Sugu aitakatisha Mbeya

uliwahi kusikia mchango wake bungeni akidai barabara or huwa anabezi kwenye yoyoyo? 2015 atamwachia jimbo Afande Sele.

Acheni Ubishi.hizi hela za WorlBank zikija watu walikua wanazichimbia ili kuangalia namna watakavyo zipiga.Chini ya Sugu wamezikomalia hadi zifanye kazi.Hata Mkurugenzi wa jiji la mbeya aliwahi kumsifia Sugu kuwa ni Mpambanaji.Nawapongeza Madiwani wa CDM na Sugu kwa kuibadilisha Mbeya.KWa sisi tunaoifahamu mby ,ingechukua muda Mbeya kubadilika haraka.
 
Sugu alikuwa anapita bar kuomba bia hii leo ana utajiri wa kutisha...pesa za mfuko wa jimbo badala ya kujengea zahanati yeye kaenda kujijengea jumba la kifahari...

Dogo anatumia mshahara wake wala sio fedha ya maendeleo ya jimbo, unaufahamu mshahara wa mbunge kwa mwezi lakini...??
 
bon voyage kamanda sugu hakuna kurudi nyuma
 
Leta hoja ww shakwambia peleka maujinga yako mbali kule, apa mbeya ni maendeleo tu
Ha ha ha!
eti buku saba fc,
jenga hoja,si kila mtu ni muumini wa chadema vs ccm politics
 
Soko marola ndiyo soko gani we upo mbeya kweli kwenda zako,
kumbe sugu sigu hizi anajenga barabara,
sugu aache kupigana ajenge barabara we hewa kweli.
tunajua mavi yamekubana uwe unakumbuka ku edit basi hebu rudia kusoma ulicho andika wewe paka.
 
Sugu kwajili ya wana mbeya we punda wa lumumba hakuhusu
teh teh teh teh teh kweli wewe ni kiazi kweli kweli. Sugu yupi? au huyu huyu bongoflavery? kilaza? or kiplati? he he utavunja mbavu watu acha utani.
 
Sugu alikuwa anapita bar kuomba bia hii leo ana utajiri wa kutisha...pesa za mfuko wa jimbo badala ya kujengea zahanati yeye kaenda kujijengea jumba la kifahari...
ungekuwa wastegate siku ya tukio, sidhani kama una umuhimu sana kwa taifa letu!
 
Kwani ray c alitibiwa na mbowe yale madawa ya kulevya,. Sugu ni chaguo la kudumu la wana mbeya
lakini tusishangae kauli za vijana wa Bavicha ivisasa wanamwandaa lady Jdee kugombea Musoma vijijini na Rc kugombea ilala. kweli chadema kama bongo flaver
 
Ok mngemshauri aende kidogo shule haya mengine ya ustaarabu angeepuka nayo mbunge gani kama chokoraa tu wa kule street au kwa kuwa ni mbunge wa wahuni tuchukulie poa tu.
 
Mkuu apa mbeya wanajuta kua walikua wapi sku zote kuchagua mbunge makini kama sugu
Ni furaha kusikia kitu km hicho na ninaona wivu sn kwan mimi mbunge wetu alituambia mtake msitake nitashinda na kweli akashinda.Ongera zenu mliochagua sugu,Sie tulimchagua f mpendazoe akashinda wa ccm
 
Umenikumbusha mbunge wa wilaya yang sasa sijui ni mwaka wa ngapi na yupo TAMISEMI kama naibu waziri ila sijawahi ona maendeleo aliyoyafanya maana barabara tunayoitumia toka nizaliwe ndo hyo hyo sa sijui anafanya nn
 
Magamba wa ajabu ubungo maji yakisumbua mnyika!!!!barabara zikijengwa ni serikali!!!!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Sugu alikuwa anapita bar kuomba bia hii leo ana utajiri wa kutisha...pesa za mfuko wa jimbo badala ya kujengea zahanati yeye kaenda kujijengea jumba la kifahari...

nitajie mtaa/kata /eneo lenye shida kubwa ya Zahanati hapa Mbeya!
 
Kamanda sugu ameanza muda mrefu mapambano yakuweka kila kitu sawa, ukiwamo mziki wa kizazi kipya! hongera Sugu kwani wewe ni mwanaharakati wa ukweli
 
Hivi yule muimba taarabu wa kule lindi ana elimu gani au Profesa wa kule Tanga te tehe teh
Ok mngemshauri aende kidogo shule haya mengine ya ustaarabu angeepuka nayo mbunge gani kama chokoraa tu wa kule street au kwa kuwa ni mbunge wa wahuni tuchukulie poa tu.
 
Ndio anae tujengea rami apa mjini vp prof kapuya, prof magembe, na ma dk na maprof wengine
Ok mngemshauri aende kidogo shule haya mengine ya ustaarabu angeepuka nayo mbunge gani kama chokoraa tu wa kule street au kwa kuwa ni mbunge wa wahuni tuchukulie poa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…