kwa quotation hizi umeonesha kua wewe bado sana ktk ulimwengu huu... unaishi kiwizi wizi tu humu jf kwa kusifia vitu usivyo vijua... haya emu tuambie speed hd1 na io hd2 ipi bora kwa upande wako.? mana naona haujawai hata kutumia kati ya izo moja wapo.
Nimekwambia kwamba kama haujui kusoma na kuandika vizuri hauwezi kubishana au kuendesha mjadala na mm
Kasome post yangu upya.....na nakusaidia kurudia ni kwamba hizi receiver ni nzuri tu kwa mafundi ila mtu wa kawaida wa kushika tu continental haitaji complex receiver kama srt 4922 karudie usome vizuri uache kutapika kutapika pumba ukishaelewa hivo utakuja hapa ni kwambie kwa nn bimetaja speed hd s2 na wala sijataja speed s1 nikiwa na maana kubwa sana
Tanzania bado tunatumia Terestrial TV na tunazo satellite TV hivo receiver kwa mteja wa kawaida receiver kama hii itamfaa maana kwa urahisi kabisa hatoitaji tena kununua Startimes kushika terestrial TV
Narudia tena kwa wateja au watu kawaida srt 4922 ni wastage of money or resources
mtengenezaji wa srt anaakiri sana kukuzidi wewe bwana mdogo... coz alijua wazi fika kitendo cha kuandika adharani sifa ya modulation ya srt kitawazindua watu kama nyinyi msio taka kufikirisha vichwa vyenu ...
mana mta copy kila kitu... sasa kwa taarifa yako tu kanunue srt4922 kisha soma menu guide utakuta io... kama utapenda kukomaa na kucopy vitu mitandaoni na kuleta apa shauri ako....
Nime kwambia utulie uandike na usome vizuri sio kukurupuka hapa hili jukwaa na kuelimishana technolojia Hiyo ya ku copy hizo specification zako nilikua tu nakustiua kwamba una argue bila point hizonilikua nataka uweke full specification afu tuanze argument upya
kwa faida yako tu srt 4922 inacheza mpaka bit32psk... tecknolojia ambayo imeandaliwa kwa baadae sana... atakuja kuikuta mjukuu wako io mana saizi tuko 8psk.
Sio shida hiyo kasome properties za DM800 hapo juu utaona hiyo ni cha mtoto kwa dreambox
kweli njua kichwani unamatope... yani mpaka umri ulionao huo unashindwa kujijibu swali dogo kama ilo.? haujui kwanini za kenya zipo chini kuliko za tz.?
kwani importation charge zina ringana.? port charge ya kenya na tz zinalingana.?.. vp kuhusu thamani ya pesa yetu na wao ipi kubwa.?... alafu nikushauri kitu.. jaribu kufanya importation ya srt kisha nenda na mlolongo wa kulipia izo charge mpaka tra... kisha srt zako ziuze kwa bei ulioisema wewe...
Unachoongea haukijui maana kuhusu customs duty na import tax sidhani kama unazielewa kunizidi Unataka kunambia Importation ya kenya ndo inaleta tofauti ya 130,000/= cha juu?
Authorised dealer wa srt kwa hapa Tanzania ni nani na anaziuza bei gani? Nachokwambia mm najua watu wanauza srt 4922 150,000/= na hapo kuna negotiation ambayo kidogo iko understandable na sio hiyo 230,000/= mpaka 250,000/= huo ni wizi wizi nje nje na wewe utakua mwizi kama una support hicho kitu
Anyways hii sio part ya Topic hapa...
mtu kama njua usikute kwake hana ata tv ya chogo wala rcvr ya mediacom.. kazi yake kucopy vitu toka ktk website ya alibaba na kuvileta humu etu ushaidi wakati hata siku moja io rcvr hajawai kuiona.... period...
We usikae ukamdharau mtu usie mjua na nimekwambia na nakwambia tena fikiria mara mbili kabla ya kuandika haunijui sikujui na kuhusu satellite gadgets nilizo nazo nyumbani sidhani kama umefikia dhamani yake so bora ukae kimya
Nakutarifu tu kwamba kwa sasa receiver ambazo zinauzwa bei kubwa humu duniani ni Enigma II boxes na nakwambi hiyo kitu ndo namiliki na kama unataka mashindano nambie hiyo receiver kama unayo original copy yake nambie
Mm sio dogo unavyofikiri mm nishakuja ulimwengu wa Linux in relation tu Satellite world wewe bado unatumia hivo vi receiver vya kipumbavu
Dreambox DM800 SE V2 HD SAT Tuner eSATA LAN USB HDTV Dream Multimedia | eBay
inauzwa 500$ hiyo kitu na ulimwengu nilipo huko siwezi kupiga kelelena wewe dogo na hiyo strong decoder yako
Usimdharau mtu usiemjua wewe panya kasoro mkia
sikia bwana mdogo... kama haujawai tumia srt nenda kaazime kwa jirani yako kidogo kisha ndo utajua ni nini nakueleza... hata ukeshe mitandaoni hauwezi pata sifa za srt original zote mana waofia kuibiwa na mashushushu kama wewe ila mimi nitakwambia... nitajie rcvr ambayo ndani yake kuna spactelizer .? kama haujui basi srt inayo.
nitajie rcvr ambayo unaweza kuirudishia uhai wake ambapo kama unaiupdate umeme ukakatika na ikashindwa kuwaka.? kama ujui basi srt iko io mambo.
wacha kucopy vitu uko na.kutuletea sisi apa... izo rcv tunamuda.tunazitumia kabla haujaanza kuuza cccam.
Afu unajiona unajua kumbe unaandika utumbo mtupu
Kwa kukupa tu taarifa hiyo feature yako ndogo sana hadi receiver kama Azsky G6,Qsat ina feature kama hiyo tena kwa flash ingekua kwa Universal programmer ungesema je? na ndo ichukulie eti srt 4922 ndo receiver bora...Umepotea ndugu yangu
Ulimwengu huu unajidai wewe fundi kumbe haujui hata JTAG Inteface kwenye Motherboard ya receiver inatumika kufanya nn.....
Au unafikiri kwa nn Tanzania hatujaendelea kwenye satellite world from Card sharing mpaka
Kwa taarifa yako Nenda kwanza kajifunze JTAG port inafanya nn kwenye receiver,kajifunze RS232 port kwenye reciver ni za nn? afu rudi hapa uendeleee kuongea pumba
TECHNICAL SECTION ABOUT JTAG FOR NEWBIES [Archive] - Page 6 - RDI-Board Community
Hapo kwenye red ndo umeniua kabisa....Umeishi na receiver miaka yote haujui kwamba PCB Ya receiver yoyote ina sehemu ya ku reverse engineer?
Wewe ni sawa na mababu zetu waloishi na Dhahabu wakichezea Bao na draft mpaka mdhungu alipokuja kuwaonesha faida ya Dhahabu hiyo kwa kuwapa nguo.....
Kama haukunielewa tokea mwanzo hautoelewa kitu na utazidi kujionesha usivojua kitu
Na kukumbusha mwanzo wa mada....wateja hawaitaji complex receiver kama hizo,wateja waleteeni receiver simple tena zenye technolojia mbili i.e DVB-S2/T2 maana bado tunatumia hizi vitu zote hapa Tanzania
Ukielewa hayo basi utaacha ubishi usio na msingi wa kuniradhimisha mm kutumia srt 4922 wakati nshakwambia tokea post ya awali kwamba hainifai mm natumia DM800 se v2....Running on Enigma II/linux OS