Stress huja....... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Stress huja.......

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Dr.kapama, May 29, 2012.

 1. Dr.kapama

  Dr.kapama Senior Member

  #1
  May 29, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 184
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Stress huja unapotaka kila mtu aishei vile utakavyo
  stress huja unapotaka kumplease kila mtu
  stress huja unapotamani vitu unavyojua huwezi kupata
  stress huja unapokuwa na wivu usio faida na maendeleo
  nasema stress huja,unapomtaka manzi,unashindwa kumwambia,halafu rafikiyo anamchukua...
   
 2. The secretary

  The secretary JF-Expert Member

  #2
  May 29, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 4,161
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  umempa jibu linalostahili kama ana akili timamu atakaa chini afikirie
   
 3. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #3
  May 29, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  mhhh makubwa haya madogo yananafuu loh!!
   
 4. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #4
  May 29, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Ana stress huyo baada ya b.sha wake kumuacha na kumchukua kichaa mtaani kwao!
   
 5. WaliNazi

  WaliNazi JF-Expert Member

  #5
  May 29, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 853
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33

  ....kama jamaa hana mtindio wa ubongo hili jibu litamstress mwaka mzima...
   
 6. Dr.kapama

  Dr.kapama Senior Member

  #6
  May 29, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 184
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nimekusoma The secretary.naamini binadamu muungwana hawezi kusimama wima nguo inapomvuka...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #7
  May 30, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,291
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Stress huja wakati una stress...
   
Loading...