UDSM kimekuwa chuo cha wahuni siku hizi, kwa hiyo asiekuwa na mtu UCC hapati kazi huu ni uhayawaniSuala la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, kupitia UCC kutangaza kazi na kuweka vigezo referees lazima awe Mfanyakazi wa UDSM au UCC yenyewe ni moja ya rushwa makazini kwakua ili upate iyo kazi lazima ndugu yako awe Mfanyakazi wa UDSM
Kwa watoto wa Wakulima ambao hawana ndugu madokta au maprofesa hawana haki ya kupata ajira tena bila hofu wala uoga Taasisi za Serikali zinatangaza kazi na kuweka kigezo cha undugu.
TAKUKURU fuatilieni hili kwani halina tofauti na aina zingine za rushwa.
Suala la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, kupitia UCC kutangaza kazi na kuweka vigezo referees lazima awe Mfanyakazi wa UDSM au UCC yenyewe ni moja ya rushwa makazini kwakua ili upate iyo kazi lazima ndugu yako awe Mfanyakazi wa UDSM
Kwa watoto wa Wakulima ambao hawana ndugu madokta au maprofesa hawana haki ya kupata ajira tena bila hofu wala uoga Taasisi za Serikali zinatangaza kazi na kuweka kigezo cha undugu.
TAKUKURU fuatilieni hili kwani halina tofauti na aina zingine za rushwa.
kutoa ajira kwa kigezo Cha kujuana ni rushwa isipokua zile zinazohitaji utaifa Kama katika majeshi lengo likiwa ni usalama.Ubalozi wa marekani nchi Tz nao walitangaza kazi, na ilikuwa lazima muombaji awe na mtu anayemfahamu ubalozini either mstaafu au anayeendelea na kazi. Nayo ilikuwa rushwa?
Tarehe nane tunaenda kupiga updtest.Zinatoka lini kwani?
Unataka.kujaribu kutetea upumbavu inayofanywa na chuo kikuu?Ubalozi wa marekani nchi Tz nao walitangaza kazi, na ilikuwa lazima muombaji awe na mtu anayemfahamu ubalozini either mstaafu au anayeendelea na kazi. Nayo ilikuwa rushwa?
Unataka.kujaribu kutetea upumbavu inayofanywa na chuo kikuu?
Kwamba iwapo wote watakao omba kupitia hao staff wa UD wasiwe na sifa toshelezi watapata faida gani hao UD?Hakuna upumbavu wamezingatia vigezo na taratibu zao.
Ukishatuma maombi wanakupigia simu baada ya muda gani?Tarehe nane tunaenda kupiga updtest.
Kwamba iwapo wote watakao omba kupitia hao staff wa UD wasiwe na sifa toshelezi watapata faida gani hao UD?