuri na unawafahamu wana Mbeya.
Kuna mtu mmoja kasema wanambeya walikuwa na hasira kiasi kwamba hata Mpesya angekuwa anagombea na chura basi chura angeshinda.
Kwa kifupi na kwa faida ya wengine wanambeya hawajawahi kuona faida ya kuwa na Mbunge so kwao ni rahisi kukupa kisogo baada ya kipindi fulani. Waulize watu kuhusu Mwamfupe, Hyera, na Mwaiseje hawa walikuwa wabunge lakini hawakuamini walipopigwa chini na wana Mbeya.
Bandiko langulimetoa ushauri kwa Sugu lakini naona unamahaba na Sugu na upo kumtetea sugu kwa lolote atakalofanya hata iwe ni upuuzi..
Nimekwambia sijui kafanya nini na nimesema nina taarifa so kuwa na taarifa si uhakika wa jambo lililotendeka sehemu iliyo mbali na mimi kwa zaidi ya KM 10,000.
Kifupi namfahamu Sugu toka akisoma Mbeya wakimuita MAY, kisha akawa mlinzi wa BP DSM, na baadaye msanii.
I was thinking all we have in here are the people who can predict the future and see how to overcome that future. We need to have positive thinking.

Tindikali take my word, Mbeya hajawahi kujengwa na wanasiasa na haitishwi na viongozi wa serikali, nakumbuka moja ya mambo aliyoyafanya Mkapa ni kulipa kisasi kwa kutokufanya jambo lolote la kimaandeleo baada ya watu wa Mbeya kumzomea pindi alipokuwa akipiga kampeni lakini Watu wa mbeya hawajahi kuteteleka kwa hilo they keep living.
 
Back
Top Bottom