Sugu aitakatisha Mbeya

Sugu alikuwa anapita bar kuomba bia hii leo ana utajiri wa kutisha...pesa za mfuko wa jimbo badala ya kujengea zahanati yeye kaenda kujijengea jumba la kifahari...

Hongera sana, umesomeka umeonesha n kias gan ulivyombumbu wa namna pesa ya umma inavyotumika, hasa mfuko wa jmbo. Ni ujnga na AIBU.
 
Ujinga n kuamin kuwa mavuno toka shamban yanaweza kujiresha nyumban bila mkulima mwenyewe kufanya jtihada kuyarejesha.
 
Sugu alianza kutafuta maisha watu kadhaa humu mpo 'vidudu'.Leo hii unamuona na nyumba na gari na kwa kuwa huwa pia anavaa t shirt na jeans basi unataka kujilinganisha nae!
 
...kubwabwaja kwa Sugu ndio kumepeleka mradi ule?kwa taarifa tu mradi ule ulisainiwa kabla ya uchaguzi wa 2010,Sugu imetokea tu amekuwepo eneo hili kwa wakati wa utekelezaji wa mradi huu,hana mchango wowote kwenye hili...
 
Maendeleo anayoyaleta sugu yatakuumiza sn kijana pole sn mchumia tumbo
Mwambie na huyo jamaa yako kama anajua maendeleo maana yake basi aondoe machinga pale Mwanjelwa.
Mnajisifua wala hajui nata vigezo vya maendeleo, barabara ya kitaifa imegeuzwa kuwa a side street, na nyie mnachekekea na kujigamba humu jamvini kama mazuzu.
 
...kubwabwaja kwa Sugu ndio kumepeleka mradi ule?kwa taarifa tu mradi ule ulisainiwa kabla ya uchaguzi wa 2010,Sugu imetokea tu amekuwepo eneo hili kwa wakati wa utekelezaji wa mradi huu,hana mchango wowote kwenye hili...

kwa akili yako ulitaka tuseme ni mchango wa nani umepekea katka utekelezaji wa ule mradi? Miradi mingapi imesainiwa mpaka leo ipo kwenye mafile? Umefika mbeya lkn au unatoa povu bila ushahidi wowote! Pole sana gamba!
 
kwa hiyo kwa akili yako kunyanyasa wamachinga ndio maendeleo? au unamaanisha nini?
 
Mkuu hii ni nchi huru na uhuru wa maoni unaruhusiwa kulopoka chochote ispokua kuvunja sheria,. Ongea basi huo uharo wako acha kujivunga
Ulitaka apore bia? Unajua nimekusamehe tuu ningekupa kitu inayostahili ban....
 
Awaondoe machinga weusi ili muwalete machinga wa kichina kama mlivofanya kariakoo, aaa kwa hapa mbeya huo upuuzi hatuutaki,. Barabara ya kimataifa toka lini ikapita katikati ya soko kama sio umbulula wa hili liserikari lenu la chama cha mihadarati,. Sugu ni maendeleo tu hataki porojo
 
serikali ilikuwepo kabla ya Sugu. Mbona hawakuyafanya toka wakati huo ?
 
Sugu alikuwa anapita bar kuomba bia hii leo ana utajiri wa kutisha...pesa za mfuko wa jimbo badala ya kujengea zahanati yeye kaenda kujijengea jumba la kifahari...

Mbunge wangu anatoka ccm lakini tangu aingie madarakani sijawahi kuona hiyo pesa ya jimbo imetumika jimboni.
 
kwa hiyo kwa akili yako kunyanyasa wamachinga ndio maendeleo? au unamaanisha nini?
Na ndio maana nastaajabu watu kujisifia wakati mambo hawayawezi.
Kama mmeshindwa kumshawishi Sugu kuwaondoa hao wamachinga barabarani ni sawa na kushindwa kazi.
Na kuna habari kuwa hao wamachinga wanatumiwa na CHADEMA kuua maendeleo ya usafiri Mbeya.
 
Mkuu mimi ni mdau mkubwa ws maendeleo ya Mbeya na nawekeza.
Nakereka sana watu wamelala halafu mtu anakuja kujisifu kama hana akili nzuri.
Hizo barabara watu wanabweteka nazo ,jiji kama Mwanza zimejengwa kitambo.
Lazima tuwe na wivu wa maendeleo na mimi nakandya kwa makusudi ili mtu ajione adadaiwa maendeleo na si kubweteka.

Halafu wewe mwenyewe mkuu kama unaishi nyumba ya tope nitakucheka hadi basi, iga kizuri.
Jina langu, masopakyindi, lisikupe shida, kuna kina Mwambulukutu, Mwampulo, Mwamaso, Mwakyeni na yule ndugu yangu Sikafunje!
 
Kumbe unakili kua jiji la mwanza limejengwa kitambo na sasa jiji la mbeya lina jengwa chini ya sugu asante sana kwa kukubali yani sugu kwa sababu kapitishwa kua mbunge wa kudumu li atuletee maendeleo zaidi ya mwanzai ba
 
Mtoto umetoka kijijini juzi, lami yako ya kwanza unashabikia ka mwehu!
Wala hujui miaka ya nyuma kuwa Mbeya ilikuwaje ikilinganishwa na mikoa mingine.
Ukisha staarabika pengine, just pengine ndo utaelewa kuwa biashara haifanyiwi kwenye lami, kama machinga mnaowatetea.
Mnaleta za kuleta baada ya kutoka vijijini , mnashabikia tabia za kuuza bidhaa kando kando ya barabara, tembeeni muone.
 
Sugu alikuwa anapita bar kuomba bia hii leo ana utajiri wa kutisha...pesa za mfuko wa jimbo badala ya kujengea zahanati yeye kaenda kujijengea jumba la kifahari...

Nimekufananisha na yule mwizi wa mataulo kwenye maguest houses Dr(SIC!) Mary Mwanjelwa.
Je ndiyo wewe?
 
acha uongo,mbeya hawataki ata kusikia habari za sugu tena...kila siku kupigana bungeni wanambeya wameshamchoka hafanyi walichomtuma.
Mbona hujajibu hoja? barabara hakumna ama umekosea jukwaa eh?
 
lami zilikuwa shda ln mbeya mjini?

barabara ni mpango wa uboreshaji wa majiji,nenda arusha,tanga,dar na mwanza uone.tena huo ni mpango wa world bank chini ya usimamizi wa serikali iliyopo madarakani huyo sugu aliongea kip bungen kwa maendeleo ya jimbo lake zaidi ya kushabikia maugomvi? Zindukeni wana mbeya msiwe kama bendera fuata upepo.msikurupuke bali fuatilieni mambo kwa kina.hongera sana kwa aliyekuwa mkurugenzi wa jiji bwana idd alijitahidi sana kufanya yaliyomhusu.
 
kwa akili yako ulitaka tuseme ni mchango wa nani umepekea katka utekelezaji wa ule mradi? Miradi mingapi imesainiwa mpaka leo ipo kwenye mafile? Umefika mbeya lkn au unatoa povu bila ushahidi wowote! Pole sana gamba!
...Huu ni mradi wa World Bank wa kuendeleza miji nchini, Tanzania Strategic Cities Project(TSCP), na sio porojo, mradi huu umeanza kutekelezwa kabla Sugu hajaingia kwenye siasa, na utekelezaji wake haujasaidiwa wala kuathiriwa na uwepo wa Sugu, na hii miradi inatekelezwa katika miji mbalimbali, sio Mbeya tu....Refer kwa uchache, 1. Mradi wa TSCP-Mbeya(https://www.devex.com/en/projects/t...ructure-development-in-mbeya-city-under-the-t), 2. Mradi wa TSCP-Tanga (https://www.devex.com/en/projects/t...ture-development-in-tanga-city-under-the-tscp, 3. Mradi wa TSCP-Mtwara (https://www.devex.com/en/projects/t...velopment-in-mtwara-municipality-under-the-ts), 4. Mradi wa TSCP-Dodoma (https://www.devex.com/en/projects/t...velopment-for-dodoma-mc-in-dodoma-municipalit)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…