KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 20,079
- 40,703
Kwanini udhalilike kwa sababu ya mapenzi?
Kwanini uwe mtumwa wa penzi?
Kwanini ushinde unalia kutwa nzima kwa ajili ya mtu ambaye hata hakuwahi kupoteza hata sekunde moja kukufikiria?
Kwanini unahangaikia penzi lisilostawi?
AMKA KIMBIA
Kwanini uwe mtumwa wa penzi?
Kwanini ushinde unalia kutwa nzima kwa ajili ya mtu ambaye hata hakuwahi kupoteza hata sekunde moja kukufikiria?
Kwanini unahangaikia penzi lisilostawi?
AMKA KIMBIA