Hakuna kitu kama hicho labda kama ni disco abscondYani katika vitu nisivyvielewa hapa duniani tena Tanzania ni swala zima la kudisco MTU anafaulu semester zote halafu anafeli somo moja semester ya mwisho eti anaambiwa amedisco na haruhusiwi omba hiyo course for 3 years au akaanze mwaka Wa kwanza . Mimi hapo sijaelewa hivi somo moja nifute performance ya MTU ya miaka 3. Hivi Nina uhakika maprof wa bongo wamesoma nje wanaelewa system zipoje hivi wanashindwa badilisha huu ujinga. Kwanza hii system inafanya Prof awemungu MTU aamue kufelisha watu au kutaka kuchukua rushwa . naandika hayo baada ya rafiki yangu tuliyesoma,nae high school yeye kuanza first year wakati wenzake tunamaliza,masters.
Namahukuru mungu elimu yangu ya chuo sikusoma bongo na sitokuja soma bongo labda kufundisha.
Tujadiliane kuhusu hili LA kudisco
Huu ndo ukweli, tatizo huyu jamaa inaonekana hana ufahamu juu ya taratibu za vyuo vikuu. Hii kusema ana master ni kujisifia ila nadhani ndiye aliyefeli na kwa uandishi wenye uelewa wa namna hii naona alistahili.Mkuu chuo gani ukifeli somo moja una disco?
Huu utaratibu utakuwa ni mpya kwasisi vijana wa zamani haukuwepo. Nachojua ukifeli somo moja unaenda kufanya sup, ukifeli unarudia mwakani ktk term husika mpk utakapo isapua.
Nisingekuja lalamika if it was me.. Ila naona mnatetea mifumo ya kijingaHuu ndo ukweli, tatizo huyu jamaa inaonekana hana ufahamu juu ya taratibu za vyuo vikuu. Hii kusema ana master ni kujisifia ila nadhani ndiye aliyefeli na kwa uandishi wenye uelewa wa namna hii naona alistahili.
Hakuna disco inayoweza kutokea mpka mwanafunzi awe na below gpa kwa mfano below 1.8 hiyo ni disco na haiwezi kutokea kwa kufeli somo moja, hiyo ya jamaa yako kufeli somo moja then mtu adisco bila kufanya supplimentary, bila carry over sijui imekuajeSijakurupuka my friend ameanza mwaka Wa kwanza upya wakati wenzake tunamaliza Masters
OK labda nimekosea Ila Mimi nikachonishangaza kufeli semester moja kinakufanya ufute miaka yote ya nyumaHakuna disco inayoweza kutokea mpka mwanafunzi awe na below gpa kwa mfano below 1.8 hiyo ni disco na haiwezi kutokea kwa kufeli somo moja, hiyo ya jamaa yako kufeli somo moja then mtu adisco bila kufanya supplimentary, bila carry over sijui imekuaje
Hiyo semister moja alifeli masomo mangapi na alipata gpa ya ngapiOK labda nimekosea Ila Mimi nikachonishangaza kufeli semester moja kinakufanya ufute miaka yote ya nyuma