Strong 4922 decoda bora kwa FTA Television chanels

Strong 4922 decoda bora kwa FTA Television chanels

Ata mimi ilikuwa hivyo lakini kuanzia jumamosi hadi leo ndio hivyo inakata kwa sana hadi kero maana yake. mkuu
Mm nina port 01017(6month na 3month) na port 01006 na 01026(12months) wateja wangu hamna anayelalamika kwenye group langu
Ngoja kuna watu wana port kama yako wa nchi ya jirani niwaulize
 
Mm nina port 01017(6month na 3month) na port 01006 na 01026(12months) wateja wangu hamna anayelalamika kwenye group langu
Ngoja kuna watu wana port kama yako wa nchi ya jirani niwaulize

sawa mkuu je na account ya Zap na AZSKY wauzaje?
 
sawa mkuu je na account ya Zap na AZSKY wauzaje?
Watumiaji wa port kama yako wanasema kuna mda inakua poa ila kuna mda inazingua pia....

Siuzi ZAP maana sioni reliable source ya CCcam ya ZAP wengi wanafanya resharing na server nyingi za hivi hazikogi stable....

azsky acct is 35,000/= tzs
 
Asante Mkuu kwa taarifa.
 
Hapa sijakuelewa mkuu,una maana kuwa ukiwa na hii decorder ya strong itabidi utumie na hiyo software ili kufungua IPtv
Kuna Patch special ya kuangalia CCcam bila troubles na wala siongelei IPTV maana kwa sasa very few people can real enjoy IPTV
 
Ilisolokobwe,

Mkuu endelea Je wajua Strong srt4922 genuine usipo ...... Je! wajua ikizima waweza ifufua.....
 
Last edited by a moderator:
Nafikiri kupiti uzi huu nimeweza kuongeza kitu. Ningependa kuuliza tu, Je katika uzeofu wako na uelewa wako ni ipi sasa receiver bora ambapo mimi layman ninaweza kuchukua hatua kwenda kuitafuta ambayo ni free pay TV channels ili niachane na hivi visimbuzi.
 
Ntakushauri kama unatafuta Receiver itafute OpenBox v8 Combo DVB-S2/T2 for Europe market
Mm sitakagi kusifia mageresha ila huu mzigo ni balaa labda ndo maana unauzwa sana Europe
Itakufurahisha maisha yako maana unakamata Terrestrial TV kwa antenna bure na unakamata Satellite TV ziwe FTA au Pay TV mfano mm nakula Local channel zote kwa antenna ya 25,000/= tu na nakula DSTV hapo hapo
Radio nazo zipo bila shida
Advanced chipset for Europe market sio mchezo Mchina takataka anauza Africa tu

5541c2a61290d237f89ee81f4b9ffbb6.jpg

519acc5f58fe534cfa3b4689dcb52202.jpg

23c43e8a57bfdc32d0b58482e55060a3.jpg
 
Mkuu kwa hapa bongo hii kitu OpenBox v8 Combo DVB-S2/T2 inapatikana wapi, au ndo kuaguza ng'ambo ili niipate? Shukrani
 
Mkuu kwa hapa bongo hii kitu OpenBox v8 Combo DVB-S2/T2 inapatikana wapi, au ndo kuaguza ng'ambo ili niipate? Shukrani
Kwa sasa V8 Combo ishapata mpinzani ambae ni QSAT Q28G
Isubiri ikiingia sokoni rasmi may be mwezi huu utaipata bila shida
Kwa makadilio itakua 250,000/= Lkn hapo hapo ina Accts za Canal 22W na DSTV 36E
Ni DVB-S2/T2 pia

Openbox nilitaka kuziagiza mwezi huu ila kwa kuona ujio wa Q28G siwezi kuona ubora v8 combo tena
njunwa wamavoko,

Bei yake imekaaje mkuu? Shukrani.
 
Last edited by a moderator:
coollogo_com_790813.png

KUHUSU QSAT Q28G - KWA UFUPI

1. Ni MPEG4/Full HD, DVB-S2 & T2 Combo, GPRS/3G - IKS Receiver hivyo utatumia Satellite Dish na Antena ya Kawaida (Angalia Picha hapo Chini)

edited1.jpg

2. Ina account ya miezi sita-inayofungua Eutelsat 36E, Pamoja na canalsat 22w

3. Yaweza kutumika kwa account zifuatazo: Spycam (Default Account), AvatarCam, CCcam, NewCam & DqIPTV

4. Ina Edit BISS KEY - Hivyo waweza kuzipata channel kama: Bein Sport 1HD,Bein Sport 2 HD,M6 HD,W9, BFM TV ,EQUIDA PRO & HUSTLER (adult Channel) ambazo utazipata Eutelsat 7A at 7° East

5. Utumia kama FTA receiver hivyo ukapata Local Channel na Tv channel zingine kwa kutumia antena ya kawaida

antena.jpg

6. IPTV Channel- Utapata Channel zaidi ya 300,Hapa inatakiwa internet ya 3G,

7. Weza unga internet katika QSAT Q28G kwa kutumia (i) 3G NERTWORK (ii) LAN INTERNET (iii) GPRS. (iv) WIFI NERTWORK [ Inatakiwa uwe na wireless adapter]

8. Waweza kutembelea site kama YOUTUBE, REDTUBE, YOUPORN kwa kutumia receiver hii.
Q-SAT Q28G Full HD GPRS dvb-t2+s2 combo satellite receiver

edited2.jpg

Basic Info

Model NO.: q-sat q28g
Model: Q-Sat Q28g
1080P Full HD PVR: Support
Patch: Support
GPRS: Yes
3G: Yes
USB WiFi:Yes
Chipset: Sunplus 1512
DVB-T2+S2 Combo: Support
Youtube/Youpron: Yes
IPTV: Yes

Specification

* Easy mode setting to be Sharring Receiver/GPRS dongle/Sat Receiver
* Internet Key Sharing(IKS) through Cell phone network
* Plug and play SIM card support, phone date time, TV night time
* Fast Key update and channel change speed;
* Easy tool for Sat receiver software upgrade through RS232 port or USB(SAT mode)
* Fully DVB-S2/MPEG-4/H. 264 Decoder
* 8000 channels memory space (TV + Radio)
* Supports DiSEqC 1.0/1.1/1.2 and USALS
* Selectable output for 1080P, 1080I, 720P and 576P format
* Support EPG, display present / next TV program / 7 days EPG
* Support up to DiSEqC 1.0/1.1/1.2 & USALS
* User-friendly remote control colored function buttons
* USB multimedia files playback & PVR
edited3.jpg

UPATIKANAJI WA QSAT Q28G

Kwa sasa V8 Combo ishapata mpinzani ambae ni QSAT Q28G
Isubiri ikiingia sokoni rasmi may be mwezi huu utaipata bila shida
Kwa makadilio itakua 250,000/= Lkn hapo hapo ina Accts za Canal 22W na DSTV 36E
Ni DVB-S2/T2 pia

Openbox nilitaka kuziagiza mwezi huu ila kwa kuona ujio wa Q28G siwezi kuona ubora v8 combo tena

njunwa wamavoko,

Bei yake imekaaje mkuu? Shukrani.
 
IPTV-GPRS maelezo mengi lakini hujaeleweka:
unauza dekoda
unauza accounts za IKS au nini? na je hizi satellite kuzikamata nahitaji dishi moja au kumi? Au unatoa darasa la jinsi ya kufanya uchakachuaji?…
 
Last edited by a moderator:
coollogo_com_790813.png

KUHUSU QSAT Q28G - KWA UFUPI

1. Ni MPEG4/Full HD, DVB-S2 & T2 Combo, GPRS/3G - IKS Receiver hivyo utatumia Satellite Dish na Antena ya Kawaida (Angalia Picha hapo Chini)

edited1.jpg

2. Ina account ya miezi sita-inayofungua Eutelsat 36E, Pamoja na canalsat 22w

3. Yaweza kutumika kwa account zifuatazo: Spycam (Default Account), AvatarCam, CCcam, NewCam & DqIPTV

4. Ina Edit BISS KEY - Hivyo waweza kuzipata channel kama: Bein Sport 1HD,Bein Sport 2 HD,M6 HD,W9, BFM TV ,EQUIDA PRO & HUSTLER (adult Channel) ambazo utazipata Eutelsat 7A at 7° East

5. Utumia kama FTA receiver hivyo ukapata Local Channel na Tv channel zingine kwa kutumia antena ya kawaida

antena.jpg

6. IPTV Channel- Utapata Channel zaidi ya 300,Hapa inatakiwa internet ya 3G,

7. Weza unga internet katika QSAT Q28G kwa kutumia (i) 3G NERTWORK (ii) LAN INTERNET (iii) GPRS. (iv) WIFI NERTWORK [ Inatakiwa uwe na wireless adapter]

8. Waweza kutembelea site kama YOUTUBE, REDTUBE, YOUPORN kwa kutumia receiver hii.

edited3.jpg

UPATIKANAJI WA QSAT Q28G

Good Review brother....
Hii itawasaidia wote walokua wanauliza bei za greceiver zenye DVB-S2/T2 ambazo kwa maelezo yangu ya post #4 ni receiver ambayo mtu atataka Deploy Digital Video Broadcasting methods za Tanzania lazima awe na Mzigo wa QSAT Q28G au Speed HD S2
Wote mlokua mnataka mzigo huo hapo umefika
CC: @ngalysat and Apollo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom