Stupid things men do in relationship

Stupid things men do in relationship

Thread ya kijinga ambayo mtoa mada Ana majibu tayari-usituchose bwana Mshana

1406953770163.jpg
 
Nipo Brother, nafurahi tena kukusikia. Uliadimika sana Mkuu. Hoping you are very fine Bro.

Many Thanks.
Namshukuru sana muumba mi mzima, nimefarijika kukusikia kaka!!!!
Salamu nyiiingi sana huko
 
why then bring personal to a public forum, we simply will crack on you
 
Being jealous is love or fear of loosing someone for some personal reason ?! Many people think if someone is jealous then she/he is in love with the partner. I know it's fantasy but people can also be jealous out of love and that is fear. Fear of loosing money, being single, gossip about the break up, etc.
 
Atakupendaje mtu banaaa halafu asiwe na wivu nawe? Hata Wanyama wana wivu, itakuwa binadamu?

Umeona eeh...sasa mwingine anachukulia poa,anaona hata asipoulizwa 'ulikuwa wapi?' ndio fresh..
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Boasting

Jealous

Thinking they are the best

Thinking they are truly loved

They never learn from previous mistakes

Cheaters

Nyekundu Mume wangu Mputu ! Blue bado nafanyia kazi yaani Jamani Kerooooooooooooooooooo.com
 
Hahahahaaaa anaifahamu hii ID yako hapa jamvini? Au yeye sio member?
 
Akijua nipo huku nadhani na Talaka Nitapewa maana anaamini kwenye Mitandao ya Kijamii tunatafuta Mabwana , Facebook yenyewe nilijitoa baada ya Ndoa tu , Ukipost picha ukisifiwa na Mwanaume , Ugomvi unaibuka kwa nini akusifie !
 
Nikushukuru sana kaka kwa salamu. Yote mema mkuu Mungu anasaidia.

All the best to you kaka. Naona Mr Rocky amejificha na Karucee wangu. Ntuzu analibutua kwa akina Khantwe, Kaizer bado yuko mafichoni, Kasinde kapigwa na dolari kila pande kachafuka noti tu. miss chagga naona kanasa kwa Tembo.., yule mrembo Dena Amsi ndio shemejio mkuu rasmi. Miss Kim atokewa na mwekundu bila mafanikio huko kazini kwao, kiwatengu akataliwa posa kwa akina shansarie, mwallu apeleka mashitaka ukweni kuwa bado kombe la dunia halijaisha kwa mumewe Mentor maana hadi sasa huaga anaenda kuangalia mechi na kurejea usiku mnene sana. n.k.

Japo kwa uchache nimeona nikubrief yaliojiri siku chache zilizopita mkuu.

Namshukuru sana muumba mi mzima, nimefarijika kukusikia kaka!!!!
Salamu nyiiingi sana huko
 
Last edited by a moderator:
Nikushukuru sana kaka kwa salamu. Yote mema mkuu Mungu anasaidia.

All the best to you kaka. Naona Mr Rocky amejificha na Karucee wangu. Ntuzu analibutua kwa akina Khantwe, Kaizer bado yuko mafichoni, Kasinde kapigwa na dolari kila pande kachafuka noti tu. miss chagga naona kanasa kwa Tembo.., yule mrembo Dena Amsi ndio shemejio mkuu rasmi. Miss Kim atokewa na mwekundu bila mafanikio huko kazini kwao, kiwatengu akataliwa posa kwa akina shansarie, mwallu apeleka mashitaka ukweni kuwa bado kombe la dunia halijaisha kwa mumewe Mentor maana hadi sasa huaga anaenda kuangalia mechi na kurejea usiku mnene sana. n.k.

Japo kwa uchache nimeona nikubrief yaliojiri siku chache zilizopita mkuu.
Tized sijanasa popote napita pita kupata mchepuko wa weekend
 
Ha ha haaaa maadam wewe upo yote heri mkuu!!!!
Huyu shemeji MKUU rasmi ni cheo kipya na kimezingatia ugatuzi wa madaraka naona!!!!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom