Hat ukimuita haji kwa maana hapa Nipo nae tunapunga upepo kwa raha zetu
chezea mahaba mazito wewe
Hujui nimeumbwa kwa ajili yake eeeeh
We trust each other pole yako wewe una michepuko miiingi na ukiniona tabia ya kukonyeza uache
Si ndio janja yako hiyo ya fis kunifuatilia kama ntadondosha mkono
Ha ha ha ha miaka 800 muulize babu Asprin nilichomfanya
Tell her yooooooooooooooooooooooooooo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
basi na mimi nakuwa stingy kwenye 6*6Hii ni kwa sababu ya mchepuko akupe zote mchepuko ule nini? Mawe?.
huyo hata ukimuolea wake 1000 ilimradi umpe tu hela yeye hana shidaUpite pite pale dukani uchukue tumilioni kwa ajili ya kununua vocha dear si unajua tena hutakiwi kupata shida ya vocha kabisa my sweet miss chagga
cc Ntuzu, Tized, Kaizer mwekundu, Nicas Mtei
Kinehe ngosha iigghh!!!
Wamilemo, mashikolo malongo haya
mmmmhhhhh!!!! ngoja nimuite mkalimni The Boss aje atafsiri, au nae ni wa mjini anaishia kwenye mwangaluka na mwadela ulimhola iiggghhh
Kinehe ne Kiranga!!
Ntafikisha taarifa best askar kafia vitan kwa Toto LA kichaga mpe pesa TNA nasema mpe wallet yako miss chagga uonyeshwe mahaba ambayo Mr Rocky hajawahi kuonyeshwa
Hahahaaaaaaa
Kasinde we kule kwetu Ni jina la mizimu bakulwa na bhadoto na bha kasindye..,,, Hahahaaaa
We ukiwa na Tized hawezi kuchepuka coz akichepuka tu ile mizimu kina kasindye inakupa full story yote km umemfungia chip vile ya kumtrack. Tized umekwisha!!!!
Nyani Ngabu na Kiranga na muuza ubuyu Wanaelewa haya makitu!