strong srt 4910/4930 decoders zinatafutwa

strong srt 4910/4930 decoders zinatafutwa

Arselona

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2011
Posts
643
Reaction score
153
waungwa baada ya kunisaidia kupata laptop sasa naomba tena msaada wenu kupata decoder tajwa hapo na kwa gharama gani.natanguliza shukrani
 
ina maana jf members wote hawajui zinapopatikana au mmegoma kunisaidia! Amoeba, msanii matola rukus na wengine wengi msaada plse.
 
Kama ni kwa ajili ya kuchakachua DSTV hatujui zinakopatikana
 
Kama ni kwa ajili ya kuchakachua DSTV hatujui zinakopatikana
ucwe mvivu wa kufikiri.unayosema c matumizi yake.unataka wa2 wote wa2mie mediacom km wewe?kama umekosa mada nyamaza utaonekana wise hata km ni mpumbavu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom