Sugu aelezea sakata la ndege ya Rais wa China

Sugu aelezea sakata la ndege ya Rais wa China

SUGU hajui kitu zaidi ya kufunga suruali chini ya makalio na kuvaa hereni.

Hii comment ni ya mtu anaelipwa kwa idadi ya pumba anazopost kwa siku. Wewe MSALANInaamini kabisa bila post kama hizi za kimasaburi masaburii hautaenda msalani kubwa siku hiyo. Nilazima utakuwa unawaza kimasabur saburi, haiwezekani
 
Last edited by a moderator:
Huyu msalani na simiyu wanajifaragua kila siku maskini ya mungu hawa huku wanajua wanatetea unafiki na uzandiki .pyuuuu aibu yenu.
 
ALFA OMEGA
Duh! hivi mtu ukiwa CHADEMA sijui automatically unaongezewa akili? maana nondo zinazoshushwa na Sugu wanaedai ni form four tu hata maprofesa wa CCM wanabaki wakibung'aa tu. hebu sikiliza hapa ..... "kwa nini wazungu wakisema Rais wetu ni kinara wa utawala bora Waziri Membe asemi ni uzushi?"
Halafu msikilize na hapa
".....Alitakiwa aje na kusema inatakiwa ufanyike uchunguzi wa Kimataifa tujue ukweli na kama tukigundua Ripoti ni ya uongo, Tanzania kama nchi tuchukue hatua kwa wale waliotuchafua haswa ikichukuliwa taarifa imetolewa na vyombo vikubwa vya habari kama BBC na AL JAZEERA"
Hivi CHADEMA mnawafanyaga nini hawa vijana ambao wanasemekana hawana elimu? Nikikumbuka Mnyika (form 6) alivyomhenyesha Prof Magembe kuhusu hoja ya maji, Lema (Form 4) alivyomhenyesha spika na waziri mkuu kwa kusema uongo hadi leo spika kashindwa kutoa mwongozo nabaki nashangaa tu.
Au ukiingia CHADEMA tu Mungu anakujaza ufahamu na ukiingia CCM tu unalaaniwa akili kama jamaa wa LB7?
 
Last edited by a moderator:
ALFA OMEGA

Ahaaa!! Nimeelewa ndio maana Maprofesa wanaongezeka na Ndovu wanapungua!!!! Asante Sugu
 
Last edited by a moderator:
Sugu umenena Mh. kusema kweli Membe hafai kabisa kwani ana tabia za kukurupuka kama alivyo Sitta! ufanyike uchunguzi then ndio useme, "Oh Nchi za magharibi zinaona wivu wa jinsi tulivyo na ushirikiano na wachina" ! Mh! ndo viongozi wetu tena wanataka uraisi!!!!
 
Watanzania tusichulie Kashifa hii kijuu juu. Tujiulize kwa nini leo? Imeshapita miezi Kazaa Kuna jambo nyuma ya pazia ambalo tunapaswa kulitathimini dhidi ya agenda za kuuchafua utaifa wetu dhidi ya fikra dharimu za ukoloni mamboleo juu ya mustakabali wa nchi na sera yetu ya mambo ya nchi za nje. Kwa nini leo? Tuache siasa na kama Kuna jambo lenye tatizo tuangalie namna sahihi ya kuyashughurikia si kushabikia kila jambo linalofanywa au kusemwa na mzungu. WAZUNGU WAPO KULINDA MASLAHI YAO WANA POONA YAPO HATARINI.

Ndo maana Sugu amesema ufanyike uchunguzi wa kimataifa.. kujiridhisha kama kweli hizi ni tuhuma za uongo au kweli.. Bahati mbaya kwa ccm na serikali yake hawa waliofanya uchunguzi wameenda mbali zaidi kwa kuwahoji wadau wa biashara hiyo ya meno ya tembo.. kuanzia wauzaji mpaka wasafirishaji.. Na sura zao zimeonekana.. Waanzie na hapo.. Hii tabia ya kusema sijui wazungu wanataka kuleta ukoloni mamboleo imeshapitwa na wakati...
 
hongera kamanda sugu pia kwa utetezi wako wa kusimamia maslahi na haki ya wafanyakazi wa TAZARA mbeya,kuhusu wizi wa maliasili waache waendelee kubeza kaka hao skio la kufa...
 
Nathamani siku moja aongelee habqri za maadili kwa vijana, tuone yeye atwjiweka kundi gani


Watu kama nyie niwakuonea huluma sana kwa sbb haujui hata unalo ongea,hao vilaza wakulupukaji nakuanza kukanusha wasilokuwa nauhakika eti wazungu wanatuonea wivu ndio maadili?.Maadili ya Sugu ndio yamefanya dawa zikosekane?,hayo maadili ya sugu ndio yanafanya tuzidi kuwa masikini?.Hao viongozi wanavyoshinda wanaombaomba ndio maadili mazuri?
 
Kwa nchi hii hakuna kiongozi ata mmoja aliye radhi kuruhusu uchunguzi wa hivyo maana wanajua walichokifanya....ila tutafika tu muda c mrefu kila mmoja ataugua kifafa na wengine shinikizo la moyo na kufa ghafla
 
Mchango wako wa leo umechangia kwa njia ya aina yake ktk suala la kuitetea nchi kwa ujumla lakini pia hukutupa au kwa lugha nyingine kutuacha vijana nguvu kazi ambao ni Taifa la leo hasa sisi wenye kipato cha chini

ambapo kila kukicha tunadharauliwa na kupewa majina ya kila aina lakini pamoja na yote hayo Mh Sugu bado unakazi sana kuendelea kututetea ili nasi tufanye biashara zetu za kujiajiri wenyewe ili tuwe kukidhi mahitaji ya kila siku.
mwenye hyo speech aiweke hapa wengne tpo mbali na tv
 
Nukuu bomba: “kwa nini wazungu wakisema Rais wetu ni kinara wa utawala bora Waziri Membe hasemi ni uzushi?”
 
Sugu wape ukweli wamezoea kukanusha hawa. Epa walikanusha, Richmond ealikanusha, Twiga walikandusha, esacrow wamekanusha na hii tena? Acheni mzaha
 
Back
Top Bottom