Binti1
JF-Expert Member
- Jul 8, 2013
- 668
- 1,766
Habari zenu wanajamvi.....
Ni hivi tukiwa watoto wakati tunakua tulijifunza mambo mengi mno kutoka kwa wakubwa wetu!!!Inawezekana mengine tulielewa na mengine hatukuelewa ila tu kwasababu mama/baba kasema au kanifundisha hivi basi hayo mafundisho hayakutoka kichwani!!!!!
Sasa basi leo nilikua naangalia taarifa ya habari iliyoonyesha watu msibani wakiwa wanatoa heshima za mwisho wanalia na kuomboleza!!!Nikakumbuka nshawahi kumskia bibi yangu kipindi flani hivi akiwaambiaa mama zangu wadogo "msilie huku mnasema".Simnajua kuna wale witu msibani analia huku anatoa speech,"Kaka yangu eeeeh uwiiii tutakimbilia kwa nani sisi unatuacha uwiiiii jamani eeeh nani atatutatulia shida zetu sisi,jamani kiongozi wetu........yani staili za hivyo!!!Najua mshaona haya mambo sana.Nadhani sasa hivi nimekua ndo namuelewa bibi kwanini alisema vile!Mtu unaweza uongeee kumbe unawapa watu cha kuongea au ukaja kuzua ugomvi baada ya msiba,au ukatoa siri za marehemu au wewe ndo ukaonekana kituko kwa kuongea ambavyo havipo.
Sijui kama ni kwasababu nilimsikia bibi akisema au basi tu sina hulka hiyo lakini msibani kilio changu hua hakisindikizwi na speech.....!!!!
Nshawahi kupewa story kuna mama alikataa kuridhi/kusimamia watoto wa ndugu yake kwasababu walikua wanamlilia mama yao huku wanasema"mama umeondoka tutanyanyasika,tutakua wageni wa nani sisi,tumekua yatima n those kinda words.
Well sisemi watu wasiomboleze kwasababu uchungu wa msiba ukikushika unakua sio wewe yani unaomboleza haswa.....Lakini kwenu hii imekaaje ndugu zangu???
Wenu mtiifu binti2013