Ni kweli mkuu tatizo sisi wanawake wenyewe hatupendani sisi kwa sisi.. WIVU,UNAFIKI,UMBEA. Hiwezi kuta wanaume wanadharirishana kwny mitandao ila sisi wanawake tunaongoza
*TUSIPOJIPENDA
*TUSIPOJIHESHIMU
*TUSIPOSAIDIANA KUJINYANYUA KIUCHUMI
*TUSIPOACHA WIVU UNAFIKI NA UMBEA
Hatuwezi leta mabadiliko yoyote.
Hao wa kuelimishwa unawaongelea wa wapi?!!!! Hawa hawa au kuna wengine!!Mwanamke akiwezeshwa anaweza!
Kujificha huku hakuwez saidia kitu pasi na mwanaume kushiriki ajue nini anawakosea na hampendi!
kama ni ivyo hiki kilio chenu kwamba tunawakandamiza hakitakoma na wanaume tabia yetu na nyuzi zetu humu hazitabadilika!
Jichanganyeni muwaelimishe kwa hoja
Mkuu nirushie na mm huko PM kama hautojali watu wapuuzi sana ndio maana comments zake nyingi ni kashfa dhidi ya wanaume.Nilisoma jinsi Miss Natafuta alivyotongozwa kwa maneno ya kishenzi kabisa kwenye PM.
Ifike mahali, mwanamke aheshimiwe alichofanyiwa Miss Natafuta hakifai na wala hakivumiliki
Huyu kavamia harusiWewe ni mwanamke?
Wanachuki na sisi na bado tutawakomesha sana, wanaume hawana lolote wivu wa kimaendeleo unawasumbua baada ya kuona na sisi tunaweza kujimudu na wengine tunakipato zaidi yao wanayofanya na sisi tunafanya na wengine marioo wanatutegemea ndo maana hawaishi kutusema hovyo ili kutushusha na sisi kwa pamoja ni mbele kwa mbele wataisoma namba haturud nyuma wanawake oyeeeeSijui tatizo ni nini kwa hawa wenzetu ni kama wanachuki na hasira juu yetu.
Kama unavyosema wanashida kibao badala ya kutafuta walete heshima wanabaki kutusimanga
Ndovu baridiii, au viroba.Unatumia kinywaji gani umenena vyema [emoji119]
Kuna zoom ambayo shirika la IRC ndii wanatangaza kazi zao. Pia kuna mashirika kama TWESA, CWS, SAVE THE CHILDREN, OXFAM, IRD, RED CROSS, DRC, WORLD VISION. HAYO NI BAADHI. Tujaribu jamaniASANTE DADA. HAYA NDIYO TUNAYOYATAFUTA. ....JAMANI WENZANGU MMEPATA KITU HAPA. ...JARIBUNI KUOMBA KAZI KWENYE HIZO SEHEMU TAJWA. Mnaweza websites kama zoom, Un jobs etc. Mnaweza kupata hizi kazi kama zitakuwa released
[emoji3] [emoji3]Nimekaa kushoto, wife ndio anaendesha leo
Well saidWanawake jamani
Tujitambue
Tujiheshimu
Tujishughulishe
Tujiamini
Tupendane na kujipenda.
Tuwe wasafi wa mwili na roho tujitahidi.
Usiseme hutaki kudhalilishwa wakati umeanza kujidhalilisha mwenyewe.
neno hasa oyeeeeWanachuki na sisi na bado tutawakomesha sana, wanaume hawana lolote wivu wa kimaendeleo unawasumbua baada ya kuona na sisi tunaweza kujimudu na wengine tunakipato zaidi yao wanayofanya na sisi tunafanya na wengine marioo wanatutegemea ndo maana hawaishi kutusema hovyo ili kutushusha na sisi kwa pamoja ni mbele kwa mbele wataisoma namba haturud nyuma wanawake oyeeee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu wewe pm za Miss Natafuta umeziona wapi
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]mkuu vp... umeambiwa kama sio mwanamke kaa kushoto...
Nimekaa kushoto, wife ndio anaendesha leo
Mkuu....Changamoto zipo nyingi na daima adui wa mwanamke ni mwanamke sio mwanaume.
Mfano mzuri ni page nyingi za umbea mitandaoni zinamilikiwa na wanawake na zinaongoza kudhalilisha wanawake wenzao bila sababu za msingi.(huku washangiliaji na wakoleza ubuyu wakiwa ni wanawake wenyewe)
Mkuu...maajabu haya,kumbe nyie ndo mnalipa kodi,mnalipa ada za watoto?duuuuuuuuuuu akili zenu mnazijua wenyewe no offence
Mkuu...Wanawake jamani
Tujitambue
Tujiheshimu
Tujishughulishe
Tujiamini
Tupendane na kujipenda.
Tuwe wasafi wa mwili na roho tujitahidi.
Usiseme hutaki kudhalilishwa wakati umeanza kujidhalilisha mwenyewe.
Si ange m block?Nilisoma jinsi Miss Natafuta alivyotongozwa kwa maneno ya kishenzi kabisa kwenye PM.
Ifike mahali, mwanamke aheshimiwe alichofanyiwa Miss Natafuta hakifai na wala hakivumiliki