Siping mawazo yako vile unavyo muona mwanamke alivyo yaani matiti ni biological make-up huwezi kumbadilisha ivyo ivyo kwa mwanaume alivyo yeye Hana matiti ni biological make-up kwaio hawezi kubadilika at ufanyej ilo halipingiki lakin unapokuja kwenye SWALA la gender ni tofauti kabisa gender unaweza mbadilisha mwanaume au mwanamke kwenye culture tu na sio ki biological kwasababu mfano halisi now days tuna wanawake ambao wanafanya kazi za ufundi cheleani lakini pia Kuna wanaume now ni mapc lakini zamani pc ilikuwa inachukuliwa Kama kazi ya kike na ufundi ilikuwa inachukuliwa Kama kazi ya kiume ndio maana nasemema Tena gender in social formed na sio biological Kama unaweza kuelewa Kati ya biological na social formed tunaweza kuelewana
Mkuu huenda unalengo zuri katika huu mjadala lakini Kwa lugha rahisi na upole.
Katika variable hizi yaani Jinsia (Sex) na Jinsi (Gender) lazima uangalie ipi ni Dependent variable na ipi ni independent Variable.
Jinsia(Sex) ni Independent Variable
jinsia (Gender ni Dependent Variable
Gender Inategemea Jinsia, lakini jinsia haitegemea Gender.
Jinsia ndio inayozalisha Jinsi,
Katika jinsia kuna jinsia yenye nguvu na jinsia dhaifu hii hupelekea jinsia yenye nguvu kuzalisha Gender yenye nguvu, na jinsia dhaifu kuzalisha Gender dhaifu.
Mwanamke kibaolojia, kisaikolojia (akili na tabia), kinguvu ni dhaifu ukilinganisha na Mwanaume. Ndio maana mwanaume katika ulimwengu anamajukumu makubwa kuliko mwanamke.
Alafu usije ukasema amepewa na jamii, hakuna siku jamii ilikaa kumpa majukumu mwanaume, hiyo imekutwa hivyohivyo na kumbuka mwanaume ndiye Jamii yaani Mtawala.
Ukisema siku hizi wanawake wanafanya majukumu ya kiume hivyo inafanya kuwe na USAWA wa Kihindi(Gender) baina yao, utakuwa unakosea, Kwa sababu mtu anapofanya kitu watu wanaangalia matokeo baada ya kitu kufanyika.
Mwanamke akifanya kazi za mwanaume, je anapata athari Hasi au chanya, jibu ni kuwa anapata athari Hasi, Kama vile kukomaa na kuharibika maumbile, kuchoka na kupoteza utu wake kama Mwanamke, na Kama ameolewa basi atashindwa baadhi ya majukumu ya kindoa, ndio unasikia mambo ya Mke kumpimia mumewe UNYUMBA.
Athari zingine ni Kuharibika Kwa mimba, Mabadiliko ya Hedhi,
Wanawake hawakuumbwa kufanya kazi nzito na zenye kuhitaji nguvu. Ndio maana hakuna USAWA wa kijenda.