kinjumbi one
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 1,696
- 2,159
Mimi huwa naanza ibada ya swala tano. na kusikiliz Sana mawaidha ya mashekh mbalimbali hasa shekh mselemu ali mselemu . na pia nanunua head phone mpya naweka nasikiliza music hapo kazi kubadilisha tu nikitoka dini basi bongoflaver, hasa yenye vionjo vya kiasili kama ya saida karol. Na pia najitahidi kunua nguo mpya ili niwe na muonekano mpya kabisa. Na huwa sisikii njaa, yani naweza nikakaa hadi saa saba sijatia kitu mdomoniNadhani mko salama kabisa.
Mimi nikiwa na stress za kuachwa au kukataliwa kwanza nafuta namba ha huyo mtu, narestore simu kabisa[emoji23]
Naingia chumbani kwangu, nafanya usafi, nafua, napika nakula chakula kizuri ninachopendelea.
Natoka naenda shopping huko naenda nunua kila ninachohitaji, nitanunua shuka, nguo, kila kitu hadi na ambavyo sivihitaji[emoji23]
Nikirudi nyumbani nafanya usafi tena mara ya pili naoga, nakaa sasa naangalia movie na series.
Hapo sasa nakuwa afadhali stress zimepungua.
Vipi kwako mdau wa JF ni kitu gani unafanya ukiwa na stress za kuachwa/ kukataliwa?
Hahaa hapo tu pa kuswitch kutoka dini mpaka bongofleva.Mimi huwa naanza ibada ya swala tano. na kusikiliz Sana mawaidha ya mashekh mbalimbali hasa shekh mselemu ali mselemu . na pia nanunua head phone mpya naweka nasikiliza music hapo kazi kubadilisha tu nikitoka dini basi bongoflaver, hasa yenye vionjo vya kiasili kama ya saida karol. Na pia najitahidi kunua nguo mpya ili niwe na muonekano mpya kabisa. Na huwa sisikii njaa, yani naweza nikakaa hadi saa saba sijatia kitu mdomoni
kwani si stress tu, mi nadhani nakua sijashiba au sijaamua hasa kuwa ki ostadh ostadh. HahahahaHahaa hapo tu pa kuswitch kutoka dini mpaka bongofleva.
Stress sio kitu kizuri kabisa, kuna mtu nilishamjibu hovyo mpaka nilipokuja kukaa sawa nikajiuliza kama ni mm hahaakwani si stress tu, mi nadhani nakua sijashiba au sijaamua hasa kuwa ki ostadh ostadh. Hahahaha
Hahahaha hii technique noma sana. Ila nna uhakika umalizapo kubembea stress hukurudia!!!!Mm huwa nikiachwa naenda kununua kamba mpya nakuja nafunga kwenye mti kisha naikaza kabisa alafu naanza kubembea kwa raha zangu
Umenena kaka yaani acha kabisa, kuna watu huwa wanaamua kuwa na wapenzi wengi, kwa jicho jingine unaweza usione kosa lao kabisa.Mapenzi yanaumiza sana hasa unapokuwa umejikita kwa mpenzi mmoja tu, yaani huyo huyo tu
Hahah nikishamaliza kubembea natafuta fundi anaejua "kupika"(hapa nazungumzia kunako 6 kwa 6) kuliko alieniacha lazima nimsahauHahahaha hii technique noma sana. Ila nna uhakika umalizapo kubembea stress hukurudia!!!!
Mkuu nilijua utagusia na punyeto,maana ndio huwa suluhu ya kudumu ya hayo matatizo..Nadhani mko salama kabisa.
Mimi nikiwa na stress za kuachwa au kukataliwa kwanza nafuta namba ha huyo mtu, narestore simu kabisa[emoji23]
Naingia chumbani kwangu, nafanya usafi, nafua, napika nakula chakula kizuri ninachopendelea.
Natoka naenda shopping huko naenda nunua kila ninachohitaji, nitanunua shuka, nguo, kila kitu hadi na ambavyo sivihitaji[emoji23]
Nikirudi nyumbani nafanya usafi tena mara ya pili naoga, nakaa sasa naangalia movie na series.
Hapo sasa nakuwa afadhali stress zimepungua.
Vipi kwako mdau wa JF ni kitu gani unafanya ukiwa na stress za kuachwa/ kukataliwa?
Mkuu huu wimbo hata mimi nilikuwa naupenda sana kwenye matukio kama haya!Miaka Fulani niliwahi kusikiliza Nyimbo za Judy Boutcher Usiku Mzima hadi Ile kanda ikatafunwa, kuna wimbo unaitwa TAKE YOUR MEMORIES WITH YOU WHEN YOU GO!
Team Chaputa hahaaMkuu nilijua utagusia na punyeto,maana ndio huwa suluhu ya kudumu ya hayo matatizo..
TAKE YOUR MEMORIES WITH YOU WHEN YOU GO
wewe umenishinda tabiaMimi nikiachwa na install mwanaume mpya hap hapo