๐๐๐๐๐๐๐ asante kwa taarifaSisi wabongo hatuna stress
Sisi wivu njaa na umasikini tu
Hizo stress achia wazungu
Bongo mihongo ya buku unashiba , kama ni mapenzi kina mwajuma wanatafuta mpka amae pumua tu huko kwa mwamposa, stress za kazi gani sasa bwashee?Sio kila mtu anakaa kwa shemeji yake alomuoa dada ake.