Strong 4922 decoda bora kwa FTA Television chanels

Strong 4922 decoda bora kwa FTA Television chanels

Mmebaki mnabishana specifications specifications....wateja mmetuacha njia panda tumuamini nani! I was interested lakini nahisi wote mnataka kutuibia tu..

Yaani hata hatujui twende kwa nani ngoja nimwite Idimi.
 
Last edited by a moderator:
Jamani mwenzenu nimetafuta remote ya strong sijaiona. Watoto waliibonda na siwezi kusearch bila remote. Wapi yupo agent wa strong hapa Bongo?

Kuna jamaa anatwa Mwana Ilala humu au muangalie Uzi wa ulimwengu wa fta yeye anauza srt .Jaribu kumuulizia
 
Madishi yetu ya zamani bado yana thamani ukiwa na rcva yako strong srt 4922 1421430501820.jpg hizi ni channels unapata bureeeee
 
Attachments

  • 1421430209266.jpg
    1421430209266.jpg
    82.5 KB · Views: 234
  • 1421430395074.jpg
    1421430395074.jpg
    122.8 KB · Views: 229
  • 1421430436807.jpg
    1421430436807.jpg
    83.4 KB · Views: 216
  • 1421430608061.jpg
    1421430608061.jpg
    62.4 KB · Views: 206
Utatambua fake au genuine angalia picha kwani ziko nyingi maduni fake
 
Attachments

  • 1422212829828.jpg
    1422212829828.jpg
    100.4 KB · Views: 254
Jamani hivi humu kuna kabiashara au mitusi maana naona ni mparaganyiko tu wa mipasho
 
Naomba ufafanuzi kwa hili, nataka kufungua sehemu ya kuonyeshea mpira swali je hizi receiver zitanifaa na reliable?, hazisumbui? kwa utafiti nimeona ni nafuu naomba maelezo kwa hili kwa mnaotumia.
 
Naomba ufafanuzi kwa hili, nataka kufungua sehemu ya kuonyeshea mpira swali je hizi receiver zitanifaa na reliable?, hazisumbui? kwa utafiti nimeona ni nafuu naomba maelezo kwa hili kwa mnaotumia.

Sijajua unaongelea receiver zipi kabisa...

Ila nta assume unataka kuonesha mpira wa vibandani au kumbini kwa kutumia nhia za kuchakachua e.g TV1 DSTV CCcam au unataka kuonesha mpira kwa njia ya BISS keys encrypted channels

If you need to make money you must invest money...
Hauwezi kutumia njia za kuchakachua kuonesha mpira utaishia jera au siku mambo yakikata kati kati ya game utajua mziki wake kwa wateja...

kwa njia ya kutumia BISS keys encrypted channels ambazo hazioneshi match zote inakua haina shida kabisa ila lugha inayotumika kwa baadhi ya channel inaweza kua shida kidogo kulingana na mapenzi ya wateja wako
 
Hapa mlaji nimepigwa na butwaa! maana wote wanaojua wameshindwa kumjibu mwenzao kwa hoja bali mashambulizi ya kebehi na kuitana majina yasiyofaa!

Nakuomba mkuu ILISOLOKOBWE funguka juu ya upotoshaji wa NJUNWA WA MAVOKO, na PH-25 mtu wangu unaenifurahisha kwenye uzi wa azam

hebu elezea unafiki na uongo wa njunwa wa mavoko pia NDANDA WA MASASI ndio umeenda mabi zaidi na kumwita NJUNWA WA MAVOKO ana matatizo tena tapeli na mkuu OPAMWA njunwa ana masihara yepi katika hoja yake

Hali kadhalika MAYEGA Anold unaweza kututhibitishia utapeli wake ili walaji tuwe salama ikiwa madai yenu yamethibitishwa kuwa ni kweli?
 
Ayaaa 😱 anataka KUTAPELI HAPO
Amakweli tapeli yuko kazi

Mkuu mbona kila kitu kinaonekana wazi wazi kwenye screen shot zake, na actually menu zake ni user friendly - hakuna cha utapeli wala nini sijui? You don't even need 2 be an IT Guru to walk through such an amazing jewel - great stuff Njunwa hebu twambie tunaweza ku-contact vipi ili utupatie hii kitu na kwa gani GANI.
 
124 Ali,

Hbr.yako
Vipi kakutuma huyo Njunwani au ni:beer: kama ndivyo yalishakwisha

Kama ni wewe mwenye achana nayo ulikuwa upepo mchafu umepita .Chukua mazuri achana nayo mabaya. Pole kwa usumbufu uliopata karbu.
 
