Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 34,080
- 79,478
Sio izo tu Ila mm Nina stick kwenye mgawanyo wa kazi mm nakaa na mtoto wa kike na wakiume lakini nime socialize kuwa Kama wakike ataosha vyombo bas wakiume afagie uwanja au afanye kazi yeyote ile
Mtoto wa kiume akishajua hizo kazi muachishe, hizo kazi atafanyiwa na Mke wake, badala umfundishe mtoto wa kiume kutafuta pesa ili aweze siku moja kuihudumia familia yake, unamfundisha na kumsisitiza kazi ambazo hazitamsaidia popote Kama Mwanaume.
Hapo unamuharibu kijana wako pasipo wewe kujua.
Mwanaume lazima asifundishwe kazi za kike ili kumfanya awe muwajibikaji katika Kazi zake na aone umuhimu wa mwanamke.
Sasa Kama kijana atajua Kupika, Kufua, Kuosha vyombo, na kufanya usafi unafikiri ataona umuhimu wa mwanamke hapo?
Mfundishe mtoto wa kiume Kazi za kiume na majukumu ya kiume ambayo yanafahamika
1. Kujilinda na kuilinda jamii yake.
2. Kufanya kazi za uzalishaji
3. Kutunza Pesa
4. Kuongoza na kuitawala familia.
5. Kufanya maamuzi magumu ikiwa ni pamoja na kutoa adhabu Kali au kufukuza watu(ikiwemo mtoto au mke) ambaye ataenda kinyume na sheria zake.
Sio umfundishe mtoto ujinga ujinga