Strong 4922 decoda bora kwa FTA Television chanels

Strong 4922 decoda bora kwa FTA Television chanels

Wanaomponda na kumtukana njunwa wamavoko hawamtendei haki, jaribuni kupangua hoja zake kwa fact kama afanyavyo yeye bila ya matusi. Kupitia majibu ya Njuwa kuna vitu nimejinza. Lakini nyinyi wengine ninacho kiona kwenu ni matusi na zarau tu.

Kama kweli wewe Ph-25 ni mtaalam wa haya madude achana na matusi na zarau mwaga data zako kihusu ubora wa hiyo Strong 4922 tutakuelewa. Vinginevyo tutaona zarau na kejeli ndio silaha yako ya kupambana na nguvu za hoja za Njuwa .
 
ni kweli AIPOLO na ndo maana watanzania sio rahisi kuendelea badala ya kufanya discusion kwa fact kazi ni kuleteana dharau.
 
Ndo hivo Watu huwa tuna matatizo kama haya hivo wakati mwingine issue kuvumiliana tu

Kati thread sikuwa na lengo baya kabisa na niliuliza maswali yangu kama challenge kwa mleta mada na nilikua nategemea anipe majibu ghafla nilishangaa nashambuliwa ila thank God was tought to defend myself

Najua yalishaisha nalishaachana kubishana na hawa watu na siitaji kubishana nao tena maana hawana point na wanataka washikilie tu walijualo hawataki kupanua Upeo wao wa ufahamu

Mleta mada alini contact siku 27 December 2014(thread kaianzisha 8 January 2015) alikuwa anaitaji TV1 CCcam maneno niliyoyasema hapa nilimwambia kabisa kule facebook

Na yeye akakubali ni mgeni wa haya mambo nilishangaa tulipokuja huku JF akawawa mtu # tatu kuniita mm mnafiki,tapeli wakati nilishamueleza matatizo ya hizi Receiver srt 4922 na akakubali kabisa atajitoa muhanga maana kuna wenzake walikua wanatumia vizuri na ingeshindikana angenunua srt 4950 au QSAT kabisa aachane na hiyo srt 4922 ambayo mpaka ifanye vizuri inaitaji special Patch s/w ku rectfy hiyo error
Nilishangazwa hapa akiniita tapeli wakati alikuja kununua bidhaa kwangu nikamuonya hatofaidi kitu na mm kabla sijamuuzia mtu kitu nampa MATATIZO yatakayotokea ili akikubaliana nayo asijekunitupia mm lawama

Ushaidi wa conversation huu hapa

2mmil51.png
 
Hbr. yako ndg.
Hivi vitu vinawezekana Japo na shauri iwe kwa matumizi yako.

Ipo PTV ya Pakistan tena update ya key B2 E4 D3 AA F6 F7 A4 AA hii sat inapatikana nyuuzi 38°e hapa ni lugha ya malikia .Inaonesha mechi 4 kwa wiki yaani 2 kwa siku.

Ipo Arabsat ya Iran inapatika kwa tp 3964/30000 Irib kwa mpeg2 kisha chomeka mpeg 4 ingiza tp 4054/27500v hapo utapata Tv3 verzesh hapa unatumia cband lnb pia zko mechi 2-4 kwa wiki .Lugha Arabic

Iko Astra tp 12522/27000v hii ni tv ya hko Ghana .Hapa lugha ya mailkia hii unatumia lnb ya Ku.
Zote hizo znapatika hapa nchi ukiwa na Rcva yako Mnyama strong srt4922 ila genuine
Arabsat na Astra unaweza kutumia dish mmoja 2lnb

hio tv ya iran inayopatikana mpeg2 ni lazima uwe na receiver ya mpeg4 kuipata?
 
njunwa wamavoko, Hahaha mkuu umetisha, unajua kilchosababisha ukashambliwa kiasi kile ni wewe mwenyewe, ni kweli nilikuwa nahitaji kuweka account ktk str4922 lakini nikawa sijawahi, lakini kwa taarifa tu nilishaweka cccam na inapiga mzigo kama kawaida. viva str4922 viva fta
 
Last edited by a moderator:
hahaha mkuu umetisha, unajua kilchosababisha ukashambliwa kiasi kile ni wewe mwenyewe, ni kweli nilikuwa nahitaji kuweka account ktk str4922 lakini nikawa sijawahi, lakini kwa taarifa tu nilishaweka cccam na inapiga mzigo kama kawaida. viva str4922 viva fta

Thats gone....

Unatumia software Patch ipi?
 
AlP0L0,

Umeona eh? Namsifu Njunwa wamavoko ni mtulivu na anaonesha upevu wa fikra, hachokozeki wala havuki mipaka ya majadiliano.

Baadhi ya wagomvi wake wana dalili ya kujua mambo lakini ule ufahamu wa kitaa umewazidi kimo kiasi kwamba wanaonekana "watamu" tu jukwaani hapa!
 
Last edited by a moderator:
For the sake of knowledge

Web browser in Enigma II box

Live na stream JF

14491r8.png



tv1 CCcam ikifanya maajabu

300cenn.png



Hii inanikumbusha Ngoma moja ya Hussein Machozi ile part ya Mboto anamzuia mke wake asisikilize miziki ya machozi lakini mwisho wa siku alikubali mapigo akaanza kucheza nae

rum9au.png
 
njunwa wamavoko,

Mkuu mei kwangu cccam tv1 toka juzi inakata sana kuna tatizo au ni kwangu tu.
 
Last edited by a moderator:
port 4425
Kwa ninavyojua mm TV1 CCcam port yake inaanzia 01000 mpaka 01030

Kama hiyo ndo Kweli ni Port naweza kusema with all Conviction kwamba hiyo sio TV1 CCcam labda umeuziwa Kitu kingine kabisa...

Beware of this maana server adress ya TV1 ni tv1.dns2.us au tv1.me tofauti na hapo jua umepigwa in the name of TV1

Sasa sijui umekosea ukanambia username e.g ussd4425 badala ya kutaja port?

Clarify zaidi labda
 
By the way nikwambia kwamba hizo siku unazozitaja wewe ndo TV1 CCcam iko stable kwenye channel zilizokua na shida kama SS3 na Max 1 yaani unaangalia 5hrs mpaka unalala kwenye kiti haujapata Scramble channel hata moja
 
Kwa ninavyojua mm TV1 CCcam port yake inaanzia 01000 mpaka 01030

Kama hiyo ndo Kweli ni Port naweza kusema with all Conviction kwamba hiyo sio TV1 CCcam labda umeuziwa Kitu kingine kabisa...

Beware of this maana server adress ya TV1 ni tv1.dns2.us au tv1.me tofauti na hapo jua umepigwa in the name of TV1

Sasa sijui umekosea ukanambia username e.g ussd4425 badala ya kutaja port?

Clarify zaidi labda

kweli mkuu nimekosea sio port ni usernsme nikirudi home nitakuandikia port number asante sana lakini kwa ushauri wako
 
1week test acct
C: bestcamfree.zapto.org 32000 bestcam bestcam

Or
server: bestcamfree.zapto.org
Port: 32000
User: bestcam
pswd: bestcam
 
By the way nikwambia kwamba hizo siku unazozitaja wewe ndo TV1 CCcam iko stable kwenye channel zilizokua na shida kama SS3 na Max 1 yaani unaangalia 5hrs mpaka unalala kwenye kiti haujapata Scramble channel hata moja

Ata mimi ilikuwa hivyo lakini kuanzia jumamosi hadi leo ndio hivyo inakata kwa sana hadi kero maana yake. mkuu
 
Back
Top Bottom