Nashukuru kwa ufafanuzi .
 
Hbr yako,

Vipi kakutuma huyo Njunwani au ni:beer: kama ndivyo yalishakwisha

Kama ni wewe mwenye achana nayo ulikuwa upepo mchafu umepita .Chukua mazuri achana nayo mabaya. Pole kwa usumbufu uliopata karbu.

Kama sijkuelewa vile!au na mimi unanivutia kasi? mi ni mlaji tu na napenda vitu vinyooke ,kwa upeo wangu nahisi niliowataja na Njunwa wamavoko mnajuana kwa namna moja au nyingine, nami kama mlaji linapotokea suali linalonigusa kwa wema ama kwa shari lazima nilifuatilie , humu tuna elimishana,onyana,tahadharishana,pongezana,'tukanana kama mlivyofanya nyie ' ili mradi matukio hutokea kwa dhamira tofauti tu.

Yangu dhamira ni kujua ukweli dhidi ya madai yenu bi maana Njunwa wa mavoko namuamini kupitia post zake mablimbali , PH-25 pia namkubali na wengine kwa wastani wao , kwa mstari huu ukweli kwangu ni muhimu!na kukujibu instigation yako mie sijatumwa bali naamini hii ni hoja huru na wote tuna haki ya kuingilia na sijaridhia dhana ya 'chukua mazuri mabaya yaachwe' kwangu ni vyema kuacha kabisa kuintroduce mambo ya hovyo hovyo jukwaani-kebehi,kedi ,dharau ,matusi na yafananayo!
Ijumaa njema!
 
He who has ears to hear let him hear Well said 124Ali maana kuna watu bwana wananifurahisha tu mm hapa hawataki kitu chao wanachokimiliki kisitolewe kasoro.

Wanasahau katika Software engineering kuna BUGS Same applies kwa hardware lazima kuwepo na Bugs....

Wenye Akili pevu ukweli washauona na nawashakuru kwa wote walonipa Likes na walio support Arguments zangu ambazo zimeji base kwa evidence
 
Mkuu mbona kila kitu kinaonekana wazi wazi kwenye screen shot zake, na actually menu zake ni user friendly - hakuna cha utapeli wala nini sijui? You don't even need 2 be an IT Guru to walk through such an amazing jewel - great stuff Njunwa hebu twambie tunaweza ku-contact vipi ili utupatie hii kitu na kwa gani GANI.
Mkuu nakushukuru kwa kuwa kati ya watu wenye upeo wa kuona kitu kizuri na kibaya...

Kuhusu kupata hizo receiver mm sina ila kuna wauzaji wawili wa Dreambox humu jamiiforums na mm nawaaminia...

Wa kwanza ni ndugu Mwana Ilala na wapili ni ndugu bwana dreambox

Ndugu Mwana Ilala anauza ENIGMA I box(DM500s) wakati ndugu dreambox anauza box zote Enigma I na Enigma II

Kwa sasa ilio more advanced ni Enigma II box e.gDM800

Kama upo interested waweza kucheki thread zao jukwaa la matangazo au kuwa PM directly
 
Last edited by a moderator:
Naomba ufafanuzi kwa hili, nataka kufungua sehemu ya kuonyeshea mpira swali je hizi receiver zitanifaa na reliable?, hazisumbui? kwa utafiti nimeona ni nafuu naomba maelezo kwa hili kwa mnaotumia.

Hbr. yako ndg.
Hivi vitu vinawezekana Japo na shauri iwe kwa matumizi yako.

Ipo PTV ya Pakistan tena update ya key B2 E4 D3 AA F6 F7 A4 AA hii sat inapatikana nyuuzi 38°e hapa ni lugha ya malikia .Inaonesha mechi 4 kwa wiki yaani 2 kwa siku.

Ipo Arabsat ya Iran inapatika kwa tp 3964/30000 Irib kwa mpeg2 kisha chomeka mpeg 4 ingiza tp 4054/27500v hapo utapata Tv3 verzesh hapa unatumia cband lnb pia zko mechi 2-4 kwa wiki .Lugha Arabic

Iko Astra tp 12522/27000v hii ni tv ya hko Ghana .Hapa lugha ya mailkia hii unatumia lnb ya Ku. Zote hizo znapatika hapa nchi ukiwa na Rcva yako Mnyama strong srt4922 ila genuine Arabsat na Astra unaweza kutumia dish mmoja 2lnb
 
Back
Top Bottom