Thrd kama hii ndo inaonyesha upuuzi wa dini na udhaifu wa akili ya waafrika tulio wengi. Tunaamini dini ni muhimu kuliko hata kabila. Umezaliwa na kabila na siyo dini. Kama unaweza kuoa kabila jingine, iweje ushindwe kuoa dini nyingine. Yaani bado tunaishi kwa tumaini la maisha bora mbinguni badala ya maisha ya duniani. Hapo ndo utaona hata viongozi wa dini wakijiona ni muhimu sana ktk maisha yetu.
Nonsense!!
Nonsense!!