SUGU, achana na Muziki!

leroy

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
1,589
2,140
Sioni haja ya Mbunge wa Mbeya mjini mh. Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu kuendelea kujitangaza kwa matamasha mbalimbali ya Muziki.

Ninadhani umefika wakati kwa yeye kujikita katika siasa na utekelezaji wa ahadi zake kwa wananchi wa Mbeya mjini.
 
Sioni haja ya Mbunge wa Mbeya mjini mh. Joseph Haule a.k.a Sugu kuendelea kujitangaza kwa matamasha mbalimbali ya Muziki.

Ninadhani umefika wakati kwa yeye kujikita katika siasa na utekelezaji wa ahadi zake kwa wananchi wa Mbeya mjini.

Ushauri butu sana huu. Mbona hujawaambia madaktari, walimu, wafanyabiashara waliojazana CCM kuwa waachane na biashara au ualimu au qualifications zao kwa kuwa tu wamechaguliwa kuwa wabunge?. Nilitaka nisichangie hii thread lakini tunaambiwa kuwa unapoona upotoshaji ni lazima usahihishe. Reframe your thread to have a great thinkers spices.
 
Kwani muziki unamzuia kutimiza ahadi zake za kushughulikia kero mbali mbali za wana Mbeya?
 
Ushauri butu sana huu. Mbona hujawaambia madaktari, walimu, wafanyabiashara waliojazana CCM kuwa waachane na biashara au ualimu au qualifications zao kwa kuwa tu wamechaguliwa kuwa wabunge?. Nilitaka nisichangie hii thread lakini tunaambiwa kuwa unapoona upotoshaji ni lazima usahihishe. Reframe your thread to have a great thinkers spices.[/
QUOTE]

Wangapi uliwaona wanarudi kufundisha? Au hata kutibu? Jamani....
 
Ushauri butu sana huu. Mbona hujawaambia madaktari, walimu, wafanyabiashara waliojazana CCM kuwa waachane na biashara au ualimu au qualifications zao kwa kuwa tu wamechaguliwa kuwa wabunge?. Nilitaka nisichangie hii thread lakini tunaambiwa kuwa unapoona upotoshaji ni lazima usahihishe. Reframe your thread to have a great thinkers spices.

Nitajie wachache unaowajua wanaoendelea kufundisha na kutibu wagonjwa.
 
Nenda Mbeya au waaulize wanambeya wanasemaje juu ya Sugu kufanya muziki? Binafsi naunga mkono sugu kuendelea na muziki na ningependa wasomi na hasa waalimu wa vyuo vikuu na madaktari kuendelea kufundisha hii itawapa maisha ikitokea wananchi wanaamua kuwapa watu wengine nafasi ya ubunge.
 
Nazani haujamwelewa sugu vizur, amesema sasa hapigi show tena isipokuwa atafanya kwa swala zima la maendeleo. Mfano wikend atakuwa Dar live akipiga show na pesa itakayopatikana itaenda katika mfuko wa maendeleo wa elimu jimbo la Mbeya mjini
 
Wananchi na wapiga kura wake wanapenda aendelee kuwapa burudani wewe kama nani unamzuia aacha mziki?
 
Nazani haujamwelewa sugu vizur, amesema sasa hapigi show tena isipokuwa atafanya kwa swala zima la maendeleo. Mfano wikend atakuwa Dar live akipiga show na pesa itakayopatikana itaenda katika mfuko wa maendeleo wa elimu jimbo la Mbeya mjini
Nimeeeipenda hii,watu wengine vichwa maji muwe mnawaelimisha!SAFI SANA
 
sugu ni hopeless eti atakua na tamasha mbeya! ana dhalilisha ubunge wake,lazima tukubali mtu kuwa mbunge ni kiongozi,yani sugu ameshindwa kupata hela ya maendeleo kwa jimbo hadi aimbe!
 
Kwani muziki anaimba kila siku, kwani Sugu alitoa ahadi gani kwa wananchi?
 
Back
Top Bottom