SUGU, achana na Muziki!

SUGU, achana na Muziki!

sugu ni hopeless eti atakua na tamasha mbeya! ana dhalilisha ubunge wake,lazima tukubali mtu kuwa mbunge ni kiongozi,yani sugu ameshindwa kupata hela ya maendeleo kwa jimbo hadi aimbe!
angekuwa nazo unafikiri angehangaika na music. Unaonaje ukimchangia kama huwezi then kaa kimya
 
Mshauri kwanza Baba Lulu Captain Komba na tumbotumbo lake aache kwanza kuimba halafu ndio ugeukie kwa Sugu.

15.JPG 13.JPG
 
Nazani haujamwelewa sugu vizur, amesema sasa hapigi show tena isipokuwa atafanya kwa swala zima la maendeleo. Mfano wikend atakuwa Dar live akipiga show na pesa itakayopatikana itaenda katika mfuko wa maendeleo wa elimu jimbo la Mbeya mjini

Sugu ndan ya ukumbi wa Ridhwan kweli usitukane wakunga wakat bado uko Bikra!
 
Sioni haja ya Mbunge wa Mbeya
mjini mh. Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu kuendelea kujitangaza kwa
matamasha mbalimbali ya Muziki.

Ninadhani umefika wakati kwa yeye kujikita katika siasa na utekelezaji
wa ahadi zake kwa wananchi wa Mbeya mjini.

acha kudharau kazi za watu...muziki ni kazi kama kazi zingine..sugu hapo yupo kazini kama wewe unavyokuwa kwenye kazi yako ya kupala miwa.
 
Nadhani unamwonea mtoa hoja!
Muziki ni biashara kama biashara zingine!
Mtu anapokubali kuwa kiongozi anapaswa kuacha biashara zake zote na kuwawakilisha wananchi!
Ndio maanza tunashangaa mawaziri na wabunge wanaoendelea kufanya biashara na kuwasahau wananchi!
Tunawashangaa wanapoenda kwenye mabenki na kupata mikopo mikubwa mikubwa na kufungua biashara.
Watanzania tubadilike.
Wabunge waache biashara.
mawaziri waache biashara.
Acheni kung'ang'ania tenda! Waacheni wengine wafanye!
Ninyi mmekuwa viranja kuangalia ushindani wa haki.

Hata Sugu aache matamasha ya biashara, ili awawakilishe wananchi na wanamziki wote bila upendeleo.
Baada ya ubunge anaweza kuamua kurudi.

Ila kama ni matamasha ya kuelimisha jamii (sio biashara) hatuna haja ya kumpigia kelele.
Kwa mindset kama hii lazima tusiendelee.....M.Dewji anatumia fedha zitokanazo na biashara zake kutatua matatizo jimboni....the same to Abood..why not SUGU?
 
Samahani, niko nje ya hii topic. Nimejaribu miaka mingi nikitaka kujiunga na jamiiforum. Lakini sijui ni wapi naweza nikiweka a new post. Links zimejificha sana. Pia hata ukitaka kuweka post yako kwenye category fulani haionekani hiyo category. Nitafurahi kama nitaemishwa hapa kidogo. Miaka 4 iliyopita nilijaribu lakini nikakuta hii site haiko user friendly. Nimerudi tena lakini sioni pa kuweka new post ziaid ya kudandia topic za watu kama hii
 
Samahani, niko nje
ya hii topic. Nimejaribu miaka mingi nikitaka kujiunga na jamiiforum.
Lakini sijui ni wapi naweza nikiweka a new post. Links zimejificha sana.
Pia hata ukitaka kuweka post yako kwenye category fulani haionekani
hiyo category. Nitafurahi kama nitaemishwa hapa kidogo. Miaka 4
iliyopita nilijaribu lakini nikakuta hii site haiko user friendly.
Nimerudi tena lakini sioni pa kuweka new post ziaid ya kudandia topic za
watu kama hii

kasome twisheni.
 
Sioni tabu katka hili kabisa, why kila jambo ni kuiangalia CDM ok majimarefu kaacha uganga? Mohamed dewj kaacha biashara? je hao wakuu wa mikoa/wilaya je wameacha ubunge? je Rage kaacha m/kiti Simba? nk kuwa makini
 
Mkuu mwache SUGU ajinafasi bana.

