Stuka: Mapenzi ya 'kishirikina' ndio habari ya mujini

inabidi wanawake waliolewa kuwaombea sana waume zao na kuishi nao kwa upole na unyenyekevu kwakuwa kila mwanaume mwenye ndoa anatafutwa na wanawake saba.
  • ofisini wawili kwa ajili lunch na mizinga ya dharura.
  • mtaani watatu
    • mmoja kumkomoa mkeo kwa kuwa analinga na huko vizuri.
    • mmoja uchumi (mwanafunzi wa chuo, single mama nk)
    • mke wa mtu asiyetoshelezwa
  • skuli mate
  • mchepuko wa hiyari.
Ni kweli wanaume wangejua wangetulia tu wake zao huko nje wanaendaga kujitaftia matatizo na vifo tu, imagine hyo michepuko yetu iwe inakupeleka kwa kalimanzila si inakuongezea mapepo, hao wakukomoa mke ukishaachana na mkeo na yeye anakukimbia huku alishakupa madawa mwishowe ushindwe kufanya kazi yoyote yakuongezea kipato. Maombi ni silaha sema wengi huona kuwa na mahusiano mengi ni ufahari kumbe ni kujitaftia matatizo
 
Nikweli ila sio kivile sana sema waganga wanawala sana japo wanaoolewa nawaganga wapo ila niwachache sana ila mleta mada yupo sawa namimi jamii iliyonizunguka ndio wengi tabia zao wanawake wengi

Ukiona kuna wanawake wanaoamini katika maombi kupata waume ujue pia wapo wengi sana wanaoamini katika shiriki katika kupata waume pia so niimani2 ila angalieni2 msituuwe jamani
Kuna wadada walikuwa wadangaji hatari mjini na wote walikuwa wateja kwa waganga wote waliolewa na waganga na maisha yao hayaeleweki.
Wanaoenda kwenye ushirikina ni wengi maana maombi u nasubiria mno sasa kwa waganga ni u rahisi tu sema ndo haudumu, na kupata mikosi, ni nyie wanaume kuwa makini na unao date nao at least awe na hofu ya Mungu na umchunguze hata vitabia maana ushirikina sikuhizi kila corner
 
Ni kweli wanaume wangejua wangetulia tu wake zao huko nje wanaendaga kujitaftia matatizo na vifo tu, imagine hyo michepuko yetu iwe inakupeleka kwa kalimanzila si inakuongezea mapepo, hao wakukomoa mke ukishaachana na mkeo na yeye anakukimbia huku alishakupa madawa mwishowe ushindwe kufanya kazi yoyote yakuongezea kipato. Maombi ni silaha sema wengi huona kuwa na mahusiano mengi ni ufahari kumbe ni kujitaftia matatizo
tatizo wake zetu tukishafunga ndoa kiburi kinaanza na mara nyingi mnasahau mapenzi mnatazama himaya kwa kuwa umehakikishiwa mpaka kifo! sasa wapo wanaoangalia hayo mapungu na kuona fursa.
 
Kuna wadada walikuwa wadangaji hatari mjini na wote walikuwa wateja kwa waganga wote waliolewa na waganga na maisha yao hayaeleweki.
Wanaoenda kwenye ushirikina ni wengi maana maombi u nasubiria mno sasa kwa waganga ni u rahisi tu sema ndo haudumu, na kupata mikosi, ni nyie wanaume kuwa makini na unao date nao at least awe na hofu ya Mungu na umchunguze hata vitabia maana ushirikina sikuhizi kila corner
Upo sawa dadaa, kwawaganga hakufai yaani mganga akitokea kukutamani2 nilazima atakula naakitaka kukuoa atakuoa2 tayar lengo lililokupeleka tayar limepotea,

Me nilikuwaga nademu ila sikuwa naishi nae ila alikuwa huru kuja mda wowote geto kwangu maana funguo alikuwa nayo, sasa nikapata safari kuna inshu nilikuwa nafatilia ikanilazimu kutoka kwenda mkoa mwingine kama wiki hivi nikawa nimerudi, kufika geto kwangu nikalala siku yakwanza, siku yapili nikaanza kuhisi harufu mbaya sana geto kwangu yakama mzoga uliokufa nikahisi labda panya kafia ndani ila nilipotafuta sikupata kitu ila kwambali chini yauvungu nikaona jagi ambalo nawekeaga maji yakunywa likiwa chini yauvungu limesimamishwa mwisho kabisa saizi yaninapowekaga kichwa nikiwa nimelala nandipo nilipogundua harufu utokea huko, nikainama nikalitoa aisee nilikuta kuna maji meusi ndani yalile jagi yananuka harufu Kali sana aisee basi2!! Nikawa nimemwita demu wangu nikamuuliza hiki ninini? Akasema ajui nikwambia usinitanie wewe hiki chumba wenye funguo nimimi nawewe nataka unieleze hivi nivinini nakwanini vimo humu ndio akaanza kujigongagonga hooo hii nidawa nilipewa niweke humu ndani ili mimi nawewe tusiwe tunakwaluzana aisee nilichoka kabisa
 
tatizo wake zetu tukishafunga ndoa kiburi kinaanza na mara nyingi mnasahau mapenzi mnatazama himaya kwa kuwa umehakikishiwa mpaka kifo! sasa wapo wanaoangalia hayo mapungu na kuona fursa.
Hata sio kiburi MTU akishakuwa mama majukumu hubadilika watoto ndo wanakula mda had unaona mume ni MTU mzima ngoja ni deal na watoto, sasa nyie wanaume huwa hamwasaidii wake zenu, bora mkeo ukipatwa majanga atakuvumilia huko nje hamna upendo ila ni masilahi tu, ndoa hujengwa na wote ulezi ni kazi ngumu, bora wakufa na kuzikana kuliko kiruka njia unafikiri ukipata na majanga ni Nani anaumia ka si mkeo na wanao, tena hao washirikina wanaloga MTU had atelekeze familia, naona ukiingia kwenye ndoa uwe umejiandaa aisee
 
Yani wanawake tuna mambo in my life napenda love itokee naturally sio Ku force, tena huko chuoni ndo mashindano
Vyuoni ndio shida sana kila mtu anataka kuonekana bosschick..[emoji16] [emoji16] [emoji16] mashindano ya shopping za kinondoni hayajawahi acha wadada kua washirki
 
Upo sawa dadaa, kwawaganga hakufai yaani mganga akitokea kukutamani2 nilazima atakula naakitaka kukuoa atakuoa2 tayar lengo lililokupeleka tayar limepotea,

Me nilikuwaga nademu ila sikuwa naishi nae ila alikuwa huru kuja mda wowote geto kwangu maana funguo alikuwa nayo, sasa nikapata safari kuna inshu nilikuwa nafatilia ikanilazimu kutoka kwenda mkoa mwingine kama wiki hivi nikawa nimerudi, kufika geto kwangu nikalala siku yakwanza, siku yapili nikaanza kuhisi harufu mbaya sana geto kwangu yakama mzoga uliokufa nikahisi labda panya kafia ndani ila nilipotafuta sikupata kitu ila kwambali chini yauvungu nikaona jagi ambalo nawekeaga maji yakunywa likiwa chini yauvungu limesimamishwa mwisho kabisa saizi yaninapowekaga kichwa nikiwa nimelala nandipo nilipogundua harufu utokea huko, nikainama nikalitoa aisee nilikuta kuna maji meusi ndani yalile jagi yananuka harufu Kali sana aisee basi2!! Nikawa nimemwita demu wangu nikamuuliza hiki ninini? Akasema ajui nikwambia usinitanie wewe hiki chumba wenye funguo nimimi nawewe nataka unieleze hivi nivinini nakwanini vimo humu ndio akaanza kujigongagonga hooo hii nidawa nilipewa niweke humu ndani ili mimi nawewe tusiwe tunakwaluzana aisee nilichoka kabisa
Unaona sasa ulipojitaftia majanga yasiyo na msingi sasa hayo Maji yanayonuka aliyatoa wapi, watu wakikwaruzana si wana solve matatizo kwa kuyamaliza, watu washirikina naona ni wajinga walah na ni hatari hata kuishi nao sehemu moja. Tangu nimeona huko kwa ma group nimejifunza aisee, vipi huyo ulimfukuza au ulimsamehe?
 
Ilikuwa sio kumfukuza bali nilimuacha mdogo mdogo maana nilikuwa siishi nae
 
Upo sawa dadaa, kwawaganga hakufai yaani mganga akitokea kukutamani2 nilazima atakula naakitaka kukuoa atakuoa2 tayar lengo lililokupeleka tayar limepotea,

Me nilikuwaga nademu ila sikuwa naishi nae ila alikuwa huru kuja mda wowote geto kwangu maana funguo alikuwa nayo, sasa nikapata safari kuna inshu nilikuwa nafatilia ikanilazimu kutoka kwenda mkoa mwingine kama wiki hivi nikawa nimerudi, kufika geto kwangu nikalala siku yakwanza, siku yapili nikaanza kuhisi harufu mbaya sana geto kwangu yakama mzoga uliokufa nikahisi labda panya kafia ndani ila nilipotafuta sikupata kitu ila kwambali chini yauvungu nikaona jagi ambalo nawekeaga maji yakunywa likiwa chini yauvungu limesimamishwa mwisho kabisa saizi yaninapowekaga kichwa nikiwa nimelala nandipo nilipogundua harufu utokea huko, nikainama nikalitoa aisee nilikuta kuna maji meusi ndani yalile jagi yananuka harufu Kali sana aisee basi2!! Nikawa nimemwita demu wangu nikamuuliza hiki ninini? Akasema ajui nikwambia usinitanie wewe hiki chumba wenye funguo nimimi nawewe nataka unieleze hivi nivinini nakwanini vimo humu ndio akaanza kujigongagonga hooo hii nidawa nilipewa niweke humu ndani ili mimi nawewe tusiwe tunakwaluzana aisee nilichoka kabisa
Ulimuacha au uliendelea naye? Kukwaruzana kuliisha?
 
Vyuoni ndio shida sana kila mtu anataka kuonekana bosschick..[emoji16] [emoji16] [emoji16] mashindano ya shopping za kinondoni hayajawahi acha wadada kua washirki
Umeona eeeh wengine had wanafanywa vtu vibaya mi siku nikiwa na mtoto wa kike nitamfundisha kujiamini na kujikubali alivo haya mashindano ndo hupelekea watu kufanya mashindano ili waonekane. Kuna mdada nikiwa undergraduate alikuwa had na madawa kwa pochi eeeh wanaume walikuwa wanapishana kwake yani walikuwa ka mazezeta vile
 
Huo ushirikina umemuua Dada mrembo kisa ndoa, hafu mwanaume karudi kwa ex wake I do believe you can't force love ukijiweka tu vzuri kitabia na kila kitu utapata MTU sahihi sio kutumia haya madawa mana asilimia kubwa kwa waganga mtajawaua hawa wanaume bure

True, ushirikina mwisho wake huwa ni mbaya sikuzote.
 
Back
Top Bottom