Strictly for Ladies

Ni kweli naunga mkono hoja. Lakini sisi wadada tumezidi njaa jamani. Tumekuwa ombaomba sana kwa wanaume. Ndi dharau zinaanzia hapo. Tuache mikuki. Tusimame kaka sisi. Tuujue ukweli utuume lakin tuufanyie kazi. Kila kitu kuomba hela kwa wanaume. Wao hawana viwanda vya hela. Na walizonazo zina kazi kwao.
Kwa kuazna kule Kasulu na Kibondo kuna mashirika ya kuhudumia wakimbizi wanaajiri sana wanawake. Kwa waliomaliza chuo ni sehemu nzuri ya kuangalia pia. Mishahara yao sio mibaya sana. Inaweza kukufanya usiwe ombaomba kwa wanaume
 
Nisiwe muongo nitakua hapa naangalia nione kama nimewahi kuandika kitu ambacho mwanamke kitamfanya ajute kuwa mwanamke.
Na nijifunze kama nibaki njia hii hii au nibadilike.
 
ASANTE DADA. HAYA NDIYO TUNAYOYATAFUTA. ....JAMANI WENZANGU MMEPATA KITU HAPA. ...JARIBUNI KUOMBA KAZI KWENYE HIZO SEHEMU TAJWA. Mnaweza websites kama zoom, Un jobs etc. Mnaweza kupata hizi kazi kama zitakuwa released
 
Point kabisa!


Wanawake tujishughulishe...tusisubiri vya kupewa...
 
kama hukabiliwi na Tatizo kubwa upstairs utakuwa unakabiliwa na Tatizo kubwa sana kwenye Jamii inayokuzunguka, hasa Tatizo LA Kurogwa au laana
Ushasema kama !! Rudia tena Kama!!

We bujibuji Nina wasiwasi wanakuchezea wenzio na ni kweli2 coz naona una adapt ****e
 
Duh we kama ni mwanamke basi bonge la mwanamke, hukuangalia tatizo bali umeangalia chanzo ungekua hujaolewa ningekuoa, wanaume tupo wachache ndo maana tunavibur na viburu hivyo vimeletwa na wingi wenu! Ninyi kwa ninyi hamuheshimiani, hampendani ukimuona mwenzio kapata unaanza kusambaza sumu, badilikeni kwanza ninyi ndio mtaweza kuwadhibiti wanaume wenu nakuwabadilisha.
 
True fact
 
Yaani mie mtu apondee wanawake harafu aje kunikopa fyuuuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…