snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,422
- 25,338
Ahahhahahahhahahhaa haya mi nimeenda ila umenipa burdani sana asbh hi!!Halafu utasababisha anione mi domo zege
Siku njema bana!
Ahahhahahahhahahhaa haya mi nimeenda ila umenipa burdani sana asbh hi!!Halafu utasababisha anione mi domo zege
si nyie wadada mnapenda kushindanaNdo gundu hivo sema tu watu tunafikiriaga umalaya ni starehe kumbe tunakaribisha mikosi kwenye maisha yetu bila kujua. Sasa domo ndo mvuto umeisha hamisa ana negative energy mbaya mana naye kwa waganga hajambo.
Aliumbukaje sasaKuna Ticha wangu wa martial art alikuwa anafanya meditation sana akawa hatumii kabisa nyama yoyote ile. Alipata binti ili aoe maisha yalienda sasa jamaa akawa yule binti akija kumpikia anamuuliza kuhusu nyama jamaa akamwambia situmii kabisa ila ukipendelea mi nitakuwa nanunua kwa ajili yako. Yule binti alitamani kujua sana japo kwa kipindi hicho jamaa alimwongopea nina allergy.
Baada ya mambo kuelekea kuiva yani ndoa yule binti alianza kuja na nyama choma kwenye mfuko mbaya zaidi anamfosi Ticha kula.
Jamaa hakuwahi kula na dem alikuja kuumbuka vibaya Meditation siyo mchezo.
Angenasa mapemaa sana maana bidada mwenyewe alkuwa mpole sana alafu kwao watu masjid sana kwahiyo hata jamaa alijifunza kitu.duh hatare sana mkuu so jamaa alikuwa muumino sana wa meditation otherwise angeliwa kichwa
ndo hivyo we muulize huyo uliyenaye alianza kuvutiwa na wewe lini? akiwa mkweli lazima iwe kabla hujamtokea.Kama Luna ukweli vile.
anatusaidia sana vinginevyo tungekuwa haturudi kwa mitego tunayowekewaMkuu upo sawa kabisa huo mchanganuo sio mchezo wanaume mungu atusaidie.
Game noma, vyuma vimekaza.Wakuu,
Nipo mahali napata fanta ya baridi...na kiyepe yai...naona udenda ushakushuka...
Tuache hayo njoo kwenye mada.
Mbele yangu kuna meza imejaa wadada wa mjini wametupia pamba kali hatari.
Nasikia mmoja anasema mh! Yani yule kaka nimempa mara moja tu kachanganyikiwa..
Wakacheka wote...aliyekuwa anawapa story wenzake akageuka nyuma...kama anawasiwasi mtu asimsikie...
Nikajikausha kama nakata chipsu yai...mara nakunywa soda...akaendelea kuongea...
Unajua bana mjini bila kuwa na akili huwezi kumlata mwanaume wa kukuoa wala kukupa pesa...
Hivyo unatakiwa utumie 'dawa ya mvuto'...yani kila mwanaume akikuona anavutika...
Nilishanga kimoyomoyo...ghafla kisimu kikaita mume wangu kaja kunichukua....
Mpaka sasa najiuliza...
Wanaume mnakazi kubwa...
Doncute
Sawa kabisaHuo ushirikina umemuua Dada mrembo kisa ndoa, hafu mwanaume karudi kwa ex wake I do believe you can't force love ukijiweka tu vzuri kitabia na kila kitu utapata MTU sahihi sio kutumia haya madawa mana asilimia kubwa kwa waganga mtajawaua hawa wanaume bure
Kweli mkuu tunapoingia ktk mahusiano hovyo tunakuwa tunakaribisha matatizo makubwa zaidi na zaidi na zaidiNdo gundu hivo sema tu watu tunafikiriaga umalaya ni starehe kumbe tunakaribisha mikosi kwenye maisha yetu bila kujua. Sasa domo ndo mvuto umeisha hamisa ana negative energy mbaya mana naye kwa waganga hajambo.
Hapana si ujinga kama kunamafanikio. Pindi unazaliwa kila mtu ke/me walikufurahia wapo waliopiga vigeregere kufurahia ujio wako,wapo walio leta zawadi mbalimbali kukupatia n.k. hiyo ndiyo asili yako lakini kwa uchafu wa dunia vijicho n.k mwili wa mtu huchafuliwa. Wengine hujikuta wanajichafua wenyewe bila kujua mfano ndoo ameipimia Mkaa halafu unaitumia kwa kuogea mkaa ni miti ambayo ni madawa ya kila aina mengine ya nuksi wewe unaoga. Sasa dawa za kupendwa na watu/kusafisha nyota ni kuuondoa uchafu ulioupata/patiwa na watu na kuubakisha mwili wako katika asili yake. Si ujinga kikubwa mafanikio yawepo.Kutumia madawa ili upendwe ni ujinga mkubwa
MhHapana si ujinga kama kunamafanikio. Pindi unazaliwa kila mtu ke/me walikufurahia wapo waliopiga vigeregere kufurahia ujio wako,wapo walio leta zawadi mbalimbali kukupatia n.k. hiyo ndiyo asili yako lakini kwa uchafu wa dunia vijicho n.k mwili wa mtu huchafuliwa. Wengine hujikuta wanajichafua wenyewe bila kujua mfano ndoo ameipimia Mkaa halafu unaitumia kwa kuogea mkaa ni miti ambayo ni madawa ya kila aina mengine ya nuksi wewe unaoga. Sasa dawa za kupendwa na watu/kusafisha nyota ni kuuondoa uchafu ulioupata/patiwa na watu na kuubakisha mwili wako katika asili yake. Si ujinga kikubwa mafanikio yawepo.
Hahhaa mganga kamdanganyaUpo sawa dadaa, kwawaganga hakufai yaani mganga akitokea kukutamani2 nilazima atakula naakitaka kukuoa atakuoa2 tayar lengo lililokupeleka tayar limepotea,
Me nilikuwaga nademu ila sikuwa naishi nae ila alikuwa huru kuja mda wowote geto kwangu maana funguo alikuwa nayo, sasa nikapata safari kuna inshu nilikuwa nafatilia ikanilazimu kutoka kwenda mkoa mwingine kama wiki hivi nikawa nimerudi, kufika geto kwangu nikalala siku yakwanza, siku yapili nikaanza kuhisi harufu mbaya sana geto kwangu yakama mzoga uliokufa nikahisi labda panya kafia ndani ila nilipotafuta sikupata kitu ila kwambali chini yauvungu nikaona jagi ambalo nawekeaga maji yakunywa likiwa chini yauvungu limesimamishwa mwisho kabisa saizi yaninapowekaga kichwa nikiwa nimelala nandipo nilipogundua harufu utokea huko, nikainama nikalitoa aisee nilikuta kuna maji meusi ndani yalile jagi yananuka harufu Kali sana aisee basi2!! Nikawa nimemwita demu wangu nikamuuliza hiki ninini? Akasema ajui nikwambia usinitanie wewe hiki chumba wenye funguo nimimi nawewe nataka unieleze hivi nivinini nakwanini vimo humu ndio akaanza kujigongagonga hooo hii nidawa nilipewa niweke humu ndani ili mimi nawewe tusiwe tunakwaluzana aisee nilichoka kabisa
Ndo ilivyo, na mzigo ninao.
Ni ukweli mtupu mkuu! Hata kabla sijagundua kuwa nimependwa.ndo hivyo we muulize huyo uliyenaye alianza kuvutiwa na wewe lini? akiwa mkweli lazima iwe kabla hujamtokea.
HahahaWadada wengi wanapenda uganga halafu wale warembo sana ndio idadi kubwa mno nikiwa chuoni ukitokea ugomvi wa mashost siri zinaanza kuvuja kwanza yule anaende kwa waganga ili apate mabwana hapo ndio unastuka duh na uzuri wote huo kwa sangoma unaenda