Stuka: Mapenzi ya 'kishirikina' ndio habari ya mujini

Stuka: Mapenzi ya 'kishirikina' ndio habari ya mujini

Hata sio kiburi MTU akishakuwa mama majukumu hubadilika watoto ndo wanakula mda had unaona mume ni MTU mzima ngoja ni deal na watoto, sasa nyie wanaume huwa hamwasaidii wake zenu, bora mkeo ukipatwa majanga atakuvumilia huko nje hamna upendo ila ni masilahi tu, ndoa hujengwa na wote ulezi ni kazi ngumu, bora wakufa na kuzikana kuliko kiruka njia unafikiri ukipata na majanga ni Nani anaumia ka si mkeo na wanao, tena hao washirikina wanaloga MTU had atelekeze familia, naona ukiingia kwenye ndoa uwe umejiandaa aisee
wanaume kiukweli hawapendi na huwa wanajutia tabu tunarongwa mno!
 
inabidi wanawake waliolewa kuwaombea sana waume zao na kuishi nao kwa upole na unyenyekevu kwakuwa kila mwanaume mwenye ndoa anatafutwa na wanawake saba.
  • ofisini wawili kwa ajili lunch na mizinga ya dharura.
  • mtaani watatu
    • mmoja kumkomoa mkeo kwa kuwa analinga na huko vizuri.
    • mmoja uchumi (mwanafunzi wa chuo, single mama nk)
    • mke wa mtu asiyetoshelezwa
  • skuli mate
  • mchepuko wa hiyari.
Du! Kumbe ndo mipango yao!
 
Mi nipo Facebook kwenye ma group ya wanawake sasa wasiojielewa ndo huelekezana waganga na kutumia dawa za kunasa wanaume bora hata kwa single kwa waume za watu ndo usiseme ili unase, eeeh niliyoyaona nikawahurumia wanaume sana maana mwahtaji maombi, pia wanawake wanapenda kwa waganga, waganga wake huwaingizia dawa huko ukeni, imagine mganga ka si mgonjwa hali inakuwa vipi.

Tena vyuma vilivyokaza ndo kwa waganga wanajaa sana, wanaume kuweni makini na mnao date nao.
Mimi sioni Kama mganga anasaidia
Ili kuvuta mwanaume
Mwanamke anatakiwa awe na mapigo ya moyo no mnato
Hapo atakuwa kashika nyota
 
MADA ZA NAMNA YA KUWALOGA WANAUME!

Kama kweli zinafanyika na WANAWAKE!!
hakiiiiii miaka 5 ijayo WANAUME WOTE MNAOKOTA MAKOPO!!


Post za hivo zinapata comment za kutisha!!Unasoma post unajikuta unamuwazia kakako,mwanao wa kiume akikua, babako,mumeo,rafik ,staff mwenzio!!
SASA UNAJIULIZA KAMA ANA MICHEPS MITATU!
yote isome na yote itake kumkamata!!
WANAUME MTAPONA KWELI!!

KIUKWELI NI HURUMA!!
 
Back
Top Bottom