Magamba watavamia hapa sasa hivi!
Toka kijana aingie hapa mbeya mjini, jimbo limekua zuri likipambwa na lami kila sehemu,. Kuanzia soko Marola, Soweto, Sae mpaka Teku kote ni lami kila sehemu,. Maboresho ya huduma za afya na shule zote za kata na zisizo za kata yamepambama moto,.
Kweli mbeya imepata mbunge wengi wanatamani hyu kijana awe ni mbunge wa kudumu,.
Sugu kipenzi cha wana Mbeya na kwenye michezo ndio usiseme kama mnavoskia halmashauri anayoiongoza ina timu ya mbeya city inayosonga mbele kwa spidi ya moto wa gesi,.
Wamachinga na wafanyabiashara sasa apa mbeya wanafanya biashara kama kweli ni watamzania manyanyaso hamna,.
Nani kama sugu,.
Nawashaurini 2015 watz popote msifanye makosa tuigeni wana Mbeya
Sugu alikuwa anapita bar kuomba bia hii leo ana utajiri wa kutisha...pesa za mfuko wa jimbo badala ya kujengea zahanati yeye kaenda kujijengea jumba la kifahari...
acha uongo,mbeya hawataki ata kusikia habari za sugu tena...kila siku kupigana bungeni wanambeya wameshamchoka hafanyi walichomtuma.
Ni kweli kwa dials la barabara-feeder roads Sugu anasemwa kuchangua sana....
Sikupata kujua masuala mengine kwa hiyo siwezi kuyasemea
Heko Sugu na CHADEMA Mbeya
Lami zilikuwa shda ln mbeya mjini?
Sugu alikuwa anapita bar kuomba bia hii leo ana utajiri wa kutisha...pesa za mfuko wa jimbo badala ya kujengea zahanati yeye kaenda kujijengea jumba la kifahari...
Ngoja @W.J. Malecela a.k.a Le Mutuz na column ya LUMUMBA BUKU 7 FC waje hapa utasikia watakavyobwabwaja. Hawaamini kuwa watanzania wa sasa sio wale wa 1985.
​Kaa kimya mama wenyewe wasije kukusikia!acha uongo,mbeya hawataki ata kusikia habari za sugu tena...kila siku kupigana bungeni wanambeya wameshamchoka hafanyi walichomtuma.
Sugu alikuwa anapita bar kuomba bia hii leo ana utajiri wa kutisha...pesa za mfuko wa jimbo badala ya kujengea zahanati yeye kaenda kujijengea jumba la kifahari...