Wewe unaweza? Au ni mmoja wao hao unaowtukanaWabongo sisi tuna makelele mengi ila tulipewa kurun miradi mikubwa hatuwezi, huo ndio ukweli
Kama tumefeli, basi tumuombe msamaha muingereza kwa kuomba kujitawala kisha tumkabidhi nchi tena tumuombe atufundishe kujitawala. Tukiweza ndo aturudishie nchi yetu.
Unawasemea watanzania wote? Au unasemea uwezo wa wachache na wakwako tuWote kwa ujumla wetu, hatuwezi, tumeshaonesha kuwa hatuwezi
Ha haha Kaka punguza hasira, vita ni hatari Sana.Wabongo hapa haki ya mungu unatuonea, sie wabongo hatuteui wala kuajiri hao watu, walioko juu wenyewe kwa wenyewe ndio wanazingua. Hasira zinakuja wamejichagua wenyewe na mikono yao michafu sasa wanapambana wenyewe kwa wenyewe ndio ugomvi wenu ulipo.
Mpo nyie na wale sasa nyie mmeamua tukose wote na wale wa zamani hawataki mirija ikatike. Yote haya hayana manufaa kwa mtanzania mmojamoja zaidi ya magenge ya mafisadi.
Tumeshasema sana kuhusu Bandari, Mwendo Kasi, SGR na ATCL kwa tabia zenu za ulafi mnaenda kututwisha mideni mikubwa. Kwa mfano mihela yote iliyowekwa SGR ndio wameleta behewa 6 tu na tumeambiwa za ghorofa (mibugando) yaani nyie, lazima mkubari kushiba sasa mmeshashiba acheni na wengine waonyeshe ujuzi wao.
Some times tunatamani vita kichafuke tuwanyooshe wasio tusikia na kutudhiahaki.
Hio ni generalisation ya opinion yakoNdugu yangu pale wote hatuwezi, tumeshindwa, tumefeli
Kiongozi sababu zilisababishwa tufeli ni zipi ? Na wageni wakija sisi tutafaidika vipi.
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Tatizo letu kubwa ni ufanisi na uwajibikaji ,wanaweza wakaja hata hao wawekezaji ukaambiwa wanapata hasaraWageni wakija wanatupa ela ambayo Kwa sasa hatupati
Utendaji wote ni chini Yao, Ila mwisho wa mwezi wanatulipa ela yetu no matter wamepata hasara au faida
Sisi ela yetu Iko pale pale
Tatizo letu kubwa ni ufanisi na uwajibikaji ,wanaweza wakaja hata hao wawekezaji ukaambiwa wanapata hasara
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app