Stuka: Mapenzi ya 'kishirikina' ndio habari ya mujini

inabidi wanawake waliolewa kuwaombea sana waume zao na kuishi nao kwa upole na unyenyekevu kwakuwa kila mwanaume mwenye ndoa anatafutwa na wanawake saba.
  • ofisini wawili kwa ajili lunch na mizinga ya dharura.
  • mtaani watatu
    • mmoja kumkomoa mkeo kwa kuwa analinga na huko vizuri.
    • mmoja uchumi (mwanafunzi wa chuo, single mama nk)
    • mke wa mtu asiyetoshelezwa
  • skuli mate
  • mchepuko wa hiyari.
Mkuu upo sawa kabisa huo mchanganuo sio mchezo wanaume mungu atusaidie.
 
Wakuu,
Nipo mahali napata fanta ya baridi...na kiyepe yai...naona udenda ushakushuka...

Tuache hayo njoo kwenye mada.

Mbele yangu kuna meza imejaa wadada wa mjini wametupia pamba kali hatari.

Nasikia mmoja anasema mh! Yani yule kaka nimempa mara moja tu kachanganyikiwa..

Wakacheka wote...aliyekuwa anawapa story wenzake akageuka nyuma...kama anawasiwasi mtu asimsikie...

Nikajikausha kama nakata chipsu yai...mara nakunywa soda...akaendelea kuongea...

Unajua bana mjini bila kuwa na akili huwezi kumlata mwanaume wa kukuoa wala kukupa pesa...

Hivyo unatakiwa utumie 'dawa ya mvuto'...yani kila mwanaume akikuona anavutika...

Nilishanga kimoyomoyo...ghafla kisimu kikaita mume wangu kaja kunichukua....

Mpaka sasa najiuliza...

Wanaume mnakazi kubwa...

Doncute
Hata wewe tutaanza kukusitukia kwa vistory vyako kama Sky Eclat
 
MADA ZA NAMNA YA KUWALOGA WANAUME!

Kama kweli zinafanyika na WANAWAKE!!
hakiiiiii miaka 5 ijayo WANAUME WOTE MNAOKOTA MAKOPO!!

Post za hivo zinapata comment za kutisha!!Unasoma post unajikuta unamuwazia kakako,mwanao wa kiume akikua, babako,mumeo,rafik ,staff mwenzio!!
SASA UNAJIULIZA KAMA ANA MICHEPS MITATU!
yote isome na yote itake kumkamata!!
WANAUME MTAPONA KWELI!!

KIUKWELI NI HURUMA!!
Tunapambana na hali yetu hivyo hivyo.

Ndio maana wanaume tunapaswa kujijali wenyewe tu. Nyie wanawake viumbe wa ajabu sana.

Na mtu akishaanza kushinda kwa mganga maana yake ndio unashare na mganga.
Huwa wana dawa zao ambazo inatakiwa ziingizwe kwa dudu.
Sasa utachagua ukampake mumeo au mganga ajipake yeye akuingizie.!!
Na ukimwi wanaupatia hapo
 
by the way,we ni mwandishi mzuri
 
Ukifikia hapo kwenye uchawi katika mapenzi unaweza taman usioe mana nasikia unaweza lishwa nyama ya siku 7 [emoji85][emoji85][emoji85]
Kuna Ticha wangu wa martial art alikuwa anafanya meditation sana akawa hatumii kabisa nyama yoyote ile. Alipata binti ili aoe maisha yalienda sasa jamaa akawa yule binti akija kumpikia anamuuliza kuhusu nyama jamaa akamwambia situmii kabisa ila ukipendelea mi nitakuwa nanunua kwa ajili yako. Yule binti alitamani kujua sana japo kwa kipindi hicho jamaa alimwongopea nina allergy.

Baada ya mambo kuelekea kuiva yani ndoa yule binti alianza kuja na nyama choma kwenye mfuko mbaya zaidi anamfosi Ticha kula.

Jamaa hakuwahi kula na dem alikuja kuumbuka vibaya Meditation siyo mchezo.
 
funguka more mkuu
 
Mimi sioni Kama mganga anasaidia
Ili kuvuta mwanaume
Mwanamke anatakiwa awe na mapigo ya moyo no mnato
Hapo atakuwa kashika nyota
Hata Mimi naona hivo sasa ka MTU kuna vtu hapendi huwezi force sema waganga hutumia nguvu za Giza ila ushirikina na kupendwa haviendani, bora moyo ukubali, hayo ya mnato tena
 
MADA ZA NAMNA YA KUWALOGA WANAUME!

Kama kweli zinafanyika na WANAWAKE!!
hakiiiiii miaka 5 ijayo WANAUME WOTE MNAOKOTA MAKOPO!!

Post za hivo zinapata comment za kutisha!!Unasoma post unajikuta unamuwazia kakako,mwanao wa kiume akikua, babako,mumeo,rafik ,staff mwenzio!!
SASA UNAJIULIZA KAMA ANA MICHEPS MITATU!
yote isome na yote itake kumkamata!!
WANAUME MTAPONA KWELI!!

KIUKWELI NI HURUMA!!
Wanaume wanahtaji maombi kweli Mimi kila siku huwaombea kaka zangu aisee Mungu awaepushie mbali yani husikia uchungu na assume mwanangu ndo angefanyiwa hivo.
 
Tunapambana na hali yetu hivyo hivyo.

Ndio maana wanaume tunapaswa kujijali wenyewe tu. Nyie wanawake viumbe wa ajabu sana.

Na mtu akishaanza kushinda kwa mganga maana yake ndio unashare na mganga.
Huwa wana dawa zao ambazo inatakiwa ziingizwe kwa dudu.
Sasa utachagua ukampake mumeo au mganga ajipake yeye akuingizie.!!
Na ukimwi wanaupatia hapo
Kuna post ningeweza kushare humu za shuhuda kuhusu kupakwa dawa aisee kumbe ni kweli hali inatisha sana
 
Tunapambana na hali yetu hivyo hivyo.

Ndio maana wanaume tunapaswa kujijali wenyewe tu. Nyie wanawake viumbe wa ajabu sana.

Na mtu akishaanza kushinda kwa mganga maana yake ndio unashare na mganga.
Huwa wana dawa zao ambazo inatakiwa ziingizwe kwa dudu.
Sasa utachagua ukampake mumeo au mganga ajipake yeye akuingizie.!!
Na ukimwi wanaupatia hapo
Kuna post ningeweza kushare humu za shuhuda kuhusu kupakwa dawa aisee kumbe ni kweli hali inatisha sana. Hafu wengi huwa nikudaganya tu nakutaka uraisi wa mambo
 
Back
Top Bottom