Mbona mleta mada haueleweki sasa wewe umemjuaje huyo mtu? Ni kitu gani kimekufanya umjue huyo mtu ni ubunge au mziki??
Nisingekuwa na maswali mengi kama ningekuta jina la JOSEPH MBILINI ,lakini kwa hili la SUGU na uhakika nawe umemfahamu kupitia usugu wake katika fani ya muziki.

Joseph mbilinyi ni SUGU
joseph mbilini ni MBUNGE

Lakini SUGU siyo MBUNGE??

Sugu kazaliwa na fani na kipaji cha uimbaji/usugu
lakini ubunge kakutana nao au katunukiwa baada ya usugu wake au ubunge ni matunda ya kipaji chake cha uimbaji na bila fani hiyo ya uimbaji kamwe hata wew usingemfahamu na hata huo ubunge asingepata.

Hivyo kwanin wamsisitiza aachane na mziki.??

Mbona hujamshauri baba mwana asha kutwa anafanya maziara ya kwenda madisco kupiga picha na masuperstar na kubembea na kushangaa shangaa tu na huku akitumia kodi zetu sis walala hoi..

Nani kakudanganya kuwa sugu atapoteza mda pindi awapo na shoo kwakujiandaa? Mr 2 kwa sasa hahitaji maandalizi hata chembe yeye ndio mkongwe katika gem.Je kama kila mbunge kwa fani na kipaji chake binafsi akaamua kufanya kama SUGU je leo tungekuwa wapi??

Hebu vuta picha mama lwakatale anaamua sadaka zake zote kwa mwezi zikachangia kuimarisha vituo vya afya au hata kununulia madawati je ni shule gan wanafunzi wangekaa chini??

Wewe wamjua sugu au umemfaham baada ya kupata ubunge??

Anamiaka chini ya miaka 18 ana miaka ... Lakin bado wanamwita malaya

 
Mtoa mada labda hii itakusaidia kufikiria kidogo concern ur Mada

So they want I to change my identity
Musically, musically, musically
So they want I to change my identity
Musically, musically, musically

This ya music race
Commercial race
Political race
This ya music race
Commercial race
Political race



So they want I to change my identity
Musically, musically, musically
So they want I to change my identity
Musically, musically, musically
My identity, my identity

Jah work must be done
Jah work must be done
Jah work must be done
Jah work must be done

Work in the East
Work in the West
Work in the North
Work in the South
Work over there
We work over here
Work everywhere
Work over there
We work over here
Work everywhere

So they want I to change my identity
Musically, musically, musically
So they want I to change my identity
Musically, musically, musically
My identity, my identity

Who will stand up for the people
Musically, musically, musically
Who will stand up for the people
Musically, musically, musically

So they want I to change my identity
Musically, musically, musically
My identity, my identity
Musically, musically, musically
The people is for the music
The music is for the people
Musically, musically, musically

So they want I to change my identity
Musically, musically, musically
So they want I to change my identity
Musically, musically, musically
My identity, my identity

By Burning Spear

So do we want to change his or her Identity? Can we?
 
umeandika utumbo,sanaa ni taaluma ya sugu na ndiyo iliyomfikisha hapo so hawezi kuitupa.lakini utumbo mwingine ni wewe kushindwa kujua kuwa onyesho la sugu analotarajia kulifanya dar live ni kwa ajili ya kuchangia mfuko wa elimu wa jimbo la mbeya.
utumbo wa tatu ni kumwita mbunge wetu joseph haule wakati ye ni joseph mbilinyiaka mr2 aka 2 proud aka suguu
 
Sioni haja ya Mbunge wa Mbeya mjini mh. Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu kuendelea kujitangaza kwa matamasha mbalimbali ya Muziki.

Ninadhani umefika wakati kwa yeye kujikita katika siasa na utekelezaji wa ahadi zake kwa wananchi wa Mbeya mjini.

...taratibu kaka..! pilipili usoila yakuwashia nn?
 
Back
Top Bottom