Suala la level seat abiria tunaopanda vituo vya kati kati bado ni changamoto

kinje ketile

JF-Expert Member
Dec 12, 2015
4,289
8,284
Wale wanaopanda hizi daladala mwanzo safari zinapoanzia hawapati changamoto kubwa lakini usiombe upandie njiani, levo siti inatesa...! zinakupita hivi hivi unaziangalia.
 
Chonde chonde, msiharibu utaratibu wa levo siti,mwanzo siku zote ni mgumu.
Wale wanaopanda hizi daladala mwanzo safari zinapoanzia hawapati changamoto kubwa lakini usiombe upandie njiani, levo siti inatesa...! zinakupita hivi hivi unaziangalia
 
Inategemea wewe upo wapi? Suppose upo mwenge, sasa ndugu uzunguke kwenda tegeta halafu ndo upindue kuelekea k'koo si utachakaa ndani ya daladala
Utajisikiaje jamaa uliyesimama nae kazunguka nalo karudi we bado upo kituoni kisha anakupungia mkono
 
Soon tuu hili zoezi litafika ukomo na maisha yataendelea tu. Kama Serikali wameona haifai kuacha mapato ya mashabiki wa uwanja ahaha

Hata hili la kujazana tujipe muda tuu
 
Raha ya level seat ni yule mwenye route ya mwanzo wa gari hadi mwsho wa gari mfano home Tegeta Nyuki na kazini Makumbusho hapo utaenjoy tena zaidi ya sana kama uber vile na kurud tena husumbuki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom