srt 4922 ni bora kuliko st 4950 ukitaka kulinganiasha sifa za hizo receive angalia kwenye hii link Strong Technologies | Products
Mmebaki mnabishana specifications specifications....wateja mmetuacha njia panda tumuamini nani! I was interested lakini nahisi wote mnataka kutuibia tu..
lakini baba wa receiver kwa sasa ni DREAM BOX labda hapo baadae kama atatokea mwingine
Jamani mwenzenu nimetafuta remote ya strong sijaiona. Watoto waliibonda na siwezi kusearch bila remote. Wapi yupo agent wa strong hapa Bongo?
penye ukweli uongo utajitenga, mimi ndiye nilianzisha huu uzi kwa lengo la kuelimisha na sifanyi biashara yoyote ya strong decoda, hata bei niliyokadiria ni ya madukani kariakoo, mwanza na arusha kulingana na utafiti wangu, mimi nimeshangaa uzi umevamiwa na hawa mamluki wenye uroho wa kuchuma pesa za wanajf na hasa huyu njuwa ameonyesha kuumia sana hadi anadiriki kuwadanganya watu na elimu yao kuwa pesa ya kenya 6000 na sawa na tsh 72000.
kwa taarifa yako njuwa mimi sijatumwa na mtu kuuweka huu uzi humu, na strong si kwa ajili ya continental kama unavyowaza na hakuna sehemu nilipoitaja continental kama fta.
Jamani mwenzenu nimetafuta remote ya strong sijaiona. Watoto waliibonda na siwezi kusearch bila remote. Wapi yupo agent wa strong hapa Bongo?
Asante sana mkuu. Unatumiaje smartfone?Musa Electronics ndo mmoja wa Authorised dealers wa strong decoders hapa Bongo ambae ukienda website ya strong ukawambia upo DSM TANZANIA watakupa Namba zake utawasiliana nae....
Yupo Kariakoo pale ukishuka Bakhresa uliza tu MUSSA ELECTRONICS wapi?
Utaoneshwa sijajua kama anauza spare parts....
Pia receiver nyingi za Kisasa unaweza kutumia Simu yako ya smartphone kama remote sijajua hiyo strong yako kama ina features kama hiyo
Kiukweli wewe ni gwiji la magwi UTAPELI UONGO FITINA
Sasa zamazako sinaishia hakuna wa kumdanganya hapa ilikuwa enzi zile.
Asante sana mkuu. Unatumiaje smartfone?
eti kwa mteja wa kawaida kama wa contineto haitaji rcvr complex... jinga we sasa siuwashauri hao wateja zako wakanunue box za contineto.?
mbona una akiri pungufu wewe.? mala oooh srt nzuri kwa mafundi tu, mala oohh kwa mteja wa kawaida srt ni upotevu wa pesa tu... mbona na sisi pia izo box zako za contineto tunaona ni uhuni na uchafu tu...
yani uingie gharama kwa chanel 12 tu... si bora ukanunue azam tu...
unazisifia box zako eti sifa yake kuu ni kua ina card haring... shenzi bisa... sasa mteja wa cintineto atajua kweli io card sharing ni kitu gani.?
njua hauna jipya wewe majigambo tu.
mkuu hakuna anaetaka ligi ktk mada hii... nakushauri wewe na njua fungueni uzi wenu unao husu dream box tutakuja huko huko kuchangia...
lakini unapoleta mada yako juu ya mada ya mwenzako apo unakua unatafuta mabishano tu ya sio na msingi... njua amesha kiribkua srt ni nzuri sana kwa mafundi na watu wanao ijua kiundani,wenye uwezo wakuitumia,na watu wenye asas ya kupata fringe channels...
lakini kwa mtu kama yeye ambaye upeo wake ni mfupi kama maisha ya funza, kwakwe sio bora... kitu bora kwake ni box za contineto tu. mana haitaji kushika complex sat kwa ajiri ya complex channels...
mkuu hakuna mwenye interest na huu uzi apa... naamini uzi huu ulianzishwa maalumu kwa ajiri ya srt na sivinginevyo., sasa anapotokea mtu kichwa maji hajui lolote kuhusu kifaa kinacho zungumzwa...
eti analeta vitu kwa lengo la kutokutoa elimu inayo lengana na srt ktk uzi wa srt basi huyu sio wakufumbia macho... kama unaona box yako ni bora zaidi basi anzisha uzi wako tutakuja kusoma uko uko na sio kuchafua uzi ambao kwako unauona hauna maana.
ndio maana nyuzi nyingi humu ndani zimekufa kwa ujinga ujinga kama huu wa njua mavoko a.k.a mbana pua.
njua anzisha uzi wako unaohusiana na marcvr yako tutakuja kukusaport huko huuko makalio we.
Ndio mana nasema njua una matope kichani hauna akiri... sasa unaposema eti kwamteja wa continental srt haifai , ni nani aliekwambia kua continental ni fta.? alafu sima kicha cha habari ya mada hii...
continetal wafunga chanel zao na zinakua za kulipia soon.... na zitakua kama za azam tu sasa mtu kama wewe njua itakulazimu ukanunue box zao na kadi zao ili muoje io contineto yenu.
Habari za muda huu wana JF,
Napenda kuwataarifu kuwa sasa kuna decoda zijulikazo kama strong 4922 ambazo zipo vizuri sana kwa kupata chanel nyingi zaidi kuliko decoda nyinginezo.
Zifuatazo ni baadhi ti ya sifa ilizo nazo hii strong4922
1.mpg4 full hd
2.ina bisskey program itakayokuwezesha kufungua chanel ambazo ni scrambled ila zinafunguliwa kwa bisskey
3.youtube
4.pia inakubali accounts mbalimbali kama cccam, dqcam, tv1 nk Kwa wale mliochoka na malipo ya kila mwezi kama mimi nawashauri mnunue decoda bora na mathubuti hii ya strong 4922 ili uepukane na malipo ya kila mwezi ya akina ving'amuzi vilivyojaa hapa tanzania/
Naruhusu maswali
hujaelewa lengo la uzi huu ndio maana unapost ujinga wako hapaMkuu hii receiver kwako ni mpya nini!!?? mbona ya kizamani sana tuu?? au utakua fundi dishi wewe.
Kuhusu smartphone sidhani kama receiver yako ina MENU mahala wameandika REMOTE CONTROL ndani ya receiver
Na navyojua hii trick inafanya kazi kwenye receiver za Sunplus Chipset
Bahati mbaya sina details zaidi mkuu ningekusaidia Ila MUSSA ELECTRONICS ataku solvia tatizo lako na bei zake ziko poa sana