Subtitles kwenye Movie

Gomez Luna

Senior Member
Mar 13, 2017
187
205
Wakuu habari

Naomba msaada wa browser ambayo nitapata subtitles za movie directly, nilikua natumia Mx player ila naona sasa hv inazingua.

Chief-Mkwawa
 
Tumia bs player mkuu sema huwa inachangamoto kidogo kwenye kuzipata hizo subtitle.
 
Unataka ustream online au u add mwenyewe mkuu.
c270a3db88aa9e8e8bcd18ef289241fe.jpg
22718f62a389b9897e1b793009ca11a9.jpg
0a44c30561d8dd12560bf99e1e39f8a9.jpg

Mda sasa nimekua nikitumia Mx player kudownload subtitles, sasa kuanzia juzi inakataa inaLoad tu mda mrefu bila majibu. Ndo naulza km kuna browser nyngne ambayo ipo km hvyo
 
Mh ckweli mbona jana tu nimekuwa nikiitumia hiyo MX Player na sub nazipata kama kawaida.
 
c270a3db88aa9e8e8bcd18ef289241fe.jpg
22718f62a389b9897e1b793009ca11a9.jpg
0a44c30561d8dd12560bf99e1e39f8a9.jpg

Mda sasa nimekua nikitumia Mx player kudownload subtitles, sasa kuanzia juzi inakataa inaLoad tu mda mrefu bila majibu. Ndo naulza km kuna browser nyngne ambayo ipo km hvyo
click hapo enter your search text kisha futa maneno mengine acha tu jina la movie, kwa case yako acha pirates carribean stranger tides
 
Mx player haijawah niangusha, hua naingia yfysubtitles au opensubtitles naidaunlodi kisha naiadd kwenye mx player nakula maisha
 
itakuwa net kama umeshindwa kabisa download subtitle katika websites za subtitles mfano www.Tvsubtitles.net then extract hiyo subtitle iwe inform of [HASHTAG]#srt[/HASHTAG] then ukitumia hiyo hiyo MX Player liingize hilo file pindi unapoitazama movie.
Shukrani mkuu,ila kwa sasa naona inapiga mzgo km kawaida.

Ila ningependa kujua jins ya kuExtract ili siku nyngne km ikizingua nisipate shida
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom