Students from Kenya perform better in Kiswahili than those from Tanzania

Wewe Mkenya mzalendo usithubutu kutuletea unyang'au wako hapa, umeanzisha hii thread kwa kuwadharau waTZ hatuji kiswahili, sasa tunakuambia sisi ni BABA wa hicho kiswahili hata mfanye nini mnatwanga maji kwenye kinu, kama mnavyolazimisha kuwa Mlima Kilimanjaro uko kwenu, pumbavu kabisa. Na ni kweli labda mitihani yenu ni rahisi ndio maan mnajisifu mnajua, mavi ya stendi!!!
 
This is a textbook example of the xenophobic Tanzanian mind. Sub conciously, this fruit is hardwired to think that 'foreigners' are the cause of all his problems, he tends to block the fact that he has been an immigrant in South Africa for the past ten years trying to make ends and am sure despite the xenophobic attacks he has stayed put and up to this moment he is there trying to make a living in that country.

Like most xenophobic minds, their driving force is usually poverty, coupled by other factors like illiteracy and stupidity; these are the real problems that ails Tanzania, not the few Kenyans who like everyone else cross borders to look for opportunities.

I think it is important to rid your mind off that sh1t you have been on lately, the world is a global village and irregardless of what you say, Kenyans will always be your neighbors and we will definately be crossing to TZ and Tanzanians will always cross to Kenya.


Devils advocate.
 
Wakenya sio marafiki wazuri. Ni wanafiki sana.
Wanapenda sifa za kijinga.
Wabinafsi kupita kiasi.
Wana roho ya umimi.
Ni wachoyo sana.
Wakabila.

Hatuwezi kufanya conclusion kwa research yenye sample size ndogo kama hii.
 
Lugha haishii katika karatasi,sifa ya mjuzi wa lugha ni yule aliyokuwa nayo mdomoni.....majiifu na mjigambo yote haya sijui kama unajua kama mtu kama Daniel A Moi anapoongea katika vyombo vya habari vya kimataifa inabidi awekewe subtitles ili ulimwengu umuelewe nini anakisema...yani kujua lugha katika karatasi ni sawa na kuvaa suti na tai wakati chupi na soksi zako ni vichafu!
 
Uwezo Report:Fifty one percent of grade 7 children in Tanzania cannot do grade 2 level english!
Given that english is media instruction in secondary schools ,surely how will our kids cope na masomo sekondari?
Uwezo report is wake up call to all in education sector to urgently effect concrete measures to put house in order .
 
Awali ya yote namshukuru muweka hiyo mada ,

pili kwa wakenya sitoshangaa wakija kusema kuwa English yao ni nzuri zaidi kuliko ya UK ama USA, kwani hili ni jambo la kawaida kwao ( mfano husema mlima kilimanjaro , kisiwa cha misali pale Pemba na hata babu wa Loliondo, kuwa ni vyao)

hao wachunguzi kwanza wangefanya utafiti huko kenya kwani hata hao walimu wao wa kiswahili ni mashaka matupu ....waswahili wa kenya wanalalamika kwa kuwa wana wao hufelishwa ktokana na umbumbumbu wa walimu ambao wengie wao ni wa kutoka bara...mfano kuna maneno tata tele ambayo walimu huyajua kwa maana moja tu ....mfano ,MBUZI ...yule mnyama pia neno hilo humaanisha KIKUNIO CHA NAZI,sasa mwalimu anatoka bara ye hujua kuwa ni yule mnyama tu.

sikatai kuwa kenya kinazungumzwa kiswahii kwani watu wa mwambao ni waswahili na hii ni lugha yao ya awali ,lakini kwa watu wa bara bado kazi wanayo ili mpaka tuseme kuwa wanazungumza .nikisikiliza KBC huwa nafurahi sana kwa kiswahili chao,bora nisikilize REDIO PEMBA ya msumbiji wanazungumza kiswahili kizuri (ni waswahili ).

hii ni kama kusema hakimu , masai ,mwendesha mashtaka ni msai, mwanasheria pia masai mhukumiwa ni mmakonde....je atasalimika ? habari imotelewa kenya,watafiti wakenya je tutasalimika ? au ndio ni kujitangaza kibiashara kupitia migongo ya wengine ?

Tamati ni kuwa kama una hoja yenye mashiko lete tujadili na tuone mustakbali wake..............
 
Awali ya yote namshukuru muweka hiyo mada ,

pili kwa wakenya sitoshangaa wakija kusema kuwa English yao ni nzuri zaidi kuliko ya UK ama USA, kwani hili ni jambo la kawaida kwao ( mfano husema mlima kilimanjaro , kisiwa cha misali pale Pemba na hata babu wa Loliondo, kuwa ni vyao)

hao wachunguzi kwanza wangefanya utafiti huko kenya kwani hata hao walimu wao wa kiswahili ni mashaka matupu ....waswahili wa kenya wanalalamika kwa kuwa wana wao hufelishwa ktokana na umbumbumbu wa walimu ambao wengie wao ni wa kutoka bara...mfano kuna maneno tata tele ambayo walimu huyajua kwa maana moja tu ....mfano ,MBUZI ...yule mnyama pia neno hilo humaanisha KIKUNIO CHA NAZI,sasa mwalimu anatoka bara ye hujua kuwa ni yule mnyama tu.

sikatai kuwa kenya kinazungumzwa kiswahii kwani watu wa mwambao ni waswahili na hii ni lugha yao ya awali ,lakini kwa watu wa bara bado kazi wanayo ili mpaka tuseme kuwa wanazungumza .nikisikiliza KBC huwa nafurahi sana kwa kiswahili chao,bora nisikilize REDIO PEMBA ya msumbiji wanazungumza kiswahili kizuri (ni waswahili ).

hii ni kama kusema hakimu , masai ,mwendesha mashtaka ni msai, mwanasheria pia masai mhukumiwa ni mmakonde....je atasalimika ? habari imotelewa kenya,watafiti wakenya je tutasalimika ? au ndio ni kujitangaza kibiashara kupitia migongo ya wengine ?

Tamati ni kuwa kama una hoja yenye mashiko lete tujadili na tuone mustakbali wake..............

Habari za kushangaza ni kuwa hao Wakenya wa kutoka pwani sio wao huongoza katika hili somo la Kiswahili. Kwa mfano katika mtihani wa kidato cha nne (2010) Shule zilizotia fora zaidi ni za kutoka magharibi mwa Kenya. Ni uwongo mtupu kusema walimu wa bara hawawezi kutofautisha kati ya mbuzi (chombo cha kukunia nazi) na mbuzi mnyama. Pia kuna mwenzangu aliyesema kuwa wanafunzi kutoka Kenya hufunzwa eti wingi wa ndizi ni mandizi. Huo ni uvumi mtupu. Mimi sikumbuki tukielezwa wingi wa ndizi ni mandizi. Kama kuna wale waliofunzwa hivyo, basi hio ni makosa ya mwalimu ambaye alikosa ustadi au tajiriba inayofaa. Mwalimu wangu wa kiswahili alitoka bara na nakumbuka vizuri sana akitueleza ni maneno yapi yaliyo na maana zaidi ya moja, kama vile mbuzi, nyota, sherehe, nyangumi na kadhalika.

Kwa hivo ningetaka Watanzania wote wakubaliane na mimi kuwa tumewashinda katika kila jambo :)

Vukeni sakafu na muiunge mkono hii hoja kuwa Kiswahili kinachotumika huko tanzania ni kibovu kupindukia na taasisi zinazohusika na masomo ya kiswahili huko tanzania zafaa kuunda mbinu za kuhakikisha hili tatizo limesuluhishwa, hata kama ni kuwaajiri waalimu wa Kiswahili kutoka Kenya.
 
Yeyote anayetilia shaka kiswahili cha majirani wetu wapendwa Kenya naomba wapate muda wa kuangazia taarifa ya habari saa moja ya jioni katika vituo hivi KTN, NTV ,CITIZEN au K24.Jamaa wanatisha,siyo lugha,siyo teknologia mambo ni I pad.Watangazaji ni mahiri ,mfano Swaleh Mode,Lolana kalu ambaye ni mwandishi mzuri wa mashairi pia.Kingereza ndo usiseme kabisa safu balaa Julie Gichuru wa citizen weekend edition na makala who owns Kenya,Jeff Koinange na the Bench burudani tupu.
 
Na tuseme hivyo utakavyo , je mbona kuzungumza ni mashaka matupu ? au utasemaje ? mi haya nishayazowea

hao walofanya uchunguzi na kuchapisha hiyo habari ndo hao hao kina mimi..................siwezi kushangaa ,kwani ukishangaa ya musa utapata ya firauni ................
 
Kenyan pupils perform better in Kiswahili than their Tanzanian counterparts’,read one of the headlines published in one of the local dailies weeks ago.In a survey released recently in Dar es Salaam, Kenya scooped the first 24 slots in a ranking that involved 135 selected districts in the East African Community.

According to the report, children in Tanzania were second best in Kiswahili test, a language they are supposed to be more proficient in than their Kenyan counterparts.However though this report sent shockwaves among policymakers and stakeholders, there was something to smile about, the fact that several countries have finally embraced Kiswahili to the extent of beating the master.Though it is claimed that Kenyans are not fluent in Kiswahili, the one year I spent in the neighbouring country told me a different story.

Not many Kenyans can afford to speak continuously without chipping in Kiswahili words such as ‘Yaani’, ‘yenyewe’, and ‘sasa’ which are some of the words that every person I met used. Although only 5 million people speak it as their first language, Kiswahili is either national or official language in four countries: Tanzania, Kenya, Uganda and the Democratic Republic of the Congo and within much of East Africa, it is now used as a lingua franca.

