Stuka: Mapenzi ya 'kishirikina' ndio habari ya mujini

Stuka: Mapenzi ya 'kishirikina' ndio habari ya mujini

Yani mkuu iko hivi yule sista kumbe jamaa aliingia chaka bovu inasadikika mzazi wake wa kike ndiye aliyempa ushauri akitahidi amkamate jamaa ili asimfatilie sanaa kama mkewe na amtawale. Hayo yalijulikana baada ya ishu kusanuka.

Yule Dada alianza kuja na dawa anaweka chini ya mto sasa jamaa akawa kabla ya kulala anashawishika kutandika kitanda anakuta viunga unga muda huo akiwa kamtuma kitu makusudi.

Yule binti alianza mchezo kulala upande mmoja tu jamaa akitaka kuhama binti anasala. Hataki kabisaa

Siku hiyo wanaenda kulala jamaa kabla hajalala kila akitaka kukaa kitandani akasema moyo ukagoma kabisa akamwambia yule bi dada shuka niweke shuka akagoma akatumia ukali sasa dem kushuka jamaa kufunua shuka HIRIZI usawa wa kichwa anapolala chini ya mto.

Jamaa hakuongea alichomwambia nakukata masikio humu humu nieleze kila kitu hii ni yako usikatae na ninahitaji kitu kimoja tu ya nini? Kutokana kwamba dem anajua jamaa ni mwana martial art pia siyo mtata bali shughuli yake si kidogo.

AKAFUNGUKA KILA KITU KUWA MAMA KATOA ADVICE NIWEZE KUKUTAWALA NA KUKUONGOZA NITAKAVYO.

Jamaa akamwambia asubuhiii nenda kayaeleze kwa baba yako kama ulivyonieleza. Jamaa hata ukweni HAKWENDA wakajiongeza.
duh hatare sana mkuu so jamaa alikuwa muumino sana wa meditation otherwise angeliwa kichwa
 
Mwanamke mshirikina ni mwanamke mpumbavu anayekoroga sumu itakayomuua yeye na kizazi chake mwenyewe.
 
Wanaume wanahtaji maombi kweli Mimi kila siku huwaombea kaka zangu aisee Mungu awaepushie mbali yani husikia uchungu na assume mwanangu ndo angefanyiwa hivo.
Mi huwa nawawazia Sana!!
Na maskin HAWASTUKI!!.
HAWAACHI KUHANGAIKA!!.

Sijui lakin ila unasoma kitu mtu anaeleza kimemsaidia wallahi UNAOGOPA!!
 
Back
Top Bottom