Mkuu mleta mada kwa kua mtoto wa kike sina neno nae, ingekua mwanamme ni mwanamme shoga pekee, ndiye anaejua namna ya utongozaji au maumbile ya wanaume mbalimbali, wa eneo fulani.Hizi threads nyingine!!!!! Daah..haya mkuu. Ukiangalia title na content ya uzi wenyewe hata haviendani....
James delicious[emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji23] [emoji23] aisee embu nisaidie kuiongeza list ........
Dah! Tutake radhi mkuuwanaume wa Dar mb...... o hazifanyi kazi kwa kula chips mayai mapenz wameyahamishia mdomon kunyonya k tuu
Umemsahau na KAOGE!!James delicious[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Haha mkuuuu bonge la swali nadhani mtoa mada.ni mwanamkeWalishakugonga nini? Maana naona una exp nao
Haya yaliandikwa hayawezi andikkwa na mwanamme kamwe, ni aibu eti wanaume huku kwetu wanatongoza hivi, tena kunasehemu akaenda mbali zaidi akidai sisi za zakwetu zimelala tumezoea kunyonywa dushee, haah wee hakuna mwanamme wa kuandika hivi nakataa, mwaname kama mwanamme hata kuiona tu ile ya mwenzie hataki sasa uisimulie tena eti ziko hivi wee, labda sio shababi huo.Haha mkuuuu bonge la swali nadhani mtoa mada.ni mwanamke
Shika adabu yako we kijana,Wanaume wa Dar wapo tofauti sana na gia zao za kuingia kwa wasichana mpaka wana kodi gari kwa wenzao ili waende kungolea msichana akiingia nae out ananinginiza ufunguo akiwa counta anautupa mezeni.
Wanaume wa Dar wengi utakuta ni hotpot family kujishughulisha ni nadra sana akipata msichana anaenda kuomba geto kwa mshikaji wake akamgongee huko apo hana ela ya guest.
Mwanaume wa Dar wengi wana mapenzi ya kudanganya wanajifanya ya kizungu kumbe hana ela anaenda na msichana beach anamgongea uko sana sana coco beach.
Wanaume wa Dar bhana kina mtu dalali kila Kona wanaume wa Dar jifunzeni kujishughulisha acheni kula chips kuku, zinawaua nguvu za kiume wasichana zenu wakija huku mikoani wakikutana na wanaume wanaokula ugali dona yaani wanawaponda balaa nyie si mpaka mbusti na supu ya pweza na viagra.