More details click here
 
even we perform better in english than kenyans and the rest of east africa.
 
kwa muda mfupi inawezekana ila kwa muda mrefu si kweli. Nina maana kwamba kwa upande wa wanafunzi kwa kuwa wanasoma inawezekana ni sawa na Wazanzibari wa mjini magharibi ambao kiswahili chao kimesanifiwa nao wanaweza kufeli mtihani. ila kwa ujumla tukiweka "madaraja" ya wanaongea na kuandika kiswahili rasmi, sanifu na fasaha hawawezi kuwa wakenya kamweeeeeeeeee!!!!!!!!!!!
 
Kuna mambo ya kudhani sana watu wanapozungumzia lugha. Kwa kuwa wote tunatumia lugha, basi kila mmoja mwenye maoni juu ya lugha anadhani huo ni utaalamu wake. Watu wanasema "viswahili" mbalimbali na wasiopenda viswahili hivyo wanajifanya polisi wa lugha. Hata akimuona mzungu ni profesa wa Kiswahili atadai, "hawezi kuwa anajua Kiswahili kuliko mimi." Tujadili kiutaalamu si kwa kujidaidai kama tuko kijiweni.
 
The article is too long, but you can read from the link below. I had actually argued here before that Kenyans are just as good in written Swahili but no one believed me. It turns out I was right. Sasa jameni mwajivunia sana eti mnaongea Kiswahili "fasaha" lakini kuandika lugha sanifu hamuwezi. Kizungu pia mlishindwa kabisa.

Hehehehehehe


utani lakini


The East African: *- News*|Report card on EA pupils out...and Kenya leads Uganda and TZ

Home
bread_sep.gif
News
bread_end.gif

News
[h=1]Report card on EA pupils out...and Kenya leads Uganda and TZ[/h]
ico_plus.png
Share
ico_bookmark.png
Bookmark
ico_print.png
Print Rating
YNreaderscontest08061.jpg
Nairobi Primary School pupils at a reading contest: Quality education will help East Africa build its skills base. Picture: File
By CHRISTINE MUNGAI and MWAURA KIMANI

Posted Sunday, July 3 2011 at 11:58
SHARE THIS STORY

0
inShare​


Related Stories






If you are a middle-class child in Kenya, you are more likely to complete your education and have better basic numeracy and literacy skills than a rich child in Uganda or Tanzania.

However, if you are a poor student in Kenya, you will be worse educated than a similar child in Uganda or Tanzania. These are the stark findings of a survey by East African education think tank Uwezo conducted in June, which evaluates the state of literacy and numeracy in Kenya, Tanzania and Uganda.

For example, in Kenya, 31 per cent of children from poor households in Standard 3 passed the numeracy test, as compared with 28 per cent of children from the wealthiest of households in Uganda who passed this test.

At least 19 per cent of Kenyan children from the poorest households passed the English test, as compared with 16 per cent of children from the wealthiest households in Tanzania who passed this test.

Starker still than the disparities between countries and between rich and poor is the revelation that educational quality is alarmingly low. Poor quality education is steadily eroding East Africa’s skills base, severely undermining the hopes of industrialisation in the next few decades.

Despite a steady increase in primary school enrolment across the region, the majority of children do not gain even Standard 2 level skills until they are almost finished with primary school. Many never learn these skills at all.

“Even though Kenya is ahead, as a whole the region is doing quite badly. It’s like a house with a hopelessly weak foundation,” said Dr Sara Ruto of Uwezo, adding that urgent measures need to be taken to improve the basics of numeracy and literacy.

The study did not cover Burundi and Rwanda, the new members of the East African Community, whose education systems are not yet as similar as those in the other three EAC nations.

The study on the state of primary schools found that Kenya’s schools impart the most knowledge. And in the three tests — Kiswahili, English and numeracy — Kenya’s pupils came out on top, followed by pupils in Uganda.

While focusing on education, the study offers fascinating insights into the economic and social disparities in the three countries.

Heavy penalty

The underlying message of the report is that children from well-off families reap many rewards, and those from poor families pay a heavy penalty.

The education outlook in East Africa therefore depicts the vulnerability of the poor in the region and the growing stability of its emerging middle class, which has driven up consumption and precipitated a construction boom of shopping malls, coffee shops and residential apartment blocks in the major cities.

Most opinion polls show that among East Africans, Tanzanians are the most cautious about regional economic integration, particularly the proposed East African Political Federation.

The sceptics in Tanzania say deeper regional integration leads to other East Africans “stealing” their jobs, and possibly taking away their land.

1 | 2 | 3 | 4 Next Page»
 
Hey Tanzanians sorry especially Rosemarie ...i'd like to apologize on behalf of my fellow Mkenyamzalendo i don't know what was he thought but what he done was not god....You are not xenophobic or something related to that we are all the same as we are Africans.Lugha isiwe chanzo cha kukashifu wengine kwani kuna Watanzania wanazungumza Kikikuyu,Kijaruo na hata Kikamba kuliko Wagenya ,hata kizungu ni lugha kama lugha zingine kwani hakuna lugha iliyo bora kuliko nyingine kwani kila lugha hukidhi haja ya mawasiliano katika muktadha mahsusi.......By the way Rosemarie we are not FAKE as you said.
 
Written swahili? Mbona wewe umeandika kiswahili kibovu, jifunze kuandika kwanza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom