Suala la kuomba unyumba na kunyimwa linaumiza sana

Mi Bora aninyime tu Kuna Ile kauli mnadinyana mtu anakwambia nimechoka. Brro kama unajuwa Bora uache Hadi mtu anatoa kauli hiyo ujuwe Hana feeling na wewe kabisa yaaani ye anahisi maumivu tu.
Aliniambia hivyo nikatoka nje nikawasha gari nikarudi kesho kmmke
 
Leo nimetoka kunyimwa na e wangu, masaa mawili naomba tuu papuchi. Ila nilifanikiwa baada ya kupata nafasi ya kushika
 
Back
Top Bottom