Kiongozi,hii ni style mpya ya kujinyonga.
hivi ni viroba sio bure....
ya kufunga mkanda mkuu
Wadau wa haki za binaadamu watamshitaki kwa kudharau haki ya kuishi!
Kweli tunamuona nusu mungu!Hahaha. Akigundua mzungu ingekubalika faster
munyu ndio nini chumvi au?He he he keshakula munyu huyo bwana!!
Hawezi akawa dereva huyu.