Jenerali Ambamba
JF-Expert Member
- Sep 8, 2014
- 3,344
- 2,537
Membe huwa hafikirii kabla ya kuzungumza.
SUGU hajui kitu zaidi ya kufunga suruali chini ya makalio na kuvaa hereni.
Binafsi hata sijaona lamaana alilosema SUGU
SUGU hajui kitu zaidi ya kufunga suruali chini ya makalio na kuvaa hereni.
Ameongea mambo ya maana sana Sugu, ila makosa hayako kwa ccm, ccm dhahiri imeonyesha imeshindwa na ni mzigo kwa taifa hili, makosa yako kwa watanzania wanaoiunga mkono, nao pia ukitafakari sana, ni kama hawana makosa ni kwa sababu tu ya upeo na elimu kuwa ndogo, taifa hili lina wajinga wengi
Nathamani siku moja aongelee habqri za maadili kwa vijana, tuone yeye atwjiweka kundi gani
rudi darasani ukajifunze kuandika mpuuzi wewe
Binafsi hata sijaona lamaana alilosema SUGU
hivi Msalani maana yake nini vile?....SUGU hajui kitu zaidi ya kufunga suruali chini ya makalio na kuvaa hereni.
Binafsi hata sijaona lamaana alilosema SUGU
wewe ndio unajua.? aisee wewe bado sanaSUGU hajui kitu zaidi ya kufunga suruali chini ya makalio na kuvaa hereni.
Binafsi hata sijaona lamaana alilosema SUGU
SUGU hajui kitu zaidi ya kufunga suruali chini ya makalio na kuvaa hereni.
Mimi nilitegemea Serikali ya China ndiyo ikanushe kuwa haikuhusika na ujangili huo kwa maana wanasema ndege ya rais ndiyo iliyotumika. Pia taarifa hiyo ikasema baadhi ya viongozi wasio waadilifu ndani ya serikali ya Tanzania ndiyo waliohusika na ujangili huo. Sasa membe akikanusha ina maana yeye ni mmoja wa viongozi wasio waadilifu? Kumbuka sitaki kusikia kuwa ndani ya serikali hakuna viongozi wasio waadilifu...kwa sababu...mabadiliko yaliyomengi...ya baraza la mawaziri yametokana na kashifa za mawaziri kukosa uadilifu.
Crime & corruption behind Tanzaniaâs elephant meltdown â EIA International
Mimi nidhani serikali ingeanza kufanya uchunguzi kujua ni viongozi gani ambao siyo waadilifu walishiriki kufanya ujangili huo. Siamini hata kidogo ndani ya masaa chini ya ishirini na nne toka taarifa hii ipatikane...tayari serikali imeshafanya uchunguzi na kuja na repoti ya uchunguzi huo. Vinginevyo ithibitishwe isivyo ili niamini.
Na dadisi tu....!!
Nimeisoma na nimekutana na kitu hii>>>>>>>
Mheshimiwa Spika,
Taarifa kama hii iliyotoka kwenye New York times sio mara ya kwanza kutolewa. Taarifa ya aina hii iliwahi kutolewa mwaka jana. Mtoa taarifa ambaye ametajwa kuwa chanzo cha habari ni mtu mmoja ambaye walimkuta barabarani na kuanza kumuuliza maswali. Mtu huyo sio mtumishi wa bandari wala uwanja wa ndege. Ni mpita njia tu wa mtaani. Hata video ya mahojiano inaonyesha hivyo. Ukiachilia mbali uwongo uliotolewa na bwana huyo, taasisi ya EIA imeongelea tukio la kontena lililokamatwa Bandarini likiwa na pembe za ndovu.
Sasa sijaelewa...anaposema kama hii ....au ya aina hii... anamaanisha ndiyo hii ya sasa ndiyo ile ile ya kipindi kile ?
Taarifa inasema mzigo ulinunuliwa wiki moja kabla Xi hajafika...anaposema kutokana na ratiba ya Xi hapa nchi asingiweza kufanya manunuzi hayo...wala haijibu hoja ya mzigo kununuliwa kabla ya wiki moja.
Ndiyo maana nasisitiza 'serikali' ifanye uchunguzi kwanza. Mimi busara ilikuwa inanituma kuwa wasingekanusha kwanza tena kwa kejeli kama hizo (eti wao nao wanataka mikopo kutoka China), wangesubiri, wakafanya uchunguzi makini...na baadaye wakaja na majibu mujarabu.
Watanzania tusichulie Kashifa hii kijuu juu. Tujiulize kwa nini leo? Imeshapita miezi Kazaa Kuna jambo nyuma ya pazia ambalo tunapaswa kulitathimini dhidi ya agenda za kuuchafua utaifa wetu dhidi ya fikra dharimu za ukoloni mamboleo juu ya mustakabali wa nchi na sera yetu ya mambo ya nchi za nje. Kwa nini leo? Tuache siasa na kama Kuna jambo lenye tatizo tuangalie namna sahihi ya kuyashughurikia si kushabikia kila jambo linalofanywa au kusemwa na mzungu. WAZUNGU WAPO KULINDA MASLAHI YAO WANA POONA YAPO HATARINI.
Ukweli sijamuelewa hasa!Mungu amsaidie Sugu ni mpiganaji ki ukweli na si mnafiki
Binafsi hata sijaona lamaana alilosema SUGU
SUGU hajui kitu zaidi ya kufunga suruali chini ya makalio na kuvaa hereni.