Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
Anauza FTA receiver ambazo zinakubali Kufungua channel zilizo Encrypted kwa BISS keys kama alivyozitaja na hajasema unazishika kwa dish moja...IPTV-GPRS maelezo mengi lakini hujaeleweka:
unauza dekoda
unauza accounts za IKS au nini? na je hizi satellite kuzikamata nahitaji dishi moja au kumi? Au unatoa darasa la jinsi ya kufanya uchakachuaji?
Bahati mbaya channel za Eutelsat W3A alizozitaja zimefungwa till further notice
Pia anasema hizo Receiver zake zinakuja na IPTV channels ambazo kazitaja
Nimeona anayo receiver ambayo ni DVB-S2/T2 kwenye list yake
Last edited by a moderator: