Ntuzu mkuki ukirudi kwako usilalamike hapo kwa miss chagga acha kabisaKhantwe usimsikilize huyu bhana
Kiwategu Uko wapi mkulu? Yani tangu wakatae posa yako wazazi Wa shansarie na wewe umekosa Amani!
Weka begani usepe neya na Mkuu!
Mokoyo acha na wewe kila wakati kukaa na mkeo ICHANA wewe Hujui Chakula kizuri mule wengi?
miss chagga penda Mie weye! Dah! Asiione Khantwe hii!
yeah! that sound so sweet pretty lady! nichukue na special concetration area kabisa!
na haka kajua, itakuwa ni furaha yangu kukunywesha whisky!..
yeah! that sound so sweet pretty lady! nichukue na special concetration area kabisa!
na haka kajua, itakuwa ni furaha yangu kukunywesha whisky!..
Mr Rocky baby yani natamani leo unishike kiuno my baby.... Excel anapenda kuchepuka wewe mwache tuNtuzu mkuki ukirudi kwako usilalamike hapo kwa miss chagga acha kabisa
Halafu Excel ameingia humu hali ya hewa imebadilika nasikia harusu harufu ya usaliti humu
Ukiona Msukuma tu moyo unakudunda!
Hahahaaaa
Mi mzima my dia Mr Rocky
bora umwambie Khantwe kiukweli nitamwaga damu hapa mtu akikugusa na jinsi ninahamu ya wewe leo ndiyo balaa ... usisahahu kuja na ile milioni 3 za shoping
Usiwe na shida my dear miss chagga na shopping ya sasa sijui unaenda Dubai au utafanyia hapa hapa
aione Ntuzu
Karibia na huku mamii, its much luxurious like Dar to the big extent..
make a trip in one of your holidays mamii.. you will enjoy much!
Mkuu Tized hata shem atafika salama salimini niamini tuu
Maana kufika kwake salama ni kuwa atafika salama kimwili bila ajali ila yale mengine sijui kama atafika salama bila kufanyiwa ukaguzi
Khantwe usimsikilize huyu bhana
Kiwategu Uko wapi mkulu? Yani tangu wakatae posa yako wazazi Wa shansarie na wewe umekosa Amani!
Weka begani usepe neya na Mkuu!
Mokoyo acha na wewe kila wakati kukaa na mkeo ICHANA wewe Hujui Chakula kizuri mule wengi?
miss chagga penda Mie weye! Dah! Asiione Khantwe hii!
Mmmmh sijui kwa nini nimepita mitaa hii loh
hahahaaa! come on meen! sie watu wa kanda ya ziwa ni wakarimu saaana! mwache Kasinde aje aburudishwe na upepo wa ziwa!... sisi hatuna congestion kama yenu huko! lol.
Swty! Nilikua napima Gia zangu km zinaweza kumteka Kasinde
Mimi niko na wewe tu honey wangu! Hayo yalikua majaribio ya Gia za kung'oa mzigo!
Ntuzu mkuki ukirudi kwako usilalamike hapo kwa miss chagga acha kabisa
Halafu Excel ameingia humu hali ya hewa imebadilika nasikia harusu harufu ya usaliti humu
lo nataka kusikia kelele sasa sijui tuende wapi
Usiwe na shida my dear miss chagga na shopping ya sasa sijui unaenda Dubai au utafanyia hapa hapa
aione Ntuzu
Asante wacha nione kama Tized akakubali basi tutakuja wote kukutembelea.........